serikali ya tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Nitoe wito kwa umoja wa mataifa kuiwekea vikwazo serikali ya Tanzania na jeshi la polisi na kusitisha mikopo au misaada yoyote

    Ripoti za ndani ya nchi zisizokuwa na shaka zinaonesha kuna wizi mkubwa wa fedha za umma katika mamlaka na kuna ukamataji na utekaji wa wale wanaopigania haki na kukemea wizi na rushwa kwa serikali ya Tanzania na kuhamasisha uchaguzi wa haki kuelekea uchaguzi mkuu. Nitoe wito kwa umoja wa...
  2. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Ile ahadi ya Kamala Harris kwa serikali ya Tanzania itatimizwa hata baada ya kuondoka madarakani?

    Kama mnavyojua, kamala harris aliyekuwa vice president wa U.S, aliitembelea Tanzania March 29 mwaka 2023. Aliahidi kwa niaba ya serikali ya U.S. kuipatia Tanzania U.S. Dollar milioni 500 hivi. Sasa kwa bahati mbaya kichaa Trump ndio kakabidhiwa White house. Na unaona anavyoichangamsha...
  3. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania itengeneze world-class golf course pembezoni mwa beach za wilaya ya pangani na kuomba kujiunga na PGA tour

    Katika beach nzuri za Tanzania ukitoa za zanzibar basi nyingine zipo wilaya ya pangani zile beach white sand beach ni nzuri sana Mandhari Pembeni mwa beach ni nzuri sana nini kifanyike Wilaya yote ya pangani ipimwe kisasa Kutengwe makazi ya wananchi wa kawaida Kutengwe makazi kwa ajili ya wale...
  4. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Wamachinga wa kichina Kariakoo, tatizo ni mikataba ya Serikali ya Tanzania na China, Wale wachina wanalindwa

    Serikali inacheza na akili za wadanganyika wa hili Taifa. Swala la Wachina si kwamba Serikali haijui inajua sana ila inataka kuzuga inajali raia wake kipindi hiki cha uchaguzi. Mashariti ya mikopo wanayo pewa na China ndio ina hivyo vipengele, na sio kwa Tanzania pekee ni kwa mataifa mengi...
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania ACT: Viongozi wetu waliozuiwa kuingia Angola wamerejea Nchini, tunasikitishwa na ukimya wa Serikali ya Tanzania

    Viongozi wa Chama cha ACT Wazalendo waliokuwa wamezuiwa kuingia nchini Angola wamerejea Tanzania usiku wa Machi 14, 2025, saa 9:40. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu wa Idara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa ACT Wazalendo leo Machi 14, 2025, Mwanaisha Mndeme, viongozi...
  6. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania Ina uzembe mkubwa sana kwenye suala la ajira, Kenya wanaidadi kubwa ya watumishi wa Umma kuliko Tanzania

    Tanzania Ina eneo kubwa la ardhi kuliko Kenya, eneo kubwa la maji kuliko Kenya, mbuga nyingi za wanyama kuliko Kenya, uoto mzuri na ardhi kubwa ya kilimo kuliko Kenya. Tanzania Ina idadi kubwa ya wanafunzi wa shule za msingi na sekondari kuliko Kenya, idadi kubwa sana ya watoto wanaosoma elimu...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania mshawishini Trump arejeshe misaada

    Kumekuwa na sintofahamu baada ya Trump kuzuia misaada kwa nchi mbambali kutokana na kile anachokiita misaada hiyo kutoinufaisha Marekani moja kwa moja. Hapa nchini marufuku hiii imezua mijadala mingi sana ikiwemo kwenye jukwaa letu hili pendwa. Watu mbali mbali wamekuwa wakionekana kufurahia...
  8. Mr Why

    JamiiForums Tanzania TCRA tunaomba mtusaidie Wananchi wenu, kuna mitandao ya simu kila ukiweka salio la fedha unatafutwa na namba ngeni

    Serikali ya Tanzania kupitia TCRA tunaomba mtusaidie Wananchi wenu, kuna mitandao ya simu (..) kila ukiweka salio la fedha unatafutwa na namba ngeni Kuna mitandao fulani ya simu kila ukiweka salio la fedha katika account yako au ukitumiwa pesa unatafutwa na namba mpya yenye viashiria vya...
  9. live on

    JamiiForums Tanzania Kwanini serikali ya Tanzania inalazimisha lugha ya kufundishia elimu ya awali na msingi iwe Kiswahili?

    Hili swali Huwa najiuliza sana alafu sipati majibu Hivi ni kweli hawa viongozi wa serikali hawajui magumu wanayopitia watoto pale wanapoingia kidato Cha kwanza na kukuta lugha imebadirika ghafla? Hivi ni kweli hawa viongozi wa serikali hawajui umuhimu wa lugha ya kingereza ndani ya nchi yetu...
  10. Ritz

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa Serikali ya Tanzania kuibana Serikali ya Israel kutuambia miili ya Watanzania ipo wapi?

    Wanaukumbi. Balozi wa Tanzania nchini Israel Alex Kallua aliwahi kuiambia BBC kuwa ofisi yake pia imepata uthibitisho kutoka kwa mamlaka za Israel kuwa raia wawili wa Tanzania ni mateka wa Hamas. Jumapili yalifanyika makubaliano ya kudalishana wafungwa na mateka pamoja na miili ya marehemu...
  11. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Dkt Elizabeth Sanga: Serikali ya Tanzania Ieleze Ukweli Visa vya Ugonjwa wa Marbug

    SERIKALI YA TANZANIA IELEZE UKWELI VISA VYA UGONJWA WA MARBUG ACT Wazalendo tunaitaka Wizara ya Afya ya Tanzania, kueleza ukweli kuhusu mlipuko wa ugonjwa hatari wa Marbug, na itangaze hatua za tahadhari kuzuia kuenea ugonjwa huo Mkoani Kagera. Kufuatia taarifa iliyochapishwa kwenye mtandao wa...
  12. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi: Naamini mtanzania anahusika juu ya kutekwa kwangu

    Wakuu, Maria Sarungi ameendelea kumwaga mchele kuhusu tukio la kutekwa kwake ambapo amesema kuwa anaamini Mtanzani anahusika katika kutekwa kwake kutokana na sababu mbalimbali. Maria amesema kuwa kitendo cha watekaji kuwa kumzungusha sehemu mbalimbali na kutaka simu zake na passwords zake ni...
  13. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Kwanini ajira za Tanzania zikitangazwa zinaishia hewani?

    Sio mara moja au mara mbili ajira za ualimu zimekuwa zikitangazwa na zinaishia hewani. Hivi ina maana hii serikali mmeamua kuwaona waalimu ni kada flani iliyojaa mafara mpaka mnaamua kuwafanyia maigizo? Kuna haja gani ya kutangaza ajira hewa? Acheni kutesa watoto wa watu. Hakuna graduate...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Mchango wa Sekta ya Betting kwa Mapato ya Serikali ya Tanzania na Changamoto Wanazopitia Wateja

    Sekta ya michezo ya kubashiri (betting) imekuwa moja ya vyanzo vikuu vya mapato kwa serikali ya Tanzania. Kupitia kodi na leseni zinazolipwa na makampuni ya betting, serikali inapata fedha zinazochangia bajeti ya taifa. Kwa mfano, kodi kutoka sekta hii imesaidia kufadhili miradi mbalimbali ya...
  15. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wangu mahsusi wa chrismas kwa serikali ya Tanzania hasa wizara husika kuhusu ajali za barabarani.

    Taifa linapoteza nguvu kazi kwa kasi ya mchongoko si kwa mapenzi ya Mungu bali kukosa maarifa. Ni mwendawazimu pekee anaweza kujiaminisha kuwa hizi ajali tunazozishuhudia ni mapenzi ya Mungu. Nchi serious ninazozijua kuruhusiwa kuingia barabarani na chombo cha moto ni mchakato very strict na...
  16. Jackwillpower

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Mungu kwa Serikali ya Tanzania

    Hapa kuna aya za Biblia zinazokemea tawala dhalimu zinazofanya mauaji, unyanyasaji, au kuteka watu wasio na hatia: 1. Kutoka 20:13 "Usiue." Hii ni mojawapo ya Amri Kumi ambayo inakemea waziwazi mauaji ya watu wasio na hatia. 2. Mhubiri 3:16-17 "Tena nikaona chini ya jua mahali pa hukumu...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Ni ipi kauli au msimamo rasmi wa Serikali ya Tanzania kufuatia kifo cha aliyekuwa Kiongozi wa Hamas Yahya Sinwar?

    Wadau hamjamboni nyote? Tumeshuhudia baadhi ya nchi duniani zikitoa matamko au misimamo yao kufuatia kifo cha aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa kikundi cha Hamas Yahys Sinwar. Kwa mfano Rais Joe Biden alitoa kauli ifuatayo: "Hii ni siku nzuri kwa Israel, Marekani na Dunia nzima" "This is a good day...
  18. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania Yalaumiwa kwa Ukiukwaji wa Haki za Binadamu Kabla ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Shirika la kimataifa la haki za binadamu, Human Rights Watch, limetoa wito kwa serikali ya Tanzania kuchukua hatua za haraka kurekebisha hali inayozidi kuzorota ya haki za binadamu nchini, kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika tarehe 27 Novemba 2024. Kwa mujibu wa ripoti...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Sheria ya kutokamata mali za serikali ya Tanzania inaposhindwa kesi za madai imepitwa na wakati TLS liangalieni hili

    Habarini, Sheria za Tanzania haziruhusu kukamata mali za serikali na Taasisi za Umma za serikali za Tanzania katika utekelezaji wa hukumu pale inapodaiwa na kushindwa kesi za madai kitu ambacho kinawanyima haki wananchi wengi wanaoidai. Kwa maana hiyo sheria hizo zimepitwa na wakati kwani...
  20. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Bima za Afya za Mitandao ya simu ni utapeli. Hivi serikali ya Tanzania mbona imelala kiasi hiki?

    Hizi bima ni kampuni binafsi sasa ili kupata namba za Watanzania kirahisi wanajifungamanisha na kampuni za simu kama Tigo au Vodacom. So far sasa wamepewa ruhusa ya kutumia namba 100 ili wasionekane matapeli. Wale wahudumu wanamtumia mwanya wa Watanzania kutokujua mambo muhimu kuwalaghai...
Back
Top Bottom