serikali

  1. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Ujue mgogoro kati ya Elon Musk na Serikali ya Brazil hadi Brazil kutishia kuwafunga wafanyakazi wa x (Twitter).

    Siku chache zilizopita kumeibuka mgogoro wa kimahusiano kati ya mmiliki wa mtandao wa X ama Twitter Bwana Elon Musk na Serikali ya Brazil. Mgogoro huo umepelekea serikali ya Brazil kupitia Jaji wa Mahakama Kuu Bwana Alexandra Morales kutishia kuwaweka ndani wafanyakazi wa X na kuipiga X fine...
  2. baba aura

    JamiiForums Tanzania Serikali iache kuingiza siasa kwenye mengine

    Imekuwa kawaida sasa kwa serikali kuingiza siasa katika jambo linakalibia kufanikiwa au kufikiwa, tena viongozi wa kisiasa ndo wamekuwa mbele kudandia jambo. Mfano, tumeona sekta ya michezo vilabu vyetu pendwa vimevuja jasho mpaka wanafikia hatua fulani ambayo inaweza kuipa mafanikio klabu...
  3. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania inapaswa kuilinda sana nch ya Burundi

    MPANGO WA RWANDA KUITAWALA BURUNDI ILI KUINGIA KONGO KUPITIA ZIWA TANGANYIKA NA NAFASI YA SERIKALI YA TANZANIA KATIKA MEDALI ZA UJASUSI NA INTELIJENSIA UKANDA WA ZIWA TANGANYIKA BY LUGETE MUSSA LUGETE. "Ndugu Mheshimiwa Rais tunapaswa kuilinda Burundi kwa hali na mali ili isiangukie mikononi...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mvua ilivyoharibu miundombinu ya Barabara Sumbawanga - Rukwa, Waziri Bashungwa atembelea

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Serikali imejipanga kuhakikisha inarejesha miundombinu ya barabara ya Kasansa - Muze - Mtowisa - Ilemba - Kaoze - Kilyamatundu (km 180) iliyoathiriwa kwa kiasi kikubwa na mvua zinazoendelea kunyesha maeneo tofauti tofauti nchini. Bashungwa ameeleza...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Huyu aliyeelekeza magari ya serikali kupaki saa kumi na mbili ana maana gani?

    Leo imetolewa hoja kwamba magari ya serikali yapaki saa kumi na mbili. Unajiuliza hawa watu wanapotoa haya matamko wanashindwaga nini kufanya tathimini? Nchi hii inawaza kuendesha shughuli zake masaa ishirini na nne; Mama anawaza kuona soko la Kariakoo linafanya kazi masaa ishirini na nne...
  6. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Serikali izifunge na kuzihamisha Shule za Sekondari Mkongo na Utete za Rufiji kwenda Dar

    Kufuatia Mafuriko ya Rufiji , kutokana na uzembe wa serikali na kukurupuka baada ya Envirment impact Assessment kuonyesha lile bwawa likijengwa litakuwa na uharibifu wa eco system na jamii sasa mafuroko makubwa yaja. Majumba yamefunikwa, mashamba yamefunikwa na sasa huenda shule hizo...
  7. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania Minjingu: Gari yenye namba bandia za serikali yakamatwa ikiwa na wahamiaji haramu

    Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara ACP Lukas Mwakatundu amesema kuwa Jana tarehe 7 katika kizuizi cha Minjingu kuna gari lilitupita pale likagoma kusimama likagonga kizuizi ndipo Polisi wakapata wasiwasi kwamba kwanini amegoma kusimama, tukaanza kumfuatulia mpaka eneo la Kiongozi...
  8. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Video Clip: Rufiji litangazwe kuwa ni eneo la hatari na Serikali iwahamishe wananchi mara moja

    -- Bwawa limeelemewa na maji, namna ya kuliokoa lisivunje kuta zake ni maji kuachiwa, matarajio ni kwamba maji yataachiwa na lita 700,000 kwa sekunde zitamwagwa -- Wananchi wameanza kuambiwa kuhama sababu maafa yanayokuja ni makubwa -- UNESCO waonya kuhusu mafuriko kusabibishwa na bwawa...
  9. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania Serikali iwape DAWASCO uwezo wafunge mtambo hapo JNHEP na mafuriko yatakuwa historia

    Serikali badala ya kupoteza maji kufungulia na hatimaye kuharibu mashmba na miji huko Rufiji basi wangewapa Dawasco hiyo kazi wafunge mtambo wa maji kuleta Dar huku maji ya ziada tunafyonza tunatumia Dar huku! Hii akili mpaka tuwaambie sisi wanaJF? au mmerogwa jamani?
  10. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya Serikali Kwenye Magari ya Taasisi za Umma ni ufujaji, Wafanye Hivi

    Bajeti ya magari ya serikali kila mwaka Bilioni 600, Hii pesa haimaanishi kuwa inanunua magari pekee na pesa ikaisha. Hivyo kwanini Serikali iwe na utaratibu mzuri Kila Taasisi Ijinunulie Magari yake kutoka kwenye Mishahara Ya wafanya Kazi, tuone kama watanunua V8 na VX kama wanavyofanya sasa...
  11. Accumen Mo

    JamiiForums Tanzania Serikali ishushe hadhi Jiji la Tanga kwa vile haina mpango wa kufanya lolote kusapoti mji huo

    Habari ndugu zangu wa JF, Kwanza niseme ile haki, serikali ya Tanzania haitamabui uwepo wa jiji la Tanga katika uhalisia bali linabaki katika maneno. Huu ni ukweli ambao watu wengi hawaufahamu, ushahidi kutoka ndani kabisa ni kwamba serikali haina mpango na wala haitambui uwepo wa jiji hilo...
  12. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Vyama vya siasa vitumie Uchaguzi wa Serikali za mitaa kama kipimo Cha kujitathmini uchaguzi mkuu

    Kiutawala, mitaa ,vijiji na vitongoji ni ngazi iliyo karibu zaidi na wananchi na uchaguzi wa Serikali za mitaa ,vijiji na vitongoji ndio kipimo Cha vyama vya siasa kujipima kukubalika kwao na wananchi walio wengi. Hapo ni Kwa muundo wa Serikali ,mitaa ,vijiji na vitongoji ndio ngazi ya karibu...
  13. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Kongamano la Kiimani kwa Viongozi na Watendaji Wakuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika Kongamano la Kiimani kwa Viongozi na Watendaji Wakuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar lililoandaliwa na Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais na kuratibiwa na Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar ukumbi wa...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Serikali itufafanulie "hatua za mwisho" maana yake nini badala ya kutufanya kama watoto wadogo wa kudanganywa kwa majibu ya rejareja

    Mwaka jana, June 2023, wakati waziri wa mambo ya nje akiwa Dr Tax, serikali ilitoa hili tamko pale Bungeni Leo April 2024, serikali imetoa tena tamko hilo hilo pale pale Bungeni mbunge wa viti maalumu Suma Fyandomo alipouliza swali kuhusu uraia pacha. Sasa nakumbuka tumekuwa na matamko kama...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Inafanya Tathimini ya Uwezekano wa Kupanga Bei Moja ya Bidhaa za Petroli Nchi Nzima

    SERIKALI INAFANYA TATHMINI YA UWEZEKANO WA KUPANGA BEI MOJA YA BIDHAA ZA PETROLI NCHI NZIMA Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga amesema Serikali kupitia EWURA inafanya tathmini ya uwezekano wa kupanga bei moja ya bidhaa za petroli nchi nzima. Mhe. Kapinga ameyasema hayo leo Aprili 3,2024...
  16. chiembe

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli kukataa kufanya tathmini ya mazingira bwawa la Nyerere, sasa Rufiji inazama, serikali ifanye tathmini ya mazingira sasa

    Wakati watu wenye akili wakishauri mradi wa umeme wa bwawa la mwalimu Nyerere ufanyiwe tathmini ya mazingira, genge la JPM lilikuwa linabeza huku likijivisha uzalendo mapepe kwamba mradi utachelewa. Sasa Rufiji iko hatarini kumezwa na maji. Maji hayo yanatokana na bwawa kujaa na mto kujaa, na...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Fedha za bima kwa wote kukatwa kwenye line za simu, mpango wenu Serikali ni Watanzania tuache kabisa kuwasiliana?

    Wakuu, Kuna watu mpaka unafikiria mtu kama huyu kafikaje bungeni, maana ni zaidi ya weupe kichwani, watupu kabisa! Kodi zote hizi mnazotuumiza nazo wananchi bado unataka ziongezwe nyingine kwenye line za simu? Hii siyo ya kukalia kimya! Dunia inapiga kasi kwenye digidali lakini Viongozi wetu...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Cherehani Aiomba Serikali Kuwapa Wananchi Ruzuku ya Gesi

    Mbunge Cherehani Aiomba Serikali Kuwapa Wananchi Ruzuku ya Gesi Mbunge wa Ushetu (CCM), Emmanuel Cherehani ameiomba Wizara ya Nishati kutoa ruzuku ya gesi kwa wananchi waishio maeneo ya vijijini, ili kusaidia utuzwaji wa mazingira na kuthibiti ukatwaji wa miti pamoja na kupunguza gharama za...
  19. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Naiomba Serikali yetu itunge sheria kali ya kuwalinda wanyama wa majumbani eg. Paka, Mbwa n.k

    Mimi Mjanja M1 sikuwahi kuwaza kama kuna siku nitaandika uzi kwaajili ya wanyama hususani wanyama wa majumbani eg. Paka, Mbwa na wengine ambao tunawafuga. Kwenye pilika zangu nimekutana na Vitoto vya Paka vikiwa vimetupwa jalalani na muhusika (Mfugaji) hajulikani. NILIUMIA SANA 😢 Ukiachana na...
  20. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Je, kuchukua pesa ya Serikali ni wizi?

    Wakuu nina swali je kuchukua pesa ya serikali ni Wizi na ni dhambi? Na je pesa za serikali zina mwenyewe?
Back
Top Bottom