sekondari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Siempre Hechos

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanafunzi wa shule ya Msingi na Sekondari siku hizi hawana vitambulisho?

    Nimekuwa nikijiuliza kwani kitambulisho maana yake ni nini? na kazi yake ni nini?, au vinatumika kwa baadhi tu ya watu na taasisi na sekta nyingine?. Wanafunzi wa Shule ya Msingi na Sekondari siku hizi hawana vitambulisho ama ni mimi sifatilii mambo? Yawezekana kwao sio muhimu kwa sababu wanavaa...
  2. Rasasem

    JamiiForums Tanzania Msaada: Shule nzuri ya sekondari ya serikali Kwa wasichana Dar

    Habari Wana jamvi, Kwa mwenye kufahamu shule ya serikali ya wasichana tu mkoa wa Dar nahitaji kumuhamishia mdogo wangu tafadhali naomba anijuze.
  3. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali iingilie kati huu ubadhirifu unaofanyika Shule ya Sekondari Venance Mabeyo-Busega

    Sisi wazazi tunaosomesha watoto wetu shule ya sekondari Venance Mabeyo tulikaa kikao cha wazazi na kukubaliana kila mzazi kuchangia limu moja kwa kila mtoto ili kufanikisha zoezi la ufundishaji shuleni hapo,cha kushanga watoto wetu wamekuwa wakipigwa kila Mara wanapokuwa kwenye mitihani ikiwa...
  4. Financial Hustler

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kigamboni: Shule ya sekondari ya Paul Makonda yatumika kufanya ufuska

    Naam, habari zenu wanajukwaa. Kama ambavyo kichwa cha habari kinavyojionesha hapo juu, ni hivi kumekuwa na biashara ya ukahaba ambayo imekuwa iliendelea katika viwanja vya shule ya sekondari ya PAUL MAKONDA iliyopo wilaya ya Kigamboni, kata ya Kigamboni mtaa wa Chagani kwa zaidi ya miaka mingi...
  5. Shark

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TAKUKURU Nendeni Mikocheni Sekondari mkaone Walimu wanavyodai Rushwa Waziwazi Kwa Waliomaliza Form4

    Kwema Wakuu, Hapa mtaani nilipo kuna ka binti kamemaliza Form4 na majibu ndio yametoka siku chache zilizopita. Shule aliyomaliza inaitwa Mikocheni Sekondari, na ilipo ni njia ya Kawe (Old Bagamoyo Road) kituo kimoja kabla ya Clouds. Sasa wanafunzi hawa waliomaliza form 4 ili wakabidhiwe...
  6. Unasemeje

    JamiiForums Tanzania Picha: Ualimu ni Wito

  7. Z

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mabasi ya shule

    Kipindi ambacho watoto wanatoka shuleni wakiwa katika mabasi yao kuelekea nyumbani tunawatengenezea mfumo wa kuwaweka bize kuangalia katuni au sinema zinazowafurahisha wakati huo zinawapa maadili ya msingi kabisa katika Maisha yao, pia kuwaonesha madhara ya baadhi ya vitendo ambavyo vinaleta...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Huu Mchango wa Uendeshaji wa Shule ya Longido Sekondari si ndio ada yenyewe au Serikali imefuta ada ipi?

    Jamani wazazi tunalia na michango ya Shule ngazi ya kidato cha tano, Serikali imetangaza kufuta ada kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha sita kwa shule za Serikali lakini tunachokutana nacho huku kwenye uhalisia ni tofauti. Tunaambiwa ada imefutwa lakini katika masharti au form za Watoto...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Babati Vijijini Daniel Sillo Akabidhi Mashine za Kuchapisha Mitihani Shule za Sekondari

    MBUNGE DANIEL BARAN SILLO AKABIDHI MASHINE ZA KUCHAPISHA MITIHANI KWENYE SHULE ZA SEKONDARI Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini (Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti) Mhe. Daniel Sillo ametimiza ahadi yake ya kukabidhi mashine za kuchapisha katika Shule za Sekondari Maganjwa na Arisaayo ili kusaidia...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Shule za sekondari wilaya Uyui upande wa ulyankuru tabora Kuna shida kubwa

    Shule zilizipo tabora wilaya Uyui Zina shida kubwa sanaya kiongozi kutokana walipoewa uongozi kutokuwajibika jinsi inavyotakiwa, Kuna shule za upande wa uelekeo wa ulyankuru Kuna shida kubwa sana kitaaluma na za kiongozi Kuna wakuu wa shule wapya wanawake wamehongwa nafasi za ukuuu wa...
  11. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Wakati watoto wengi wa umri wa miaka 14 wanajiandaa kuingia shule ya sekondari mtoto Kairan Quazi anajiandaa kuanza safari ya maisha yake ya kikazi

    Katika umri wa miaka 14, Kairan Quazi amekuwa mhandisi wa programu katika kampuni ya Elon Musk SpaceX. "Sina wasiwasi juu ya uchovu," asema, "kwa sababu haya ni mapenzi yangu. Sio kitu ambacho mtu amenilazimisha kufanya." Wakati watoto wengi wa umri wa miaka 14 wanajiandaa kuingia shule ya...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Condester Sichalwe Aibana Wizara ya Maji Kupeleka Visima Shule za Sekondari 2 Momba

    MBUNGE CONDENSTER SICHALWE AIBANA WIZARA YA MAJI KUHUSU VISIMA VYA MAJI SHULE ZA SEKONDARI MOMBA "Tarehe 12 Juni, 2023 niliuliza swali la nyongeza Bungeni kuhusu changamoto tumeipata kwenye Jimbo la Momba kuhusiana na Maji. Wanafunzi katika Shule mbili tofauti wamepoteza maisha, Shule ya...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ndejembi aonya watakaochezea fedha za mradi Ujenzi wa Shule mpya za Sekondari za Bweni za wasichana

    Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Deogratius Ndejembi amesema ofisi yake haitomvumiria mhandisi, afisa elimu au yeyote atakayekwamisha utekelezaji wa ujenzi wa shule mpya za sekondari za bweni za wasichana kupitia Mradi wa Kuboresha Elimu ya Sekondari...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Kambi ya majira ya joto ya wanafunzi wa sekondari ya Taasisi ya Confucius UDSM yafunguliwa rasmi mkoani Zhejiang

    Halfa ya ufunguzi wa kambi ya majira ya joto ya wanafunzi wa sekondari ya Taasisi ya Confucius ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) ilifanyika Julai 19 katika Chuo Kikuu cha Ualimu cha Zhejiang, China. Wanafunzi na walimu 20 kutoka Tanzania wameshiriki kwenye kambi hiyo iliyoandaliwa na...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Dar: Wanafunzi wa kike sekondari za Kinondoni wanaanza ngono mapema sana

    Binafsi nazijua shule mbili ambazo karibu kila msichana wa kuanzia form two ana boyfriend ndani ya shule au nje ya shule wakiwemo na watu wazima pia ambao sio wanafunzi. Kuna idadi kubwa sana ya wasichana wa sekondari ambao wanadanga na kujiuza kwa wanaume. Ile sheria ya ubakaji ya mwaka 98...
  16. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ndugu alisomeshwa sekondari hadi chuo na kusaidiwa kupata kazi kakata mawasiliano kabisa na familia iliyomsaidia na kumjali, ni sawa?

    Bamkubwa wangu aliweza kumsomesha ndugu yake aliekuja nyumbani kwake kutoka kijijini, aliweza kumsomesha form 1 hadi chuo na kumtaftia kazi. kijana huyo aliweza kupokelewa vizuri na kuwa sehemu ya familia, yani kuanzia bamkubwa, mke wake, watoto wao watano na wengine kwenye nyumba waliishi nae...
  17. jebs2002

    JamiiForums Tanzania Chakula kuchanganywa na Mafuta ya taa kwa wanafunzi wa kike Sekondari

    Moja kwa moja kwenye mada. Wana JF hii ya kuchanganywa chakula na mafuta ya taa kwa wanafunzi wa kike waliopo boarding school kwa kisingizio wasipate au kupunguza hamu ya kufanya mapenzi imekaaje? Wazazi wanajuwa wako kimya? Walezi nao kimya? Wanajamii kimya? Kulikoni? Madhara kwa watoto wetu...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kujiendeleza kwa Walimu wa shule za Msingi na Sekondari ni kujitia kitanzini

    Nawasalimu wanachama wa jukwaa hili. Niombe kwenu ushauri kuhusu walimu waliojiendeleza wa shule za msingi na sekondari. Kuna ndugu yangu amenisimulia kuhusu kutopandishwa cheo/daraja kwa walimu waliopanda cheo kwa mara ya mwisho mwaka 2019 na walipaswa kupanda tena mwaka huu 2023 Kwa mujibu wa...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Musoma Vijijini Waendelea Kutatua Matatizo Yanayowakabili Wanafunzi wa Sekondari za Kata

    MUSOMA VIJIJINI WAENDELEA KUTATUA MATATIZO YANAYOWAKABILI WANAFUNZI WA SEKONDARI ZA KATA * Jimbo la Musoma Vijijini lina Kata 21 zenye Vijiji 68 na Vitongoji 374 * Jimbo lina Sekondari za Kata 25 na 2 za Binafsi. Kwa sasa ujenzi wa sekondari mpya 4 unaendelea kwenye Vijiji vya Nyasaungu...
  20. O

    JamiiForums Tanzania Ripoti Maalumu: Upatu, ‘smart phone’ janga jipya kwa wanafunzi wa sekondari

    Je, umewahi kuona wanafunzi wakiwa wamerundikana katika kituo cha daladala huku wakiyaacha mabasi ya abiria hata kama ni matupu? Unajua siri iliyojificha miongoni mwao kama sio wengi wao? Mwananchi Digital imefanya uchunguzi wa kina na kubaini chanzo. Uchunguzi wa takribani mwezi mzima...
Back
Top Bottom