serikali

  1. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hajaonekana kwenye Sherehe za Mei Mosi, yuko wapi?

    Hili ni tukio kubwa na yeye ndio muhusika mkuu na ndio mwajiri mkuu kama sikosei kwa watumishi wa umma. Swali ni je, yuko wapi na anafanya nini au nini kimemsibu? === Pia soma: Dkt. Mpango: Serikali imepokea hoja ya kuboresha kikokotoo kwakuwa wafanyakazi hawaridhishwi na kanuni zake
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Angalia Mpaka Mwisho: Hakika hatuhitaji watu kama D. Sanga kwenye Serikali na nchi yetu tunahitaji watu wenye uwezo wa Kujibu hoja na kutengeneza hoja

    Deo Sanga ambaye ni Mbunge wa Makambako ni mtu ambaye amekuwa na misimamo ya kutetea viongozi wa nchi na kuwasifia mara kwa mara Wakati wa utawala wa Magufuli, Sanga aliwahi kunukuliwa akiwa bungeni kama inavyoonekana kwenye video akisema kwamba anataka Magufuli aongezewe muda. Kauli yake...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali kichunguzeni hiki chuo Cha Mwanza Youth Center kimekuwa mwiba kwa wanafunzi kwa Sheria kandamizi ?

    Ndugu wananzengo habari ya asubuhi , Jamani wazazi tunatakiwa kuwa makini sana pale linapofikia suala la kuwatafuti watoto wetu vyuo kwa ajiri ya kupata ujuzi mbali mbali haya ninayoyasikia kutoka kwa wanafunzi ni hatari sana,wanafunzi wamekuwa wakilalamika kunyimwa uhuru wa kuhoji na mbali...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nikisema CCM na Serikali yake ni waongo nitakuwa nakosea?

    Ni Matumaini yangu wote mko salama Nasikitika kwamba Serikali ya Chama cha mapinduzi Ni waongo Sana Na Chama chenyewe ni Chama cha hila. Bahati nzuri Mimi sina maneno mengi Sana Naenda moja Kwa moja Kwenye point kuthibitisha uongo wa Chama change cha Mbogamboga. Nikiwa mdogo nilikuta Bicon za...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Siku hizi Viongozi wa Vyama vya Wafanyakazi wanateta Serikali na kuweka pembeni maslahi ya Wafanyakazi

    Asalaam Aleykum. Kwa kweli kama kuna watu wana maisha magumu nchi hii, basi ni wafanyakazi. Wengi wao mishahara haijapanda kwa muda mrefu huku gharama za maisha zikipaa kila siku na viongozi wao wa vyama vya wafanyakazi wapo wapo tu kazi kuiba michango ya wafanyakazi wenzao wanayokatwa kila...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali kuja na sheria ya katazo la kuvuta sigara hadharani

    Naibu Waziri wa Afya akiwa bungeni amesema kuwa tayari Bunge limepitisha Sheria ya Udhibiti wa Tumbaku ijulikanayo kama “The Tobacco Products (Regulation) Act, 2003” ambayo imetoa katazo la uvutaji wa sigara hadharani. Ameongeza kuwa sheria hiyo imezuia matangazo ya tumbaku na bidhaa...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali na CCM wawaeleze Watanzania bara/ Watanganyika sababu na faida za muungano kwa hoja nzito

    Raia wengi wa Tanzania bara au kama wengine wanavypenda kujiita Watanganyika ni kama vile hawaelewi faida za muungano, hawafahamu wananufaika vipi na huu muungano. Kila mara ambapo hoja za muungano zinaibuliwa wanachama wengi wa chama tawala huwa wanapenda kusema tutaulinda muungano na kurudia...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali Kupitia (TAFORI) Ipo Tayari Kupokea Ushauri wa Tafiti za Miti ya Mikaratusi Ili Kupunguza Athari za Mazingira

    Serikali Kupitia (TAFORI) Ipo Tayari Kupokea Ushauri wa Tafiti za Miti ya Mikaratusi Ili Kupunguza Athari za Mazingira "Kuna zaidi ya Species 500 za Miti ya Mikaratusi Duniani, Tanzania kupitia Taasisi ya Utafiti Misitu Nchini (TAFORI) imeruhusu aina 25 za Miti ya Mkaratusi ili kupata fursa...
  9. JamiiForums Tanzania Tutatumia ziwa Tanganyika kwenye umwagiliaji

    "Baada ya Bunge la bajeti kukamilika tunatarajia kuanza kuyatumia maji ya ziwa Tanganyika katika shughuli za kilimo na uzuri mitambo tunayo naamini Jambo hili litafanikiwa" - Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo Tanzania Waziri Bashe pia amebainisha kuwa mikakati ya serikali ni kuanza kutumia maji...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa Tsh. Bilioni 66 Kurekebisha Miundombinu iliyoharibiwa na mvua

    Serikali ya Tanzania imetoa Jumla ya shilling billion 66 Ili kurekebisha Miundombinu iliyoharibiwa na mvua Fedha hizo zimegawanywa Kwenye mikoa Yote iliyoathirika --- Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa Bilioni 66 kwa ajili ya kuanza urejeshaji wa miundombinu ya barabara...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Serikali inaendelea kuchukua hatua mahsusi za kuimarisha kilimo cha umwagiliaji

    WAZIRI Mkuu Kassimu Majaliwa amesema serikali inaendelea kuchukua hatua mahsusi za kuimarisha kilimo cha umwagiliaji kwa kujenga miundombinu na kuongeza bajeti. Aidha amezielekeza Halmashauri zote nchini kuweka mpango mahsusi wa ardhi kwa ajili ya kuendeleza kilimo cha umwagiliaji. Majaliwa...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Lissu ya Rais Mzanzibar ni matokeo ya kufumba masikio Tanganyika kuwa na Serikali yake na viongozi wake watakaoamua mambo yao, asilaumiwe!

    Kwanza niombe moderators muiache hii thread ijitegemee, inaenda mbali zaidi ya kauli ya Lissu. Kama una akili timamu na za kutosha, utakuwa umegundua kwamba suala la kusema kero za muungano zinatatuliwa limekuwa ni suala la kuzidi kuipa Zanzibar mamlaka yake kama nchi kamili na kuiondoa kwenye...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu hana tofauti na Magufuli, anatumia propaganda za serikali ya Magufuli kumchonganisha Samia na wananchi

    Wanaharakati wengi naona wamemgeuka Tundu Lissu kule X (Twitter) X ambayo ndio strongest base ya Chadema, iligeuka chungu baada ya clip ya maneno ya kibaguzi ya Lissu kupostiwa kule Ni sahihi kukosoa Muungano wetu, ni sahihi pia kukosoa makosa ya serikali ya Samia Lakini kisicho sawa ni...
  14. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali jinsi ya kupunguza rushwa barabarani

    Police wetu wa usalama barabarani wangekua kama hivi, wanapiga picha na risiti dereva anapambana nayo kwenye system na kwenda kulipia kwa control number rushwa ingepungua sana na kuacha kujazana mabarabarani.
  15. B

    JamiiForums Tanzania Migomo vyuo vikuu imeangusha serikali; Marekani siyo kisiwa, la sasa halimwachi salama!

    1. Vyuo vikuu au taasisi za elimu ya juu ni sehemu nyeti kwa usalama wa taifa kama ilivyo kwa jeshi na sehemu zingine kama hizo. "Columbia University students say protest highlights ‘Bigger cause’ "The students remain defiant and they remain here in the campus. "Hundreds of students have not...
  16. JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali ifuatilieni hali ya ukuta wa kiwanda cha SIMTANK cha Tabata TIOT

    Naomba kuwapa taarifa kuwa kuna ukuta wa kiwanda cha SIMTANK kilichopo maeneo ya Tabata TIOT kinachopakana na Asas. Ukuta huu huenda ukaanguka muda wowote hivyo msisubiri ukuta huu ulete maafa ndio muanze kumtafuta mchawi.
  17. JamiiForums Tanzania Mbunge wako na Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wanafika eneo lako kushughulikia Kero au ndio wamepotea hadi Uchaguzi ujao

    Tunaelekea mida ya kuanza kuwaona Waliotuomba Kura 2019 na 2020 wakitaka nafasi za Ubunge na Wenyeviti wa Serikali za Mtaa wakijipitisha tena kama vile walikuwepo. Vipi hapo kwako Kiongozi uliyemchagua anashughulika na Kero zenu au ndo hata hujui alipo?
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali yaahirisha Shule kufunguliwa kwa Mafuriko

    Serikali imeahirisha kufunguliwa kwa Shule kwa Wiki moja kutokana na mafuriko yanayoendelea ambayo hadi sasa yamesababisha vifo vya zaidi ya watu 80. Taarifa ya Waziri wa Elimu, Ezekiel Machogu imeeleza kutokana na athari za Mafuriko si sawa kuhatarisha maisha ya Wanafunzi na Wafanyakazi, hivyo...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa akagua urejeshaji wa mawasiliano ya Barabara Mkuranga, aeleza mikakati ya Serikali

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kuwa Serikali kupitia Wakala wa Barabara (TANROADS) imejipanga kuhakikisha inarejesha mawasiliano ya barabara zote na madaraja yanayoharibiwa na mvua zinazoendelea kunyesha ndani ya muda mfupi pindi yanapoharibiwa. Aidha, Bashungwa amewaelekeza...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Serikali fanyeni haya ili tutoe ushindani AFCON 2027

    Nikiwa kama mdau wa michezo hasa Mipira wa Miguu, nashauri Serikali kufanya haya ili kuboresha kiwango cha mpira nchini, na hata ushiriki wetu kwenye mashindano yajayo ya AFCON,2027 yatakayo fanyika nchini kwa kushirikiana na wenzetu wa Kenya na Uganda. 1. Tutafute Kocha wa daraja la juu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…