serikali ya tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. McLaren

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Yaliyomo kwenye muswada wa Marekani kuipa vikwazo Tanzania. Polisi, TISS na Wachina wametajwa

    Kuhusu Demokrasia, Uchaguzi na kinachoendelea Tanzania, Muswada huu ambao umetengenezwa na Seneta Ted Cruz na Shaheen unasema yafuatayo: (1) Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo uchumi wake unakua kinoma Afrika, kukiwa na ukuaji thabiti wa kiuchumi katika kipindi cha miaka kumi iliyopita...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Dangote Group kuingia ubia na Serikali ya Tanzania Mradi wa kusafisha mafuta ghafi unaokadiriwa kugharimu takribani Dola Bilioni 17

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo amekutana na kuzungumza na Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, Ikulu Dar es Salaam. Mazungumzo hayo yalijielekeza katika kuimarisha ushirikiano kati ya Serikali na makampuni ya...
  3. McLaren

    JamiiForums Tanzania Msemaji Mkuu Wa Serikali Gerson Msigwa awaita walipa kodi 'Nguchiro'. Ni kiburi cha aina gani hiki?

    Alichoandika Gerson Msigwa leo kwenye ukursa wake wa X Kuna shida gani namba ya Mtumishi wa Umma kuwekwa hadharani? Mbona kwenye website ya Bunge kwenye kila profile ya Mbunge wameweka namba zao? Kwenye websites za Halmashuri na taasisi nyingine za Serikali namba za viongozi zote ziko...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mwandishi Kenya: Serikali ya Tanzania inaniwinda sababu haipendi tunavyofanya

    Serikali ya Tanzania inaniwinda mimi binafsi, kwasababu haipendi tunafanya na tunasema ukweli, Serikali ile ya Tanzania ni ya kiimla haikuchaguliwa na Wananchi wa kweli, ni serikali ambayo imeiba kura na wakaua watu. Sisi kama Maskani tukiangazia wanatuwinda, wametutumia mpaka mademu...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania kuingilia Uchaguzi wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC): TOC ijiandae kufungiwa na IOC

    "Waacheni wananchi watoe yaliyomo vifuani mwao kwa uhuru. Kwa kufanya hivyo itatusaidia sisi kama Serikali kwa namna mbili; Kwanza, tutajua wananchi wetu wanafikiria nini kuhusu jambo fulani. Pili, itatusaidia sisi kama Serikali iwapo tumekosea tuweze kujisahihisha na kuendelea kuwakelea...
  6. F

    JamiiForums Tanzania MAPENDEKEZO: Umuhimu wa Kupunguza Ukubwa wa Serikali ya Tanzania ili Kupunguza Matumizi ya Umma na utitiri wa taasisi

    Serikali ni chombo muhimu katika kusimamia maendeleo ya taifa, kulinda usalama wa raia, na kuhakikisha utoaji wa huduma za kijamii. Hata hivyo, kadri serikali inavyokuwa kubwa kupita kiasi, ndivyo inavyoongeza gharama za uendeshaji, hali inayoweza kuathiri uchumi wa nchi. Kwa muktadha wa...
  7. figganigga

    JamiiForums Tanzania Nini kinaendelea? Internet ni shida na Askari wapo kila kona

    Serikali ya Tanzania ipo Vitani? Internet ni shida, na Askari kila kila kona Nini kinaendelea? Wananchi tuambiwe kama TFF wameshaingia Mjini ili tusaidie kuwatafuta. Hakuna huduma za Kijamii, zote zinayumba.. Watoa huduma kama NIDA, UHAMIAJI, TRA, RITA, Mifumo inasumbua na haisomani. Baadhi ya...
  8. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Balozi wa Umoja wa Ulaya akiri EU imeanza kuweka vikwazo kwa Serikali ya Tanzania baada ya Uchaguzi wa 2025

    Umoja wa Ulaya umekiri kuweka vikwazo vya kifedha kwa serikali ya Tanzania kufuatia Uchaguzi wa 2025 ambao wadau wengi walikiri kuwa ulidhoofisha demokrasia. Katika mahojiano ya kina na ya nadra, Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania, Christine Grau, alithibitisha kuwa umoja huo tayari...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Tanzania inamiliki 15% mradi wa Crude Oil pipeline kutoka Uganda na tayari tumetoa bilioni 995 kumiliki hisa

    Akizungumza na vyombo vya habari leo Januari 20, 2026 Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema Serikali ya Tanzania kupitia TPDC inamiliki asilimia 15% katika Mradi wa Crude oil pipeline wenye ubia na TotalEnergies (62%), Uganda National Oil Company (15%), and CNOOC kampuni ya China(8%)...
  10. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Pata picha eti hawa ndo wabeba maono wa Serikali ya Tanzania

    GT Sina ugomvi na watu wa Pwani lakini ni watu wavivu sana. Na serikali ikijaza watu wa aina kwenye uongozi usitegemee chochote cha maana kitafanyika.. Mfano. 1. Mchengerwa 2. RITZ 3..Awesu 4.Jafo 5. Ulega Etc Nchi hii ili iweze kusonga mbele upstairs wanatakiwa wawepo. 1. Wachaga 2. Wahaya...
  11. upupu255

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Pichaa hii ya Padri Kitima na John Heche walipofanya mazungumzo Januari 06, 2026

    Wakuu hii picha inasambazwa kwa kasi sana mtandaoni leo inasemekana kuwa Padre Kitima na John Heche walikutana na kufanya mazungumzo Januari 06, 2025. Je, ni kweli? i
  12. Damaso

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania imekuwa kama familia ya Mfalme Christian IX wa Denmark na Malkia Louise wa Hesse-Kassel

    Katika karne ya 19 na mwanzo wa karne ya 20, Ulaya ulikuwa ukielezwa mara kwa mara na wanahistoria kama “familia moja kubwa ya kifalme.” Kwa kweli, majumba ya kifalme ya Uingereza, Urusi, Ujerumani, Norway na Ugiriki yaliunganishwa si kwa siasa tu bali kwa damu ya familia. Ukitazama hiyo picha...
  13. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Mtanzania jiulize kwanini Sweden yenye watu wachache kuliko Tanzania lakini Serikali ya Tanzania inaomba misaada ya walipa kodi wa Sweden

    Sweden 10,656,633 Idadi ya watu Sweden GDP 619.27 USD Billion Tanzania70,545,865 Idadi ya watu Tanzania GDP 83.51 USD Billion
  14. Inside10

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 CHADEMA yatangaza kutoitambua Serikali ya Tanzania

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kutoitambua serikali ya Tanzania iliyozaliwa na uchaguzi wa Oktoba 29, 2025, ikidai kuwa uchaguzi huo uligubikwa na ukiukwaji wa haki, sheria na misingi ya demokrasia. Katika taarifa yao kwa umma iliyotolewa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA...
  15. U

    JamiiForums Tanzania UN yaitaka Serikali ya Tanzania kuwalinda waandamanaji katika maandamano yaliyopangwa tarehe 9/12 na kuendelea

    #BREAKING: UN CALLS FOR LIFTING OF PROTEST BAN IN TANZANIA AHEAD OF DECEMBER 9 The Tanzanian government has been urged to uphold fundamental freedoms ahead of planned Independence Day protests on 9 December. Spokesperson Seif Magango of the UN High Commissioner for Human Rights reminded...
  16. Kitimoto

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania Ya Rais Samia Suluhu Haitaki Tarehe 09.12.2025 Watanzania Kusherekea Siku ya Uhuru wa Tanganyika

    Tanzania, kama taifa moja lenye umoja, limejengwa kwa misingi ya historia ndefu na changamoto mbalimbali. Hata hivyo, miongoni mwa matukio muhimu katika historia ya taifa hili ni siku ya uhuru wa Tanganyika, ambayo ilitokea tarehe 09 Desemba 1961. Hii ni siku muhimu ambayo inawakumbusha...
  17. Fbn

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania imeiponza META kwa kukubali kufungia akaunti za wanaharakati. Elon Musk kaanza kuwasagia kunguni

    Kuna mambo yanaweza kuonekana madogo ila sasa yanaanza kuwafanya wengine kujutia huko walipo na makampuni yao. Ila jambo la Tanzania sio dogo yani duniani sasa linajulikana kuwa nchi iliyojaa mkono wa chuma na mauwaji. Mnakumbuka META ilishawahi kufunga account ya Trump na wengine wengi kisha...
  18. Richard

    JamiiForums Tanzania Balozi za China, Saudi Arabia, Russia, Korea Kaskazini na UAE bado twangojea tamko lenu juu ya mauaji na madhila yanofanywa na serikali ya Tanzania.

    Balozi hizi zimekuwa kimya mno na juu ya kinoendelea nchini. Twangojea balozi hizi zitoe matamko au tamko moja kama tamko lilotolewa na balozi 17 zilizopo hapa nchini. Balozi hizi 17 zina makazi yake hapa nchini na bila shaka wala chembechembe za ushahidi wowote ule maofisa wake wameona...
  19. H

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Adui wa serikali ya Tanzania siyo Gen Z tu yapo makundi mengi

    1.Wazee wanaoishi kwa kuombaomba mitaani waliotelekezwa na ustawi wa jamii 2.Waliodhurumiwa pesa zao baada ya kufanya biashara na serikali 3.Waliofukuzwa kazi serikalini kwa uonevu bila sababu za msingi na kinyume na utaratibu 5.Wastaafu waliodhurumiwa mafao yao na serikali bila sababu za...
  20. Keyboard_Warrior

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania kuendelea kutumia mtandao wa X (twitter), hii imekaaje!?

    Mtandao wa X (Twitter) umefungiwa na serikali ya Tanzania, hauwezi kutumia X(twitter) ukiwa Tanzania bila kutumia VPN. Ajabu, Rais wetu, msemaji mkuu wa Serikali yetu na Ikulu yetu ya Tanzania, hawa wote wana akaunti ambazo zipo active huko, na kupost wanapost, hii kitaalamu imekaaje? Wanapost...
Back
Top Bottom