serikali

  1. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Wito: Tuweke tafiti za kilimo za Tanzania kidigitali ili zitumike na watafiti, wakulima, Serikali na teknolojia kama AI

    Makala ifuatayo bado ipo katika hatua za uandishi, nitakuja kurekebisha na kuboresha. Nimeitumia AI kunisaidi uandishi hivyo Kuna makosa kadhaa ========================== Tanzania ina hazina ya maarifa Iliyofichwa—Kwa nini tusiifungue? Tanzania imefanya tafiti nyingi za kilimo kwa miaka mingi...
  2. funaku

    JamiiForums Tanzania Bila Serikali na dola kuwa wababe sisi wanyonge tutateswa sana!!

    Katika zama hizi ambazo maendeleo ya nchi yamekuwa makubwa upo umuhimu wa kuwa na Serikali au Dola lenye maguvu na makucha zaidi ...la sivyo kila aliyefanikishwa kuwa tajiri atatutawala sana kutokana na uwezo wake kifedha. Ukiwa na matajiri wenye uwezo wa kununua vyombo vya habari kutaka...
  3. polokwane

    JamiiForums Tanzania Tufanye ufuatiliaji kwa kijana aliye ongea na RC. Dar leo kujua usalama wake wakati wote

    Nimewaza tu hilo na hasa kwa historia na tabia ya serikali hii ya sasa tuliyo nayo.
  4. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania Ushauri Kwa SERIKALI kuhusu FOLENI ZA dar! Mkipuuzia hii basi nyie wendawazimu

    1. Wenye ICD za DAR wapewe VIZIMBA HUKO KWALA halafu ICD za mjini zoote zitoke SERIKALI aifanye biashara ya ICD ikusanywe Kodi Kwa kukodisha! 2. Kuna NJIA ilikuwa inatumiwa na SGR wakati wa ujenz wake! Iwekewe LAMI iwe ya maroli ya mafuta na ya KUBEBA visivyopelekeka ICD ijengwe mpaka chalinze...
  5. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania DIwani Haruna Mushi apongeza serikali kutoa vifaa vya kujifunza kwa vitendo elimu ya watu wazima Kata ya miembeni

    Moshi Manispaa- 18/8/2026 Moshi, Kilimanjaro — Diwani wa Kata ya Miembeni katika Manispaa ya Moshi, Mhe. Haruna Mushi, amepongeza juhudi za Serikali chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwezesha upatikanaji wa vifaa vya kujifunzia katika shule mbalimbali, hatua inayochochea...
  6. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Chalamila umeisikia KAULI " sisi tunaichukia Serikali"? Msaidie Rais kumjuza ukweli

    Akizungumza mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila hivi karibuni, Elias ametaja changamoto kadhaa zinazowasibu kwenye eneo hilo ikiwemo mrundikano wa mizigo mingi kupita uwezo, suala la rushwa na kukosekana kwa choo. Mzungumzaji ni Elias Jonas Mwang'ingo ni Dereva wa Lori...
  7. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa Serikali wanaficha nyuso zao kesi ya Lissu?

    Ni kama vile ingewezekana mawakili wa Serikali nao wangeomba kuendesha kesi dhidi ya Tundu Lissu kwa kificho. Kwenye video hii Kuna kila shaka kwamba mawakili wa serikali hawapendi sura zao kuonekana kideoni. 👇
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Katika mkakati wa PPP ya Kafulila serikali isijenge stendi na masoko.

    Serikali sasa iachane na ujenzi wa stendi za magari na masoko. Haya ni mambo yanayoweza kufanywa na watu binafsi na pia hakuna maana tena ya kujenga majengo makubwa ya kukufanya watu pamoja kama stendi na masoko. Serikali sasa ijikite katika kujenga miondombinu ya reli na viwanja vya ndege...
  9. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania CCM iache kujimilikisha serikali

    Wanakusanya Kodi halafu wanazitumia hovyo na kuzifuja kama Mali zao binafsi. Wakihojiwa wanataharuki. Serikali ya Tanzania siyo Mali ya CCM.
  10. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mchango wa Serikali Kwenye Michezo: Kwanini Usitambulike?

    Kuna jambo ambalo kwa kweli linanifanya nijiulize kwa nini mtu anaweza kuumia kabisa kusikia hata jina la Rais likitajwa kwenye mchezo wa mpira eti kwa sababu Serikali imepongezwa ? Hapa tunahitaji kutenganisha siasa na uhalisia wa maendeleo ya michezo. Kumtaja Rais katika hafla au mashindano...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mali: Mwandishi na Influencer wahukumiwa jela miaka 7 kwa kukosoa serikali

    Agosti 17, 2026, Mahakama ya Mali imemhukumu kifungo cha miaka saba jela mtangazaji maarufu na influencer wa mitandaoni, ambao wote walikuwa wakikosoa utawala wa kijeshi nchini humo Mtangazaji wa televisheni na redio, Mohamed Youssouf Bathily, maarufu kama Ras Bath, amehukumiwa na mahakama ya...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Hivi serikali inasubiri watu wapigane visu kwa ajili ya Simba ndio waingilie kati?

    Siyo siri naangalia mechi hapa na Kagera naona Simba wanacheza hovyo sana,hawana morali,wanacheza kama wapo mazoezini. Hii timu kwa sasa inakatisha tamaa
  13. britanicca

    JamiiForums Tanzania Panya wanalimaliza Godoro wanatafuna saaaaana

    Katika makubaliano ya kutengeneza viota, ili maonesho ya kutafuna mahindi yafanyike na kushirikisha panya mbali mbali klutokas kaya kadhaa, kuna Kaya moja inatumia mwanya huo kulitafuna Godoro sana ! Ubaya zaidi hakuna paka! Yule panya mwenye mashurubu mengi kutoka maeneo ya kichuguu Kala nusu...
  14. Y

    JamiiForums Tanzania Hii sio Dunia ya Serikali kuhodhi ujenzi wa miradi yote mpaka choo- David Kafulila

    Kafulila: Serikali Haiwezi Kujenga Kila Kitu, Sekta Binafsi Ipewe Nafasi. == Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC), David Kafulila, amesema Serikali haiwezi kumudu kugharamia kila aina ya mradi nchini, hasa miradi ya kibiashara, wakati mahitaji ya...
  15. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Poleni sana wanywa pombe wa Tanzania Chukueni hatua mamlaka zimelala

    GT Hakuna jambo linalonitia hasira kama energy drinks ..haya ni mauaji ya halaiki na sijui kwa nini haipigwi stop. Pombe nazo ni balaa jingine sasa tangu zamani watu.washasema pombe za TZ nyingi ni fake. Rwanda wamechukua hatua lakini sisi kimya. Walevi poleni sana na mchukue hatua mwafa .
  16. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Wahadhiri 100 kuchanga sh laki tano pekee kwa Mhadhiri wa UDOM anae shitakiwa kwa ugaidi. Je huu ndio ujumbe wanao upeleka kwa serikali ya Samia? 👇👇

    Picha lina anza mhadhiri wa UDOM anakamatwa na vyombo vya dola kisha kushtakiwa kwa kosa la ugaidi. Je huyo mhadhiri ametenda kosa la ugaidi? Mimi sio mwanasheria ila najua kuwa this case is Res Sub Judice, and therefore very little to comment about that. Hukumu ya Mahakama ndio itakayo tupa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Serikali itoe 1/2 fidia - kuzima chuki.

    Kosa limeshatokea Kwa watumishi wake kuleta madhara yasiyo tarajiwa. USHAURI ; 1. Serikali ishiriki kikamilifu katika hatua zote stahiki Kwa kutoa ushirikiano Kwa wazazi. Ingawa serikali Haina kosa kabisa ( haijathibitika kosa ni la wahanga au watumishi wake) 2. Hekima,busara na uvumilvu...
  18. O

    JamiiForums Tanzania Tuanze kufikiri namna ya kuwa na Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) kwenye Katiba ijayo ili kutengeneza umoja na mshikamano wa kitaifa

    Watanzania ,ninaleta kwenu wazo la kuwa na Serikali ya Umoja wa Kitaifa kwenye Katiba mpya.Ninapendekeza kwamba chama cha siasa au mgombea binafsi atakayepata kura kuanzia Asilimia Kumi (10%) kiwe ndani ya Serikali. Hii itasaidia kuondoa mtindo tulio nao sasa wa mshindi kuchukua vyote hata kama...
  19. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula aitaka Serikali ya Tanzania itoe maelezo kuhusu tuhuma dhidi yake kupeleka watu kusaidia kupora Zambia!

    Ndugu Watanzania! Nchi yetu imeingia katika dimbwi la matope na kinyesi. Tanzania inatuhumiwa kupeleka watu kwenda kusaidia kupora Uchaguzi wa Zambia kumsadia Hakainde Hichilema anayesadikika kuwa ameshindwa Uchaguzi ili aapishwewa kuwa Rais wa Zambia kwa muhula mwingine. Mgombea wa upinzani...
  20. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni wazi wananchi wa Zambia wameamua kuirejesha serikali yao madaraka kwa awamu ya pili, hakuna haja ya waliokataliwa kulaumu au kusingizia waTanzania.

    Kiongozi wa upinzani Zambia mh. Brian Muntayala Mundubile, ni vizuri akawa mtulivu na akaheshimu demokrasia na maamuzi huru ya wananchi wa jamuhuri ya Zambia kwa kumchagua tena Rais Hakainde Hichilema. Hakuna haja ya kusingizia waTanzania, wakati wananchi wa Zambia kwa uhuru, haki na utashi wao...
Back
Top Bottom