sekondari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. emmarki

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kutokomeza mimba kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari

    Mimba kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari limekuwa suala endelevu hadi serikali imebidi kuanzisha utartibu wa kuwarudisha shuleni baada ya kujifungua. Je kumekosekana mwarobaini wa hili tatizo? Wewe kama mdau bainisha mbinu au mikakati mizuri inayoweza kutumika kupunguza au kutokomeza...
  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ni zaidi ya miaka 20 sasa somo la Hisabati linakuwa la mwisho katika ufaulu shule za msingi na sekondari. Nani alaumiwe?

    Habari! Nilikuwa nikipiga survey matokeo darasa la saba . La haula , katika shule za setikali taktibani 6 nilizoangalia sijaona A ya hesabu. Somo la Kiswahili kama kawaida yake ni miaka zaidi ya 40 ndilo linaongoza kufaulisha. Sasa somo la Kiswahili la nini zama hizi? Setikali imeshindwa...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalum wa Uhamisho wa watumishi kubadilishana kituo cha kazi

    Mtu wa kubadilishana kituo cha kazi anahitajika, mimi nipo Dodoma Mpwapwa DC. Kituo ni kizuri, mazingira mazuri, maji yapo, usafiri upo 24hrs. Wa kubadilishana nae awe mikoa ifuatayo; 1. Iringa 2. Mbeya 3. Morogoro
  4. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania Hongera mkuu wa shule ya sekondari Migungani-Bunda

    Ukifika shule hii unaweza fikiria ni private kwa jinsi walivyoipangilia! Namna tu walivyopanda maua, usafi na nidhamu kwa ujumla utabaini walimu wapo kitimu zaidi na hawana mgawanyiko! Well done Headmaster,Mr Boaz! Well done Migungani secondary school, the heaven of Bunda!
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Hali ni tete katika Shule ya Sekondari Nkuhungu Mkoani Dodoma, Walimu malalamiko, Wanafunzi vilio

    Hali ni tete katika Shule ya Sekondari Nkuhungu Mkoni Dodoma, Walimu malalamiko, Wanafunzi vilio. Shule ya Sekondari Nkuhungu Mkoani Dodoma inakabiliwa na changamoto mbalimbali ambazo zimelalamikiwa na Wanafunzi na Walimu shuleni hapo. Shule hiyo ya binafsi ipo Kilometa 10 kutoka katikati...
  6. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Sitasahahu hili tukio nilivyokuwa shule ya sekondari

    Nilisoma shule ya sekondari ya bweni wavulana tu. Wasichana na baadhi ya wavulana day! Karibu na bwalo la chakula kulikuwa na duka la shule! Sasa enzi hizo mimi nilikuwa miongoni mwa vijana masharobaro ambao mbele ya wasichana warembo wa day kuonekana unakula ugali maharagwe ilikuwa ni aibu...
  7. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania Wazo kwa Mwalimu X shule ya Sekondari Nyiendo Wilaya ya Bunda

    1.Tunajua unajua kucheza na saikolojia za watu Kwa kupiga piga picha na wanasiasa na viongozi wa serikali ili utishe walimu na mkuu wako wa shule kwamba upo karibu na viongozi wakubwa wa serikali na chama.Yaani Huwa ukiona kiongozi wa serikali wazo lako kuu la kwanza ni kumuomba kupiga picha...
  8. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania Chimbuko halisi la migogoro shule ya sekondari Nyiendo

    Kuanzia Mkuu wa shule aliyeifungua Issa Izengo mpaka Mkuu wa shule aliyepokea kijiti chake Erasto Arende, Shule ya Sekondari Nyiendo haikuwahi kuwa kwenye vuguvugu la migogoro mpaka alipoingia mkuu wa shule aliyepo sasa! 1. Philosophy ya kwanza ya mkuu wa shule ni kutopenda kukosolewa na...
  9. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Shule ya Sekondari Nyiendo wilayani Bunda jitafakari kama kiti kinakutosha

    God is Good ndio salamu yako maarufu unayoitumia wakati wa kufungua vikao vya shule utafikiri ulizaliwa altareni!Dalili zako za kufeli zilianza mapema sana na bado unaendelea tu kufeli japo uongozi wa juu pengine unakuonea huruma. 1. Baada ya taarifa za awali kuonyesha mwalimu wa kiume...
  10. Dreamliner787

    JamiiForums Tanzania Leo katika historia: Mzee Tibakweitira akiwa Headmaster wa Same Sekondari alimwadhibu mtoto wa Nyerere na kupandishwa cheo

    𝐋𝐞𝐨 𝐤𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚 𝐡𝐢𝐬𝐭𝐨𝐫𝐢𝐚. 𝐌𝐳𝐞𝐞 𝐓𝐢𝐛𝐚𝐤𝐰𝐞𝐢𝐭𝐢𝐫𝐚 𝐚𝐤𝐢𝐰𝐚 𝐡𝐞𝐚𝐝𝐦𝐚𝐬𝐭𝐞𝐫 S𝐚𝐦𝐞 Sec 𝐦𝐭𝐨𝐭𝐨 𝐰𝐚 𝐑𝐚𝐢𝐬 𝐍𝐲𝐞𝐫𝐞𝐫𝐞 𝐚𝐥𝐢𝐤𝐨𝐬𝐚 𝐧𝐚 𝐤𝐮𝐫𝐮𝐝𝐢𝐬𝐡𝐰𝐚 nyumbani 𝐚𝐦𝐥𝐞𝐭𝐞 𝐦𝐳𝐚𝐳𝐢 𝐰𝐚𝐤𝐞. 𝐌𝐭𝐨𝐭𝐨 𝐚𝐤𝐚𝐦𝐥𝐞𝐭𝐚 𝐃𝐂. M𝐳𝐞𝐞 𝐓𝐢𝐛𝐚 𝐚𝐤𝐚𝐬𝐞𝐦𝐚 𝐰𝐞𝐰𝐞 𝐃𝐂 𝐬𝐢𝐨 𝐛𝐚𝐛𝐚 𝐲𝐚𝐤𝐞. 𝐌𝐭𝐨𝐭𝐨 𝐚𝐤𝐚𝐦𝐥𝐞𝐭𝐚 𝐑𝐂, 𝐌𝐳𝐞𝐞 𝐓𝐢𝐛𝐚 𝐚𝐤𝐚𝐬𝐞𝐦𝐚 𝐰𝐞𝐰𝐞 𝐑𝐂 𝐬𝐢𝐨 𝐛𝐚𝐛𝐚 𝐰𝐚 𝐦𝐭𝐨𝐭𝐨 𝐡𝐮𝐲𝐮. B𝐚𝐛𝐚 𝐲𝐚𝐤𝐞 𝐧𝐚𝐦𝐟𝐚𝐡𝐚𝐦𝐮 𝐬𝐚𝐧𝐚...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Sekondari Mpya Unaendelea Musoma Vijijini: Kisiwa cha Rukuba Kimeanza Ujenzi wa Sekondari Yake

    UJENZI WA SEKONDARI MPYA UNAENDELEA MUSOMA VIJIJINI: KISIWA CHA RUKUBA KIMEANZA UJENZI WA SEKONDARI YAKE Jimbo la Musoma Vijijini lina Kata 21 zenye Vijiji 68 na Vitongoji 374. Jimbo hili lina jumla ya Sekondari: *25 za Kata (Serikali) *2 za Binafsi (Katoliki & SDA) Sekondari mpya tano (5)...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Serikali itenge siku maalum ya kuwapa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari vidonge vya minyoo na kichocho

    Kwa heshima na taadhima ninaiomba Serikali itenge siku maalum ya kuwapa wanafunzi wote wa shule za msingi na sekondari vidonge vya minyoo na kichocho. Leo nilikuwa nafanya mazoezi asubuhi nimekutana na wanafunzi wengi wakienda shuleni wengi niliowaona kwa kweli hawakuwa na afya nzuri...
  13. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi kushambulia kwa mawe Ofisi za Mtaaluma Shule ya Sekondari Nyiendo wilayani Bunda kunatoa taswira gani kwa walimu na wanafunzi shuleni hapo?

    🥲
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Sekondari ya Kumbukumbu ya Profesa David Massamba Waanza Rasmi - Musoma Vijijini

    UJENZI WA SEKONDARI YA KUMBUKUMBU YA PROFESA DAVID MASSAMBA WAANZA RASMI Leo, Jumatatu. tarehe 23.10.2023, ujenzi wa David Massamba Memorial Secondary School umeanza rasmi Kijijini Kurwaki, Kata ya Mugango, Musoma Vijijini. Uamuzi wa kuenzi kazi na mafanikio makubwa ya utaalamu na ubingwa...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Fursa ya Mafunzo ya Upishi kwa Wasichana waliohitimu Elimu ya Msingi na Sekondari

    Fursa ya mafunzo ya upishi kwa Wasichana waliohitimu Elimu ya Msingi na Sekondari
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Sekondari iliyofunguliwa 2006 yaamua kuanza kujenga maabara za masomo ya sayansi

    SEKONDARI ILIYOFUNGULIWA MWAKA 2006 YAAMUA KUANZA KUJENGA MAABARA ZA MASOMO YA SAYANSI Nyanja Sekondari ni ya Kata ya Bwasi yenye vijiji vitatu (3) vyenye jumla ya vitongoji ishirini na vitatu (23). Vijiji hivyo ni Bugunda, Bwasi na Bugunda. Sekondari hii ilifunguliwa Mwaka 2006, na kwa sasa...
  17. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa mkuu wa shule ya sekondari Nyiendo, wilayani Bunda

    Salaam zikufikie mkuu wa shule ya Sekondari Nyiendo halmashauri ya mji wa Bunda. 1. Punguza makundi. Umeigawa shule katika makundi matatu.Kundi la machawa(wafuasi maslahi).Hili ndilo kundi lenye nguvu zaidi Kwa sasa shuleni.Maazimio yoyote yasipokubaliwa na hawa hayapiti.Hawa wana kura ya...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Harambee Imefanikiwa Sana: Kisiwa cha Rukuba Chaanza Ujenzi wa Sekondari Yake

    HARAMBEE IMEFANIKIWA SANA: KISIWA CHA RUKUBA CHAANZA UJENZI WA SEKONDARI YAKE Kisiwa cha Rukuba ni moja ya vijiji vinne (4) vya Kata ya Etaro. Wanafunzi wa sekondari kutoka Kisiwani humo wanasoma nchi kavu kwenye sekondari ya Kata yao (Etaro Sekondari). Wanafunzi hao wanakumbuna na matatizo...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Walimu mbaroni wakidaiwa kufanyisha wanafunzi wa Sekondari Mitihani ya Darasa la 7

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linawashikilia walimu wanne kwa tuhuma za kuwafanyisha mitihani ya darasa la saba wanafunzi watatu wa sekondari katika Shule ya Msingi Igulumuki Wilaya ya Sengerema mkoani humo. Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Ijumaa Septemba 22, 2023; Kamanda wa Polisi...
  20. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Elimu ya bongo ina umuhimu mwisho shule ya msingi sekondari na vyuoni ni kupoteza muda tu

    Kwa namna elimu yetu hapa bongo ilivyo na inavyoleta matokeo yasiyo tarajiwa kwa kundi kubwa la wasomi na vijana. Nadiriki kusema kwa asilimia kubwa elimu ya Tanzania ina umuhimu mkubwa kwa shule ya msingi pekee( awali mpaka darasa la 7) ila sekondari na chuo ni kupoteza muda tu. Elimu ya...
Back
Top Bottom