serikali ya tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania imeiponza META kwa kukubali kufungia akaunti za wanaharakati. Elon Musk kaanza kuwasagia kunguni

    Kuna mambo yanaweza kuonekana madogo ila sasa yanaanza kuwafanya wengine kujutia huko walipo na makampuni yao. Ila jambo la Tanzania sio dogo yani duniani sasa linajulikana kuwa nchi iliyojaa mkono wa chuma na mauwaji. Mnakumbuka META ilishawahi kufunga account ya Trump na wengine wengi kisha...
  2. Richard

    JamiiForums Tanzania Balozi za China, Saudi Arabia, Russia, Korea Kaskazini na UAE bado twangojea tamko lenu juu ya mauaji na madhila yanofanywa na serikali ya Tanzania.

    Balozi hizi zimekuwa kimya mno na juu ya kinoendelea nchini. Twangojea balozi hizi zitoe matamko au tamko moja kama tamko lilotolewa na balozi 17 zilizopo hapa nchini. Balozi hizi 17 zina makazi yake hapa nchini na bila shaka wala chembechembe za ushahidi wowote ule maofisa wake wameona...
  3. H

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Adui wa serikali ya Tanzania siyo Gen Z tu yapo makundi mengi

    1.Wazee wanaoishi kwa kuombaomba mitaani waliotelekezwa na ustawi wa jamii 2.Waliodhurumiwa pesa zao baada ya kufanya biashara na serikali 3.Waliofukuzwa kazi serikalini kwa uonevu bila sababu za msingi na kinyume na utaratibu 5.Wastaafu waliodhurumiwa mafao yao na serikali bila sababu za...
  4. Keyboard_Warrior

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania kuendelea kutumia mtandao wa X (twitter), hii imekaaje!?

    Mtandao wa X (Twitter) umefungiwa na serikali ya Tanzania, hauwezi kutumia X(twitter) ukiwa Tanzania bila kutumia VPN. Ajabu, Rais wetu, msemaji mkuu wa Serikali yetu na Ikulu yetu ya Tanzania, hawa wote wana akaunti ambazo zipo active huko, na kupost wanapost, hii kitaalamu imekaaje? Wanapost...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania ianze kuwadhamini vijana mikopo kwenye mabenki ili wajiajiri kupitia maandiko yao ya miradi

    Serikali ya Tanzania lazima ikubali kuwa chanzo cha matatizo yote hadi vurugu za D29 ni ukosefu wa ajira na maisha magumu kunakopelekeanchuki kwa vijana dhidi ya serikali,matajiri na viongozi. Hivyo basi kama serikali inaweza kujidhamini na kukopa fedha nje ya nchi kwanini isiwadhamini vijana...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Ni ajabu, serikali ya Tanzania kukopesha fedha mwanafunzi anaeanza chuo na kumnyima mkopo aliyemaliza chuo

    Viongozi wa Tanzania, yaani unamkopesha fedha mwanafunzi anayeanza chuo ambaye hana uhakika nae kama atamaliza chuo na kupata kazi halafu unamnyima MKOPO wa biashara mwanafunzi aliyemaliza chuo au kunakuwa na mazingira magumu ya kupata mikopo ya biashara benki na kuwaambia wakajiajiri , je,hii...
  7. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania Je, MO29 ni matokeo ya Serikali ya Tanzania kuwa ndani ya kifungo cha Iblis (Shetani)? Na Masheikh wapotoshaji wanamuabudu Mungu yupi?

    Pamoja na kuwa Mkatoliki kindakindaki - hata kwa greda sichomoki; sijajifunga tu kwenye Biblia; hata Koran huwa naipitia! Sasa kwenye Surat Al Baqara kuanzia kwenye aya ya 30 soma mpaka 40, kuna jambo limenifurahisha sana: kumbe bana Mungu alivyomuumba Adamu, alimfundisha majina ya vitu vyote...
  8. Think2

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waraka wa Martin Maranja kwa serikali ya Tanzania

    Katika orodha ya watu wote waliokamatwa na kushtakiwa kwa tuhuma za makosa ya uhaini na makosa mengine kutokana na maandamano ya 29/10/25 hakuna raia wa kigeni hata mmoja katika hati ya mashtaka Hii dhana kwamba walioandamana walikuwa wageni inatoka wapi? Wageni gani ambao wamekamatwa na...
  9. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio sababu kwanini serikali ya Tanzania haina uhalali wowote wa kusikilizwa na bunge la ulaya

    Hizi ndio sababu kwanini serikali ya Tanzania haina uhalali wowote wa kusikilizwa na bunge la ulaya. 1, serikali iliyopo imejisimika yenyewe na kupora haki wa watanzania na uchaguzi haukuwa halali hivyo Haitokani na matakwa ya wananchi haina uhalali wa kuwakilisha nchi kimataifa na kwenye...
  10. Cannabis

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 U.S. Senate Foreign Relations Committee: Ripoti ya CNN inaonesha uhitaji wa uchunguzi huru juu ya mauaji yaliyofanywa na serikali ya Tanzania

    Kutoka mtandao wa X 👇. Tunasubiri majibu ya kizalendo kutoka kwa msemaji wa Serikali. -------------- Kamati ya Mambo ya Nje ya Seneti ya Marekani (U.S. Senate Foreign Relations Committee) imetoa taarifa inayoonesha kwa kina hatua za kutia wasiwasi zinazochukuliwa na Serikali ya Tanzania...
  11. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Madowo; Serikali ya Tanzania imekaa siku 25 kimya huku ikiwa idadi ya vifo 29 oct havijulikani ndio wanakuja leo kuzungumzia baada ya CNN

    Madowo; Serikali ya Tanzania imekaa siku 25 kimya huku ikiwa idadi ya vifo 29 oct havijulikani ndio wanakuja leo kuzungumzia baada ya CNN. Madowo anapiga kwenye mshono huko kuelekea hotuba ya serikali kuhusiana nankilichotokea oct 29 swali je kwa siku zote hizo 25 serikali ilikuwa haijui...
  12. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Madowo: Serikali ya Tanzania ilikataa kutoa ufafanuzi wowote kuhusiana kilichotokea oct 29 lakini baada ya CNN kutangaza dunia ndio wamekuja

    Madowo: serikali ya Tanzania ilikataa kutoa ufafanuzi wowote kuhusiana kilichotokea oct 29 lakini baada ya CNN kutangaza dunia ndio wamekuja. #D9
  13. Teslarati

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hatimaye BBC Verify wamethibitisha ukatili uliofanywa na serikali ya Tanzania kwa wananchi wake kupitia teknolojia ya hali ya juu ya Geolocation

    BBC News official channel yao wamepost leo kwamba clips zilizopo mtandaoni ni za kweli na ukatili (uhaini) dhidi ya watanzania ulifanyika. Video iliyorekodiwa nchini Tanzania imeibuka ikionyesha vitendo vya ukatili vilivyofanywa na polisi walipojaribu kukandamiza maandamano makubwa mwezi...
  14. Pakome

    JamiiForums Tanzania Je, wakosoaji wa Serikali ya Tanzania ni Demagogues ama Reformers?

    Je, wakosoaji wa Serikali ya Tanzania ni Demagogues au Reformers? Wakosoaji aina ya Demagogues huwa wanazungumza mabaya ya Serikali kadiri wawezavyo lakini dhamira yao kubwa ni kupata Umaarufu na nafasi za Madaraka na sio kutoa suluhisho la matatizo baada ya kupata nafasi za Madaraka Reformers...
  15. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Serikali ya Tanzania yashutumiwa kupanga matokeo ya uchaguzi kabla ya upigaji kura

    Maseneta wawili wa Marekani, Jim Risch na Jeanne Shaheen, wametoa shutuma kali dhidi ya serikali ya Tanzania wakidai kuwa matokeo ya uchaguzi wa Oktoba 29 yalipangwa kabla ya wananchi kupiga kura. Katika taarifa yao ya pamoja, viongozi hao wa Kamati ya Mahusiano ya Kigeni ya Seneti wamesema...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Nawashauri viongozi wa serikali ya TANZANIA kubadilisha mfumo wa maisha yao kunguza nafasi iliyopo

    Viongozi wa Tanzania wamejisahau aidha kwa kujiona wao ndiyo wanafaa kuishi maisha mazuri kuliko waliowaweka kwenye nafasi husika aidha kwa kukodi za wananchi au kura za wananchi. Viongozi wengi wamekuwa ni mzigo kwa wananchi kwa kuishi maisha ya anasa wawapomadarakani na matumizi ya kutisha...
  17. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Waangalizi wa Uchaguzi wa Afrika Mashariki na Pembe ya Afrika: Serikali ya Tanzania isitishe amri ya kutotoka nje na kurejesha huduma za Intaneti

    TAARIFA YA AWALI KUHUSU UCHAGUZI MKUU WA TAREHE 29 OKTOBA 2025 KATIKA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Leo, tarehe 31 Oktoba 2025 - Sambamba na dhamira yake ya kukuza chaguzi za kuaminika, amani, huru, na haki kupitia uangalizi wa kikanda usio na upendeleo na uchambuzi kote Afrika Mashariki na...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi: FBI wamenitaarifu Serikali ya Tanzania imewapa kazi Mexican cartel waniue

    Kwa mara ya pili, Taasisi ya Uchunguzi wa Uhalifu ya Marekani, FBI, imemuarifu Mange Kimambi kwamba amepangwa kuuawa, kwa mujibu wa taarifa za kiinteligensia ilizozipata FBI. Yamesemwa leo na Mange mwenyewe. Mara ya kwanza alitahadharishwa hayo wiki mbili zilizopita wakati akipanda ndege...
  19. M

    JamiiForums Tanzania SADC yaitaka Serikali ya Tanzania kutafuta suluhisho la kumaliza kadhia inayoendelea kwa njia ya amani

  20. Richard

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania haitakwepa makosa ya uhalifu dhidi ya ubinadamu au "Crimes Against Humanity" yanofanywa na vyombo vyake vya usalama na washirika

    Nikiwa ni mtanzania na raia mwema kwa nchi yangu nimejikuta nikiingiwa hofu kuu juu ya mstakabali wa maisha ya raia wa nchi hii. Hata wale raia wa kigeni nao kwa kusikia taarifa hizi kupitia mitandao ya kijamii bado waendelea kushangaa kwa jinsi mambo yanavyokwenda kama hakuna kinoendelea. Na...
Back
Top Bottom