sekondari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DC Rungwe apongeza mchango wa Wananchi katika ujenzi wa Shule ya Msingi na Bweni la Sekondari

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amefanya ziara katika Kata ya Ikuti na kukagua miradi ya maendeleo pamoja na kuzungumza na wakazi wa kata hiyo. Akikagua ujenzi wa shule mpya ya msingi katika Kijiji cha Ikuti pamoja hosteli ya wavulana katika Shule ya Sekondari Ikuti kwa nyakati tofauti...
  2. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na awamu ya pili ujenzi wa sekondari za kata zote nchini

    Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Deogratius Ndejembi, amesema serikali imedhamiria kujenga shule za sekondari katika kata zote nchini awamu ya pili. Alisema shule hizo zitajengwa katika halmashauri zote 184 nchini na kila halmashauri itapata...
  3. B

    JamiiForums Tanzania 23% tu ya wanafunzi ndiyo wanamudu lugha ya kiingereza kidato cha kwanza sekondari

    Mwanza, Tanzania Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais - Elimu - wizara ya TAMISEMI Dr. Charles Enock Msonde na Dr. Lyabwene Mtahabwa - kamnishna wa elimu kutoka wizara ya elimu wahimiza waalimu wa darasa la kwanza na darasa la tatu shule ya msingi wawe mahiri ktk masomo yao huku vigezo vya lazima...
  4. conductor

    JamiiForums Tanzania Ujasiri unaanzia shuleni (sekondari, vyuoni)

    Mchawi wa kwanza kumtafuta na kumuua ni yule aliyetufundisha WOGA, aliyefanikisha kuturubuni kuacha kugoma mashuleni na vyuoni kama njia ya kuonyesha isia zetu na nguvu ya kujenga HOJA. Vyuo vyetu kufunikwa na wanasiasa katika kuweka viongoz wao kwenye vyeo vya hatua ya kichuo, lakini pia...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya na Wakuu wa Shule za Sekondari Wanena Kuhusu Umuhimu wa Mfuko wa Jimbo

    MKUU WA WILAYA (DC) NA WAKUU WA SHULE ZA SEKONDARI WANENA KUHUSU UMUHIMU WA MFUKO WA JIMBO Jana, Ijumaa, 24.3.2023, Wakuu wa Shule za Sekondari za Musoma Vijjini, na Bodi zao, walianza kuchukua vifaa vya ujenzi vilivyonunuliwa kwa kutumia Fedha za Mfuko wa Jimbo. *Manunuzi yalifanywa na...
  6. MK254

    JamiiForums Tanzania Wagner waanza kutafuta wapiganaji kwenye shule za sekondari, wamefyekwa sana

    Na wataendelea kufagiwa na kufyekwa.... The Wagner Group is now resorting to hiring its fighters through recruitment hubs set up at sports centers across Russia, while representatives are targeting high school students, the British Ministry of Defense said Monday. In its latest assessment of...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Zaytun Swai Aahidi Kutatua Changamoto ya Ujenzi wa Bweni Shule ya Sekondari Mkonoo

    ZAYTUN SWAI AAHIDI KUTATUA CHANGAMOTO YA BWENI SHULE YA SEKONDARI YA MKONOO Mbunge wa Viti Maalum CCM Mkoa wa Arusha Zaytun Swai, katika wiki ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani iliyoadhimishwa tarehe 08 Machi, 2023 alitembelea Shule ya Sekondari Mkonoo Kata ya Terat Arusha jiji na...
  8. T

    JamiiForums Tanzania A way forward: Mtazamo wangu juu ya Elimu ya sekondari ya juu(A-Level) na Elimu ya ufundi(VETA)

    Kipekee kabisa nimshukuru Mwenyezi Mungu kwa zawadi ya siku nyingine mpya katika maisha yetu. Pia, nichukue nafasi hii kumpongeza Katibu mkuu wa CCM Ndg. Daniel Chongolo kwa ushauri aliotoa juu ya wahitimu kwenda VETA kupata ujuzi wa kujiajiri. Ni ushauri mzuri na wenye kutoa picha kubwa ya...
  9. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania BAWACHA wamchongea kwa Rais mkurugenzi aliyewatimua wasipande miti

    Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha) Mkoa wa Kilimanjaro na mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa, Grace Kiwelu ameeleza mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan namna viongozi wa baraza hilo la wanawake walivyodhalilishwa na kukataliwa kuotesha miche ya matunda katika Shule ya Sekondari...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mdau wa Maendeleo Achangia Ujenzi wa Maabara za Sayansi Kwenye Sekondari za Musoma Vijijini

    MDAU WA MAENDELEO ACHANGIA UJENZI WA MAABARA ZA SAYANSI KWENYE SEKONDARI ZA MUSOMA VIJIJINI Leo, Jumatano, 8.3.2023, mmoja wa Wadau wa Maendeleo hapa nchini, NGUVU MOJA SECURITY SERVICES amechangia Tsh 3,520,000 (Tsh 3.52m) kwa ajili ya ujenzi wa MAABARA ZA MASOMO YA SAYANSI (physics, chemistry...
  11. BigTall

    JamiiForums Tanzania Askari Wanawake Mbeya watoa zawadi ya taulo za kike, sabuni na vifaa vingine kwa Wanafunzi wa Shule za Sekondari na Msingi

    Mwenyekiti wa Mtandao wa Askari Polisi Wanawake Mkoa wa Mbeya ambaye pia ni Afisa Mnadhimu namba moja Mkoa wa Mbeya ACP Christina Musyani, Machi 06, 2023 amewaongoza Askari Polisi Wanawake Mkoa wa Mbeya kuwatembelea na kutoa zawadi kwa Wanafunzi wa Shule za Sekondari na Msingi zilizopo katika...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Bahati Ndingo achangia ujenzi wa Shule ya Sekondari Chimala

    Mbunge wa Umoja wa Wazazi Taifa CCM - Mbeya Mhe. Bahati Keneth Ndingo kwa kushirikiana na Haji Manara ambaye alisoma Shule ya Wazazi Chimala Secondary iliyopo Wilayani Mbarali Mkoani Mbeya pamoja na Wadau mbalimbali wa Mbarali Mkoani Mbeya wamefanikisha harambee ya ukarabati wa madarasa na...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Ghati Chomete apongeza Ujenzi Bukira Sekondari

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Ghati Zephania Chomete ameendelea na ziara yake katika maeneo mbalimbali ya miradi ya kimakakati mkoani Mara huku akishiriki ziara ya Kamati ya Siasa Wilaya Tarime kuhusu Ukaguzi wa Utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo katika maeneo mbalimbali ndani ya Jimbo la...
  14. Midimay

    JamiiForums Tanzania Je, Elimu ya Msingi na Sekondari zimeondolewa TAMISEMI?

    Habari za jioni wana JF? Kuna kitu katika teuzi na reshuffle za jana ambacho naona media na wana social media hawajaweza kukikamata( ku capture). Kitu chenyewe ni uteuzi wa Naibu Katibu Mkuu Dr. Franklin Rwezimula kwenda WEST(wizara ya elimu, sayansi na teknolojia) kushughulikia elimu ya...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ziara tarafa ya Liganga, kata ya Lugarawa - kijiji cha Mdilidili - shule ya sekondari Lugarawa, Ludewa

    ZIARA TARAFA YA LIGANGA, KATA YA LUGARAWA- KIJIJI CHA MDILIDILI- SHULE YA SEKONDARI LUGARAWA. Februari 23, 2023 Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Mhe. Victoria Mwanziva akiambatana na Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya walifanya kikao na wananchi wa Kata ya Lugarawa juu ya majanga ya moto yaliyo tokea...
  16. Yakki Kadaf

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kuhusu shule ya sekondari Nyiendo umewafikia walengwa

    Wakuu habari, nafurahi thread kuhusu shule ya sekondari Nyiendo wilayani Bunda imewafikia walengwa na kumefanyika dharura ya kuitana kwa baadhi ya staff members Ni mwaka wa kupeana live bila chenga. === Kuhusu shule tajwa, soma: DOKEZO - Niliyoyabaini baada ya kuhudhuria kikao cha wazazi...
  17. Yakki Kadaf

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Niliyoyabaini baada ya kuhudhuria kikao cha wazazi Shule ya Sekondari Nyiendo wilayani Bunda Mkoani Mara. Serikali iingilie kati kwa baadhi ya mambo

    Habarini wakuu, Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nipo maeneo ya bunda,mkoani Mara. Ijumaa iliyopita tarehe nilipata mwaliko kuhudhuria kikao cha wazazi na walimu katika shule ya Sekondari Nyiendo kujadili mustakabali wa shule kwenye maeneo tofauti na hasa eneo kuu la...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Eshter Malleko achangia madawati 40 Shule ya Wasichana Sekondari ya Ashira

    MHE. ESTHER MALLEKO MADAWATI 40 YA MILIONI 1.6 SHULE YA WASICHANA SEKONDARI YA ASHIRA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Esther Malleko amechangia Madawati 40 Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Ashira yenye thamani ya Milioni 1.6, tukio hilo limefanyika mnamo tarehe 14 Februari...
  19. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania SADC, Shindano la kuandika insha kwa shule za sekondari

    Shindano la kuandika Insha kwa shule za Sekondari
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Seka Sekondari - Wanavijiji waamua kujenga maabara tatu za masomo ya sayansi

    SEKA SEKONDARI - WANAVIJIJI WAAMUA KUJENGA MAABARA TATU ZA MASOMO YA SAYANSI Seka Sekondari ni sekondari ya pili ya Kata ya Nyamrandirira yenye vijiji vitano. Sekondari hii iliyojengwa Kijijini Seka, Musoma Vijijini, ilifunguliwa tarehe 5.7.2021. Sekondari ina jumla ya wanafunzi 344 (Vidato...
Back
Top Bottom