Moto unazidi kuwaka.
Mr.Michael Gahlev, mratibu wa mambo ya nje katika Bunge la ulaya, amewasilisha mapendekezo kwenye Umoja wa ulaya, kuhusu Hali ya Tanzania.
Mapendekezo hayo ni pamoja na viongozi wanaojihusisha na uminywaji wa demokrasia na Hali za binadamu kuwekewa vikwazo vikali na Umoja...
Serikali ya Tanzania imekuwa ikitekeleza mfumo wa kuuza mazao ya wakulima kupitia minada ya kiserikali kwa lengo la kudhibiti bei na kuleta uwazi katika biashara ya mazao. Hata hivyo, mfumo huu una changamoto nyingi ambazo zinaathiri moja kwa moja kipato cha mkulima wa kawaida. Mfano halisi ni...
Serikali ya Kenya haitaweza kufumbia macho serikali ya Tanzania tena! Lazima watasaidia demokrasia.
Kikubwa ni kwamba Kenya ndiyo wawekezaji wakubwa Tanzania. Lakini Tanzania na Kenya ni watu walewale waliotawaliwa na makoloni tofauti. Kuna maelewano sasa kwa Raisi Ruto wa Kenya na Odinga...
Wakuu, kwa hali ya kisiasa ya style hii katika nchi, kuna harufu pengine jeshi lililo upande wa wananchi likaingilia kati, ipo siku tutalala tukiongozwa na Rais tunayemjua tukaamka na mamlaka ya kijeshi kama ilivyo huko 🇧🇫, 🇲🇱 na 🇳🇪.
https://www.youtube.com/live/SzOMXx0WhoE
NALAANI upotoshaji huu wanaoufanya Hawa chain of activist uchwara!
°Uchafuzi wa jina la taifa letu unazidi kuharibika,
Nchi ya Botswana ni mfano mzuri wa nchi yenye rasilimali moja kuu — almasi — ambayo imeweza kutumia vizuri rasilimali hiyo kuwasaidia wananchi wake kuwa na ajira na kuboresha maisha yao kwa kiwango kikubwa.
Sababu za mafanikio ya Botswana:
1. Usimamizi mzuri wa mapato ya rasilimali...
Habari za Leo!
Tunajua kilichowakuta awamu ya Kwanza. Bado tunaendelea kushuhudia vijana wa Kenya wakitoa sumu kwa Mamlaka ya Tanzania hasahasa kumshambulia Rais wetu.
Swali, je wanaharakati hao wataendelea kuja kushuhudia kesi ya Lisu ili kuzidi kuiharibu taswira ya nchi yetu kimataifa...
Rais Samia Suluhu Hassan, akiapisha viongozi wateule ikiwemo wa Tume ya Maadili leo Mei 24, amewataka kusimamia maadili kwa watumishi wa umma kwa nguvu na uadilifu.
"Sisi viongozi ni watu na wanadamu, kuna miiko tumewekewa. Ukitufanyia tathmini leo unaweza ukatukuta asilimia 30 tu kweli...
Chama cha Wanasheria wa Kenya (LSK) kimeeleza kukerwa sana na kitendo cha kinyume cha sheria, kisicho na msingi, na cha kiholela cha kuwazuia kuingia nchini Tanzania wanachama wao wawili, Bi. Martha Karua na Bi. Gloria Kimani, pamoja na Bi. Lynn Ngugi, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amesisitiza kuwa Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba SC na RS Berkane itachezwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, Mei 27, 2024 kwa kuwa Serikali imefanya jitihada mbalimbali za...
Jamii ya wananchi wa mkoa wa Lindi na MTWARA ni jamii nyingine. Huko Arusha mnasema kuna watu wamepinda , yes wamepinda lakini ni kwaajili ya mabange tu na usela mavi.
Watu wa kusini ni next level.
Serikali ya Tanzania imefanikiwa kudhibiti vyombo vya habari hawawezi kurusha kila kitu . 2013...
Wapo wahuni wanaotaka ku-spin na kuzua dhana ya hovyo kabisa kuhusu ushirikiano uliopo kati ya Serikali na Kanisa Katoliki.
Jambo hili haliwezi kufanikiwa kamwe na wanaofanya hivyo watashindwa.
Hivi karibuni Mhe.Rais Samia alipokea barua(memo) kutoka kwa hayati PaPa fransisko ikimtakia heri ya...
Kanisa roman catholic ni kubwa kuliko serikali ya Kenya na nchi zingine matumizi ya nguvu bila akili kitaonekanan kinachotafutwa kila mtu atakuwa anaongea lake kwenye serikali yake.
Angalia ikiwa wewe au watoto wako mna kupe katika ukoo wenu, CCM na serikali yake yote vikiwemo vyombo vyake havina tofauti na mdudu Kupe. CCM sio chawa ni kupe.
Hii hapa taarifa Rasmi
Tanzania imekuwa na uhusiano mzuri wa kibiashara na Malawi katika biashara ya bidhaa mbalimbali za kilimo. Biashara hii ya kikanda na kimataifa inaongozwa na miongozo iliyotolewa na Baraza la Afrika la Masuala ya Afya ya Mimea (IAPSC) pamoja na Mkataba wa Kimataifa wa...
Ripoti za ndani ya nchi zisizokuwa na shaka zinaonesha kuna wizi mkubwa wa fedha za umma katika mamlaka na kuna ukamataji na utekaji wa wale wanaopigania haki na kukemea wizi na rushwa kwa serikali ya Tanzania na kuhamasisha uchaguzi wa haki kuelekea uchaguzi mkuu.
Nitoe wito kwa umoja wa...
Kama mnavyojua, kamala harris aliyekuwa vice president wa U.S, aliitembelea Tanzania March 29 mwaka 2023. Aliahidi kwa niaba ya serikali ya U.S. kuipatia Tanzania U.S. Dollar milioni 500 hivi. Sasa kwa bahati mbaya kichaa Trump ndio kakabidhiwa White house.
Na unaona anavyoichangamsha...
Katika beach nzuri za Tanzania ukitoa za zanzibar basi nyingine zipo wilaya ya pangani zile beach white sand beach ni nzuri sana
Mandhari Pembeni mwa beach ni nzuri sana nini kifanyike
Wilaya yote ya pangani ipimwe kisasa
Kutengwe makazi ya wananchi wa kawaida
Kutengwe makazi kwa ajili ya wale...
Serikali inacheza na akili za wadanganyika wa hili Taifa. Swala la Wachina si kwamba Serikali haijui inajua sana ila inataka kuzuga inajali raia wake kipindi hiki cha uchaguzi.
Mashariti ya mikopo wanayo pewa na China ndio ina hivyo vipengele, na sio kwa Tanzania pekee ni kwa mataifa mengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.