serikali

  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mbunge wako na Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wanafika eneo lako kushughulikia Kero au ndio wamepotea hadi Uchaguzi ujao

    Tunaelekea mida ya kuanza kuwaona Waliotuomba Kura 2019 na 2020 wakitaka nafasi za Ubunge na Wenyeviti wa Serikali za Mtaa wakijipitisha tena kama vile walikuwepo. Vipi hapo kwako Kiongozi uliyemchagua anashughulika na Kero zenu au ndo hata hujui alipo?
  2. Lady Whistledown

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali yaahirisha Shule kufunguliwa kwa Mafuriko

    Serikali imeahirisha kufunguliwa kwa Shule kwa Wiki moja kutokana na mafuriko yanayoendelea ambayo hadi sasa yamesababisha vifo vya zaidi ya watu 80. Taarifa ya Waziri wa Elimu, Ezekiel Machogu imeeleza kutokana na athari za Mafuriko si sawa kuhatarisha maisha ya Wanafunzi na Wafanyakazi, hivyo...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa akagua urejeshaji wa mawasiliano ya Barabara Mkuranga, aeleza mikakati ya Serikali

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kuwa Serikali kupitia Wakala wa Barabara (TANROADS) imejipanga kuhakikisha inarejesha mawasiliano ya barabara zote na madaraja yanayoharibiwa na mvua zinazoendelea kunyesha ndani ya muda mfupi pindi yanapoharibiwa. Aidha, Bashungwa amewaelekeza...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Serikali fanyeni haya ili tutoe ushindani AFCON 2027

    Nikiwa kama mdau wa michezo hasa Mipira wa Miguu, nashauri Serikali kufanya haya ili kuboresha kiwango cha mpira nchini, na hata ushiriki wetu kwenye mashindano yajayo ya AFCON,2027 yatakayo fanyika nchini kwa kushirikiana na wenzetu wa Kenya na Uganda. 1. Tutafute Kocha wa daraja la juu...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Shemsa Mohammed: Watumishi wa Afya Toeni Huduma Bora Ili Wananchi Waone Matunda ya Serikali ya CCM

    Shemsa Mohammed: Watumishi wa Afya Toeni Huduma Bora Ili Wananchi Waone Matunda ya Serikali ya CCM. WAKAZI wa Tarafa ya Laini, wilayani Itilima Mkoani Simiyu wamelalamikia kitendo cha watumishi wa Afya kwenye zahanati kuwatoza fedha ili wapate kadi ya watoto ya kliniki wakati huo hutolewa bure...
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Serikali boreshini utalii wa Makumbusho ya Kihistoria na Utamaduni, wageni hawataki kuona wanyamapori tu

    Moja ya mambo ambayo huwa tunajifariji na kujidanganya nayo wakati wote katika sekta ya utalii ni suala la kuwa na vivutio vingi vya utalii tukimaanisha hasa mbuga na hifadhi za wanyamapori au maliasili iwa ujumla. Ni jambo zuri kuwa na vitu hivi ila ni vyema tukajia hivi sio vitu vya kipekee...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Imeahidi Kufanya Jitihada za Kuhakikisha Mtandao wa Google Unakuwa na Tafsiri Sahihi na Sanifu kwa Lugha ya Kiswahili

    Serikali Imeahidi Kufanya Jitihada za Kuhakikisha Mtandao wa Google Unakuwa na Tafsiri Sahihi na Sanifu kwa Lugha ya Kiswahili "Lugha ya Kiswahili kwa sasa ni Lugha rasmi katika Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC), Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Umoja wa Afrika (AU). Kila tarehe...
  8. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Pongezi za Miaka 60 ya Muungano: Twende Kwenye Muungano Kamili wa Ukweli wa Nchi Moja, Serikali Moja na Rais Mmoja? Kero Zote za Muungano Zitayeyuka!

    Wanabodi, Loe nchi yetu tumeadhimisha miaka 60 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar, na kuwa nchi moja ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Muungano wetu ni muungano adimu na muungano adhimu, kwasababu hapa duniani hakuna muungano mwingine wowote kama huu muungano wetu. Ni muungano wa nchi...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali kubadilisha Uongozi wa Hospitali ya Kitete Tabora kutokana na kutoa huduma duni

    Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Molel ameonesha kutoridhishwa na utendaji kazi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Kitete - Tabora hivyo amesema watafanya mabadiliko makubwa ya Menejimenti kuanzia kwa Mganga Mfawidhi wa Hospitali na timu nzima inayosimamia Hospitali hiyo. Amesema haiwezekani...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Wamarekani wanaposimama imara dhidi ya Israel na serikali yao

    1. Alisema Abraham Lincoln: 2. Hawa ndiyo wale vijana jeuri akiwataka sana Nyerere (RIP): 3. Sasa kimenuka Marekani; kumeibuka vijana jeuri wasiotaka kuwaona wala kuwasikia tena wa aina ya kina Biden, Blinken, Bibi au washirika zao. Kuliko kisiwa cha demokrasia sasa kama Kwa akina Muroto...
  11. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Serikali isikilize kilio cha hawa waathirika wa mafuriko

    Hawa hapa
  12. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Macheyeki: Kukabili Utegemezi wa Mafuta, Serikali Iongeze Matumizi ya Gesi

    Changamoto ya upatikanaji wa mafuta na athari za matumizi yake ilipaswa kutumika kama sababu msukumo kwa Serikali kuongeza kasi katika kuhakikka taifa letu kutumika Nishati mbadala ambayo inapatikana nchini. Lakini tunaona kuna changamoto kuu mbili (2) kubwa; moja ni gharama kubwa za mfumo wa...
  13. chakii

    JamiiForums Tanzania Serikali msizime mitambo ya kuzalisha umeme

    Nimemsikia Waziri wa Nishati Bw. Biteko akisema Serikali imelazimika kuzima mitambo ya kuzalisha umeme kwenye bwawa la Mwl Nyerere kwa kuwa matumizi ya umeme nchini ni madogo kuliko uzalishaji. Nataka nimwambie Waziri Biteko kauli yake ya kuwa matumizi ni madogo SIYO KWELI bali ni kwamba UNIT...
  14. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Macheyeki: Serikali Ichukue Hatua za Madhubuti Kudhibiti Upandaji wa Mafuta Nchini

    Kwa miaka mitatu ya bajeti kuanzia 2021 hadi 2024 pamekuwepo na tatizo la kupanda kwa gharama za mafuta ya Nishati (Petroli, Diseli na mafuta ya taa). Vile vile, robo ya pili ya mwaka fedha unaoishia Juni, 2024 tuliona kuongezeka kwa changamoto ya upatikanaji wa mafuta (uhaba wa mafuta). Tatizo...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali iwekeze kwenye ujenzi wa barabara za kiwango cha lami

    Wadau Mimi nilikua nawazo kwa Serikali kuhusu miundombinu ya Barabara Nchini. Barabara ndio kila kitu kwa mwananchi Ili afike pale anapotaka kufanya shughuli zake. Wazo langu nikuwa Serikali inatakiwa iangalie sehemu zenye watu wengi au makazi waweke Barabara zenye kiwango cha Lami Ili...
  16. USSR

    JamiiForums Tanzania Serikali haioni mateso ya watoto wadogo kupindi hiki cha mvua kubwa na ikasimamisha kwa muda

    Baada ya maji kuwasomba watoto na kuwauwa kule Arusha nilijua serikali ingeona nini kitatokea, na sasa wanasema itachukua wiki mbili kunyesha kwa kiwango kikubwa namna hii na watoto wa kitanzania wanasota huku wale wa nchi za jirani wamesitisha ukatili huu kwa muda Ukiwa njiani unawaona watoto...
  17. Uhumbwe

    JamiiForums Tanzania Serikali ifunge shule kwa wiki moja, isisubiri maafa kwa Watoto

    Kwanini Serikali isizifunge shule katika kipindi hiki kigumu cha mvua? Badala yake inasubiri maafa yatokee kwa watoto ndio watafute mchawi wa kumnyooshea Vidole Mfano; Dar hali ni mbaya ya mvua achana na magari kukwama ila huku kwenye Vitongoji duni hali ni mbaya sana.
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Prof. Mkenda: Wazazi wana haki ya kuzuia Watoto kwenda Shule nyakati za Mvua kubwa

    Wizara ya Elimu imezipongeza shule zilizochukua hatua ya kuwapumzisha wanafunzi wake kwa muda kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha huku ikisema inaendelea kuwasiliana na Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) ili kuona kama kuna umuhimu wakuchukua hatua zaidi. Hayo yamesemwa leo Jumatano Aprili...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Katavi: TAKUKURU yabaini usimamizi mbovu katika miradi ya Serikali

    Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Katavi, Faustine Maijo amesema miradi inayotekelezwa na Serikali kwa manufaa ya Wananchi inashindwa kukamilika kwa wakati kutokana na baadhi ya Watumishi wa Serikali kushindwa kuisimamia ipasavyo. Maijo amesema Watumishi wa...
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wadau wa Uongezaji Thamani Madini Waitikia Wito wa Serikali Kuwekeza Kwenye Viwanda vya Uchenjuaji Madini Nchini

    WADAU WA UONGEZAJI THAMANI MADINI WAITIKIA WITO WA SERIKALI KUWEKEZA KWENYE VIWANDA VYA UCHENJUAJI MADINI NCHINI -Waziri Mavunde akutana na Kampuni ya MAST na AKMENITE -_Viwanda vya Uchenjuaji madini kujengwa Ruvuma,Dodoma,Katavi na Lindi _ -Ujenzi wa viwanda kuanza mapema mwaka huu Waziri...
Back
Top Bottom