Nakumbuka vizuri mwaka ule kambi ya CHADEMA pale Mlimani City ilivyoshambuliwa wakati wakiwa katika kujumlisha kura zao kama walivyozipata kutoka kwa mawakala wao!
Hivi hapa nchini Serikali inaweza kuwa na ubavu wa kuruhusu uwazi/transparency kiasi ambacho kila Mtanzania anaweza kuona kiasi...
Takwimu za Wagonjwa wa Kipindupindu Nchini Tanzania kuanzia Januari 2022 hadi Agosti 2022 ni visa 519 ambapo kati yao 11 wamefariki Dunia, Mikoa ya Katavi, Rukwa na Kigoma ikitajwa kutoa wagonjwa wengi.
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amewataka Wakuu wa Mikoa, Wilaya na Halmashauri kusimamia...
suffocate - hali ya kuteseka
Kwa sisi ambao huwa tunamulika masuala ya kiuchumi na ya kiserikali, sijashangazwa kabisa na na ujio wa tozo tunazozipigia kelele.
Serikali ya Tanzania ipo kwenye hali ya kuteseka.
Kumbuka Rais Samia aliahidi kuongeza mishahara kwa watumishi kwa asilimia 23 ila...
Ni katika muemdelezo wa sakata la wamasai wa Ngorongoro.
Bi Maria Sarungi ambaye ndiye mtu namba moja aliesimama kwa hali na mali kuwapigania Wamasai wa Ngorongoro ameamua kuishtaki serikali ya Tanzania kwa Mwanadada Beyonce na mumewe Jay Z.
Vita ya uchumi ni mbaya sana.
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba anatarajia kusoma bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2022/23 leo Juni 14, jioni bungeni. Bajeti inayopendekezwa ni Tsh. Trilioni 41.9 ikiwa ni ongezeko la 16% ukilinganisha na bajeti ya mwaka wa fedha 2021/22.
Kati ya matarajio ya bajeti...
Kwa kweli level ya MASTERS ni aibu kuweka Supplementary exams kwa kuwa hii ni levo ya kujengana uelewa tu!
Mimi nashauri serikali wangeweka utaratibu wa mtu kurudia darasani kwa muda mfupi somo ambalo mtu hajafanya vizuri! au akipewa mtihani kama anatakiwa kupata A apewe sio kulazimisha marks...
Siku ya tarehe 23 Aprili, 2022 Rais Samia alishiriki utiaji saini wa makubaliano ya kibiashara baina ya kampuni ya Taifa Group na kampuni ya Northern feed co.
Mkataba huo wenye thamani ya Dola milioni 500 sawa na trilioni moja za kitanzania utakua katika uzalishaji wa soya, ngano , sukari etc...
Ni Tanzania pekee duniani mfanyabiashara anaweza kupanga bei aitakayo bila kujali chochote
Serikali kupitia waziri wa viwanda na biashara angalieni mfumuko wa bei nchini hasa bidhaa za msingi ni mkubwa mno.
Ukiuliza kila kitu unaambiwa ni sababu ya vita ya Ukraine na Urusi.
Sio kweli...
Hapa nchini kwetu Tanzania, kuna taasisi mbili za serikali ambazo nazichukia kwa moyo wangu wote. Yaani taasisi hizi zingekuwa ni wanadamu nikaona wanaelekea kutumbukia katika shimo hatari na nisipowatahadharisha watakufa, ningekaa kimya ili wapotelee mbali.
1. Jeshi la Polisi Tanzania
2...
Magari aina ya V8 yapo kila taasisi ya serikali
1. Wakuu wa taasisi zote na wasaidizi wao V8
2. Wakuu wa vyuo hadi wakuu wa idara ndani ya vyuo V8
3. Wakurugenzi wa halmashauri V8
4. Hospital za mkoa na wilaya V8
5. Wakuu wa wilaya V8
6. Wakuu wa mikoa V8
Hadi taasisi ya nyuki na bodi ya...
Wakati Mataifa ya watu US, Uingereza, Ujeruman, Israel yakiendelea kuwataka RAIA wake watoke Ukraine.
Ni wazi pia kuna Watanzania walioko Nchini Ukraine kimakazi, kikazi, kimasomo n.k
Mnawasaidiaje sasa, Hasa kwenye kipindi hiki cha mgogoro mkubwa ambao muda wowote Vita inaweza kutokea?
Au...
Februari 18, balozi wa Tanzania nchini China Bw. Mbelwa Kairuki alienda kwenye maabara mpya iliyojengwa na serikali ya Tanzania ili kupima virusi vya Corona huko Dar es Salaam. Hivi sasa maabara hii inafanya majaribio ya PCR na kingamwili.
Serikali ya Tanzania imeiajiri Kampuni ya BGI ya China...
Dodoma. Serikali ya Tanzania imezindua mradi wa maabara ya akili bandia (artificial intelligence) utakaosaidia kurahisisha shughuli za maendeleo nchini.
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mohamed Khamis Abdullah akizindua mradi huo katika Chuo Kikuu...
Kwa sasa Serikali ya Tanzania hasa Bara kuna wasaliti flani ambao ni wahaini hawana utii sio tu kwa mamlaka bali hata kwa kiongozi mkuu wa nchi. Ni wazi kuwa ile dhana inayoogopwa ya government inside the government inajionyesha sura yake katika uongozi wa serikali wa awamu ya sita.
Dhana ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.