serikali

  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mbunge Simai: Kuna Yuda Msaliti ndani ya Serikali hili anatafuta huruma kanisani

    Mbunge wa Baraza la Wawakilishi na Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu, Simai Mohammed Said, amesema mafanikio ya Serikali katika ukusanyaji wa mapato yanaonyesha kuwa Tanzania ipo katika mwelekeo sahihi wa kiuchumi chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Akichangia mjadala wa Bajeti ya...
  2. MaweSaba

    JamiiForums Tanzania Alisema hatazuia maiti, leo waliouawa Oct 29 wamezuiliwa na Serikali yake

    Katika ahadi ya 4 ya Mgombea Uraisi kutoka CCM alisema ETI... "Serikali itapiga marufuku hospitali yoyote nchini kuzuia miili ya Marehemu kuchukuliwa na ndugu zao hata kama gharama za matibabu aliyopatiwa marehemu yazijalipwa. Serikali itakuja na mfumo mwingine wa kuhakikisha jamaa wa marehemu...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa PEPMIS umechangia Watumishi 370 wa Halmashauri ya Jiji la Dar tusipandishwe daraja

    Mimi ni mtumishi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Idara ya Utawala na Rasilimali Watu. Tuna changamoto kubwa inayohusu mfumo wa PEPMIS, ambapo mwaka 2025 tulitakiwa kupanda daraja lakini haikuwezekana kutokana na supervisors kushindwa kuingia kwenye mfumo huo. Cha kusikitisha ni kwamba...
  4. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kupeleka wazee kushangilia Serengeti Boys kwa gharama za serikali ni jambo lisiloeleweka

    Wakuu nimeangalia video na picha kadhaa wazee wakiwa kwenye ndege kuishangilia Serengeti Boys kwa gharama za serikali. Hii sikubaliani nayo kabisa. Hawa wazee kwenye ajira na uongozi hawaachii ngazi ila bado hata nafasi ya vijana kwenda kushangilia vijana wenzao wanabana.. HII NI AIBU. Ila...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ndaki: Deni la Taifa linaweza lisiwe himilivu, Serikali ipunguze Ukopaji wa Ndani

    Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Bajeti Mashimba Ndaki amesema; "...Pamoja na kwamba deni la serikali limekuwa himilivu kwa viwango vyote vya kimataifa, kielelezo cha uwiano wa deni kwa mauzo ya nje hivi sasa ni 13.9% wakati ukomo ni 15%. Hivyo endapo hatutaimarisha mauzo yetu nje...
  6. University of Dodoma (UDOM)

    JamiiForums Tanzania Viongozi wapya wa serikali ya wanafunzi UDOSO 2026/27 waapishwa

    Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) leo, tarehe 1 Juni 2026, kimewaapisha viongozi wapya waliochaguliwa kuiongoza Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOSO) kwa mwaka wa uongozi 2026/27. Hafla hiyo fupi ya kuapishwa imefanyika katika Ukumbi wa Seneti Jengo la Benjamin Mkapa ( Utawala Mkuu)...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mpina: Kuna tuhuma za wizi wa kutisha! Deni la serikali lapaa kutoka trilioni 60.7 hadi 115.2 kwa miaka mitano

    "Kuna tuhuma ya wizi wa kutisha kwenye mikopo ya serikali ambapo kwa miaka mitano iliyopita deni la serikali limeongezeka kutoka trilioni 60.7 Machi 2022 hadi trilioni 115.2 Februari 2026, sawa na ongezeko la trilioni 54.3. Deni limeongezeka kutoka ukuaji wa wa asilimia 7 hadi ukuaji wa asilimia...
  8. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Serikali iache Uongo. Walisema kufikia Juni 2026 Bwawa la Kidunda litakuwa limekamilika

    Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu mwaka jana walijitapa kuwa bwawa la kidunda litakamilika kufikia June 1 2026 Tena wakijitapa kuwa mradi upo asilimia 40 kwa wakati ule Leo hii ni june lakini ndo kwanza mradi wanasema upo 50% means kwa miezi 7 yote wamejenga 10% tu means kwa hesabu ya haraka...
  9. Rocky City

    JamiiForums Tanzania Walimu waliweka tiki Oktoba 29, wamepigwa pini madaraja wanatoa milio

    Huenda kada ya walimu ni kada yenye laana, masikini na isiyo jielewa, hii ndio kada pekee inayo tumiwa na CCM kuwekwa madarakani, Oktoba 29 wao pia walichangia kwa asilimia kubwa sana, vipande vya laki na 40,140000 walivyo pewa wakaona ndio posho ya maana, sasa hivi wanalia mtaani wamegomewa...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO ILEMELA, MWANZA: Je, Serikali ya CCM Inashindwa Kumdhibiti Mwana CCM Anayevunja Sheria?

    ILEMELA, MWANZA: Je, Serikali ya CCM Inashindwa Kumdhibiti Mwana CCM Anayevunja Sheria? Buswelu A – Majengo Mapya, Ilemela. Mwaka 2019, wananchi wa eneo hili waligundua kuwa kuna mpango wa kujenga baa katikati ya makazi yao. Kwa kuwa sheria za nchi zinadhibiti wazi wapi baa zinaweza kujengwa...
  11. Desierto

    JamiiForums Tanzania Kwanini serikali haitaki kuwekeza kwenye elimu hasa ya mafundi simu?

    Hebu fikiria hizi picha hapo chini nimejifunza mwenyewe jinsi ya kutoa na kurudishia emmc hadi prosesa. Je ningeweza kusoma na kufundishwa si ningekuwa mbali zaidi. Wao kazi yao ni kuja tu kudai leseni kaa mafundi simu ila kutusaidia tuwe na ujuzi zaidi hawataki. Mfate fundi simu yoyote...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Huku gharama za maisha zikizidi kupanda, serikali haramu yaipa serengeti boys Tsh Milioni 500.

    Kuna vitu vinasikitisha sana. Watanzania tulifanya makosa sana kuwaacha hawa manyangau wawe wazima 29 Oktoba. Hakuna wanalojali kuhusu wananchi zaidi ya kujiamulia na kuila nchi yetu tu. Fikiria, pamoja na gharama za mafuta kupanda kunakopelekea maisha kuwa magumu, hakuna jitihada zozote...
  13. Mercenary Army

    JamiiForums Tanzania Kero ya Ada Chuo cha Maji (Water Institute): Unyanyasaji wa kuzuia wanafunzi kufanya Test 1 na 2 kisa salio dogo la ada unakiuka maagizo ya Serikali

    WanaJF salamu, Ninaleta mada hii mbele yenu nikiwa na majonzi na masikitiko makubwa kutokana na hali halisi inayojiri katika Chuo cha Maji (Water Institute) kwenye Muhula huu wa Pili (Semester II). Kumekuwa na mfumo wa uendeshaji unaoonekana kulenga faida au biashara zaidi badala ya kutoa huduma...
  14. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TAKUKURU-Tabora, toeni taarifa kwa umma juu uchunguzi wa mhakiki mali (Muuzaji wa minada ya serikali ya Tabora) kuhusu kuficha baadhi ya magari

    Siku ya tarehe 26 mwezi 5, 2026 mhakiki mali wa Tabora au dalali wa Serikali ambaye ni mtumishi wa Serikali chini ya hazina kaficha baadhi ya magari taktibani 5 ya mnada uliokuwa Tabora kama Land Cruiser ya OCD Tabora (lot no 4), Land Rover puma n.k zilizokuwa kwenye mnada ambayo ni kwa maslahi...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Wapangaji Nyamanoro waomba serikali iingilie kati baada ya kufukuzwa katika nyumba walizopanga

    Wapangaji waliokuwa wakiishi katika nyumba namba 59, kwenye viwanja namba 169, 171 na 173, Kitalu “F”, mtaa wa Mnyampala, Kata ya Nyamanoro, Wilaya ya Ilemela, wameiomba serikali iingilie kati na kuwasaidia kupata haki zao baada ya kufukuzwa na kutolewa nje ya nyumba walizokuwa wakiishi...
  16. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke wa Kibera Achomwa na Maharagwe Moto Kwa Kudaiwa Kuunga Mkono Serikali ya Ruto

    Siasa za 2027 zimeanza kuleta tension ground mapema. Maureen Masili kutoka Kibera anapigania maisha yake katika hospitali ya KNH baada ya kudaiwa kumwagiwa maharagwe moto kufuatia mabishano kuhusu slogan ya “Tutam” inayomuunga mkono President William Ruto. Kulingana na familia yake, ugomvi...
  17. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Bangladesh yaingilia kati uchinjaji wa ng'ombe 'anayefanana na Trump'

    Kuchinjwa kwa fahali aliyekuwa akisemekana kufanana na kupewa jina la utani “Donald Trump” kutokana na nywele zake kusimama. Fahali huyo, ambaye alikuwa anatarajiwa kuchinjwa wakati wa Eid, amechukuliwa na serikali ya Bangladesh ambayo imesema imechukua jukumu la kumtunza. Siku moja kabla ya Eid...
  18. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Wanatuonesha maziwa na matako mtandaoni kwa kigezo cha kunadi biashara ya nguo za ndani; Serikali haiwaoni?

    Kwanza nikiri huyu dada ni chuma haswa yani ni mzuri mpaka mzuri tena Ana rangi ya chocolate, macho mazuri na shape pia mashaallah anayo. Ana biashara yake ya kusimamisha maziwa na yeye mwenyewe ndiye anayefanya kama sampuli kuvutia wateja ila sasa kukaa kifua wazi kabisa bila chochote...
  19. S

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali itaanza lini utekelezaji mpango wa mabasi maalum ya wanafunzi? Wanaathirika na gharama baada ya mafuta kupanda bei

    Kupanda kwa bei ya mafuta kunakoendelea kumesababisha ongezeko la gharama za maisha, ikiwemo bei za bidhaa mbalimbali na huduma muhimu za kijamii. Miongoni mwa athari zinazozidi kujitokeza ni changamoto ya usafiri kwa wanafunzi, hasa baada ya kuongezeka kwa nauli za daladala na vyombo vingine...
  20. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Oktoba 29 Serikali ilitumia busara, Majeshi yalitaka kugonganishwa

    Katika mahojiano ya hivi karibuni na M&S Podcast, Mahita amesema kuwa mamlaka za kiserikali zilionesha hekima na ustahimilivu mkubwa kwa kukataa kuingizwa katika mtego wa mapambano ya ghasia, jambo ambalo lililinda na kuhifadhi utulivu wa kitaifa. Kwa kuonya dhidi ya hatari ya kuiga mapinduzi...
Back
Top Bottom