serikali

  1. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Tetesi: CHADEMA wanapambana kuiomba CCM wampe Tundu Lissu nafasi ya Umakamu ili waunde Serikali ya mseto

    Friends and Our Enemies, Ukistaajabu ya Nchimbi utayaona ya Chama Cha Maandamano, Kuna taarifa zinazagaa zagaa zikielezea kuwa John Heche na Genge lake linahaha kuwatafuta CCM ili wawashawishi wamtoe lupango Tundu Lisu ili waunde serikali ya mseto wao na CCM ili kushughulikia masuala ya nchi...
  2. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Ile barua inayozunguka mitandaoni ni fake mpaka msemaji wa serikali atoe tamko la kuipokea

    Nadhani kuisambaza barua ambayo Haina baraka za serikali au ushahidi wa matamshi wa mhusika (aliyejuhudhuru) ni kosa kisheria. Mambo serikalini hayaendi kwa kukurupuka juzi tu hapa tulisikia account ya VP ime - hacked zaidi ya mara 50 halafu Leo hii mtu anaamini upesi kiasi hiki, lazima watu...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kuna viongozi serikalini toka Tanzania bara mnaonwa kama wasaliti wa Tanzania bara; muda ukifika msije mkamlaumu mtu kwa yatakayowakuta

    Kuna viongozi wanaotoka upande wa Tanzania bara katika serikali hii ya awamu ya sita chini ya Raisi Samia ambao wananchi wa Tanzania bara wanawaona kuwa wasaliti wakubwa wa Tanzania bara, au kama wanavosema "wasaliti wa Tanganyika". Siku ikifika yakawakuta ya kuwakuta msije mkamlaumu mtu, kwa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO TCRA na Serikali mnapambana na JF mmewaacha Meta waue kizazi chetu?

    Ukiingia WhatsApp Channels, Meta wana mkakati wa makusudi wa kupendekeza channels za ajabu kwa watanzania. Hiki kitu ni cha makusudi kabisa lakini TCRA na mamlaka za Serikali wako kimya. Wao adui mbaya kwa Taifa ni anayewakosoa sio anayefanya mambo kama haya ya Meta. Nimeangalia simu ya...
  5. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mwaipopo: Heche badilisha siasa zako, kupinga Serikali ni sawa na kupigana na Mlima Kilimanjaro

    Mhadhiri wa Kiislamu na Katibu wa Baraza la Habari la Waislamu Tanzania, Sheikh Saidi Mwaipopo, amemtaka Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, kubadilisha mwelekeo wa siasa zake kwa kuacha siasa za kupambana na Serikali, akisema upinzani wa aina hiyo unaweza...
  6. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Je Kuna sababu zozote za msingi ambazo zinaifanya serikali kutoifuta kesi ya lissu mpaka Sasa ?.

    Uchaguzi umepita tayari , je kama uchaguzi umepita na Maisha yanaendelea , Kuna sababu zipi za msingi ambazo zinaifanya serikali kutoifuta Kesi ya Lissu ?.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe na Kigaila waipongeza Serikali kwa kutimiza ndoto ya Watanzania

    Mbowe: "Vilevile nawapongeza TANESCO kwa upande wao na Wizara wamefanya kazi kubwa kusimamia jambo hili na kutimiza ndoto ya Watanzania kupata umeme wa uhakika. Megawati 2,115 kwa wakati mmoja so sio jambo la kitoto, ni jambo kubwa sana. Hasa inapokuwa kwamba fedha hizo zinatokana na kodi za...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Prof. Shemdoe awaasa Viongozi Serikali za Mitaa kuepuka Migogoro ili kuongeza Ufanisi wa Huduma kwa Wananchi

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amewaasa viongozi katika Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kuepuka migogoro miongoni mwao na baina yao na watumishi wanaowaongoza, akisisitiza kuwa migogoro mahali...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali inatumia nguvu kubwa dhidi ya Tundu Lissu?

    Binafsi sio mshabiki wa Chadema Wala Chama chochote cha kisiasa ila nimekuwa nikijiuliza hili swali Ebu jaribu kuondoa ushabiki wa kisiasa tuuvae ubinadamu jamaa kapitia changamoto kubwa sana imagine kapigwa risasi kumi na 6 na zote zimeingia mwilini tena eneo kapigiwa ni la wazi lakini cha...
  10. Waterloo

    JamiiForums Tanzania John Heche: Hatutaipigia magoti Serikali hii dhalimu ya CCM

    "Wanachadema kafanyeni kazi, huu uamuzi umesikitisha lakini ni wa muhimu na wa kihistoria ambao huko mbeleni watu wengine wataangalia na kusoma majina yao, watajiuliza itakuwaje." Mhe. @HecheJohn John Heche na Tundu Lissu ni hardliners wa siasa za upinzani hapa nchini kwa sasa. Wacha tuone huu...
  11. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna Sh 200 feki, nimekutana nazo mara kadhaa Dar, Serikali iangalie hii

    Hizi mia mbili zimekuwa nyingi na zinaonekana kama siyo halali, hapo kwenye clip kuna miambili original na feki, sasa feki ziko nyingi tunaomba serikali ifatilie hili maana zimezidi kuwa nyingi. Feki unazitambua zina mlio kama hela za zaman zile shilingi ,ukizipiganisha na za sasa utaitambua tu...
  12. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Huu ukimya wa wananchi nchi nzima ni ishara serikali ya awamu hii inatimiza ahadi zake ipasavyo

    Kwa kipindi kirefu sana, wananchi wa nchi pendwa ya kizalendo ya Tanzania walikuwa na malalamiko ambayo kwa sasa ni dhahiri inaonekana yamepata ufumbuzi kufuatia ukimya uliopo. Yale malalamiko ya wananchi haswa kwa wabunge na madiwani wao yamepungua sana kiasi kwamba ni adimu kukutana na...
  13. lord atkin

    JamiiForums Tanzania Sioni dalili ya Lissu na CHADEMA kunyoosha mikono, Serikali iangalie njia nyingine

    Laiti kama serikali ingekuwa inamfuatilia Tundu Lissu na kuisoma akili yake ingegundua siyo mtu wa kumtishia na kesi. Siyo mtu wa kumtishia na jela, mahabusu wala hukumu ya kunyongwa. Upo msemo kwamba ukimjua adui yako ndiyo unaweza kumshinda. Njia ya kesi na jela ilizaa matunda kwa Freeman...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Serikali na Samia sio Wajinga kukubali kushindwa kwa "NO CASE TO ANSWER" kwa sababu zifuatazo

    Kimsingi kesi ya Tundu Lissu imeshaisha. Lakini CCM, Samia na serikali yake kupitia DPP sio wajinga kuruhusu aachiwe tu kwa "NO CASE TO ANSWER" kwa sababu; 1. NO CASE TO ANSWER ingemaanisha au kuthibitisha madai ya kuwa kumbe ni kweli kesi hii ilikuwa ni ya kutunga. #Mahakama za bongo hazina...
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Serikali na Lissu ni kama vita vya Marekani na Iran

    Hii kesi ya Serikali na Lissu inafanana sana na vita vya Marekani vilivyovianzishwa na Trump dhidi ya Iran. Marekani ni superpower kijeshi na anatumia silaha kubwa sana na assets za kila aina kumpiga Iran ila Iran bado imekeza tu japo inaumia haswa kweli. Marekani ina uwezo mkubwa wa kijeshi na...
  16. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mawakili wa serikali wamepaniki baada ya rais Samia kutajwa kama shahidi kwenye kesi ya Lissu?

    Naomba watu wa sheria watoe maelezo kidogo juu ya sheria za mahakama juu ya ahadi na ushahidi. Naona mawakili wa serikali wamepigwa ganzi ghafla baada ya Lissu kutaja mashahidi wake.
  17. tucker carlson

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa Serikali wapinga Rais Samia na wenzake kuitwa mahakamani

    Mawakili wa Serikali wapinga Rais Samia na wenzake kuitwa mahakamani Wakili wa Serikali Mkuu, Nasoro Katuga, amesimama: Upande wa Jamhuri unajua ni haki ya mshitakiwa kujitetea na yeye kueleza kuwa atajitetea mwenyewe. Lakini kuna suala la mashahidi ambao mshitakiwa anataka wapewe summons...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Je, hatua hii ni sahihi kwa mawakili wa serikali kupinga mashahidi wa Lissu kufika mahakamani?

    Japo mimi sio nwanasheria, ila najiuliza kama ni sahihi kwa mawakili wa serikali kupinga mashahidi wa Lissu kufika mahakamani kutoa ushahidi kwani alishawataja katika hatua za awali na mawakili wa Serikali hawakupinga. Sasa swali: Kama hawakupinga mashahidi aliowataja Lissu katika mahakama ya...
  19. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Bibi Titi Mohamed ameenziwa na serikali wakati alikuwa mhaini?

    Bibi Titi Mohamed na wenzake walihukumiwa kifungo cha maisha gerezani kwa makosa ya uhaini ya kutaka kuipindua serikali ya Nyerere mwaka 1970. Kwa nini amekuwa anaenziwa kwa kupewa Barabara yenye jina lake "Barabara ya bibi Titi" na pia kufanyiwa matamasha mbalimbali ya kukumbuka historia yake...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Tundu Lissu inaiweka Serikali katika mtego wa mambo haya

    Kuna mambo yanaweza kuwaweka Serikali kwenye mtego kwa kila maamuzi yatakayofanyika kwenye kesi ya Tundu Lissu. Kama Serikali itamfunga Tundu Lissu haya ndio yanaweza kukutana nayo: 1. External pressure, nchi za Ulaya zitazidi kuweka vikwazo kwa Serikali ya Tanzania kwa uzito mkubwa sana...
Back
Top Bottom