sekondari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SAKA25

    JamiiForums Tanzania Muongozo na vyuo vya kujiunga kwa ngazi ya Ualimu Stashahada

    UTANGULIZI Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia anatangaza nafasi za mafunzo ya Ualimu kwa ngazi ya Stashahada ya Ualimu Elimu ya Sekondari. Waombaji wa mafunzo haya ni wahitimu wa Kidato cha Sita wenye ufaulu wa Daraja la Kwanza hadi la Tatu (I-III). Wizara inakaribisha maombi ya...
  2. DustBin

    JamiiForums Tanzania SoC01 Stashahada kiwe kigezo au sifa ya lazima kwa Walimu wa Shule za Sekondari

    Taifa kuwa na elimu bora ni pamoja na kuwa na walimu mahiri wenye misingi ya ualimu na maadili ya kazi hiyo. Mbali na kazi ya kufundisha lakini pia mwalimu ni mlezi. Hivyo tunatarajia watoto wetu wakipelekwa shule wapate elimu bora pamoja na kulelewa kimaadili kwa ajili ya kuandaa taifa la kesho...
  3. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Nitaishangaa serikali kama kuanzia mwaka wa fedha 2021/2022 haitatoa chakula cha mchana bure kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari nchini.

    Habari zenu viongozi! Ni dhahiri Tanzania inakwenda kuwa serikali tajiri. Serikali ambayo haitakuwa tegemezi kwa namna yoyote ile. Kuna changamoto nyingi nchini katika sekta za afya, elimu, na uchumi. Nikianzia sekta ya elimu , serikali itoe chakula cha mchana bure mashuleni. Huku msingi na...
  4. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Shule ya Sekondari ya Wavulana Geita (GESECO) imefungwa kwa muda wa wiki mbili baada ya kuungua mara 3 ndani ya siku 7

    Mkuu wa Mkoa wa Geita, Rosemary Senyamule ameifunga Shule ya Sekondari ya Wavulana Geita (GESECO) kwa muda wa wiki mbili baada ya moto kuwaka katika bweni la wavulana usiku wa kuamkia leo Julai 14, 2021. Kutokana na uamuzi huo, wanafunzi wote wametakiwa kurudi majumbani, na wanafunzi wanaosoma...
  5. Shimba ya Buyenze

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Sekondari Mpaka Chuo Kikuu: Pata Vitabu vya Masomo Mbalimbali Hapa

    Nitakuwa naweka hapa vitabu vinavyotumiwa katika mataifa mbalimbali kuanzia elimu ya sekondari mpaka Chuo Kikuu. Jisikieni huru pia kuweka vitabu vyo vyote vile vinavyotumika mashuleni na vyuoni kutoka mahali po pote duniani Naanza na kitabu hiki chenye fomyula muhimu 1,300 za somo la Hisabati...
  6. wajingawatu

    JamiiForums Tanzania Shule za Serikali kufanya vizuri kuliko za Binafsi: Je, ni mkakati wa kuzifuta shule binafsi, kama walivyokuwa upinzani?

    Sioni sababu ya shule za Sekondari za Serikali kufanya vizuri kuliko za watu au mashirika binafsi. Ila naamini kuna mkakati wa kuzifuta shule za binafsi kwa njia ile ile iliyotumika kuvidhoofisha vyama vya upinzani. Wenye povu au hoja tofauti mnakaribishwa.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tsh milioni 12.9 zatafunwa shule ya Sekondari Lugarawa

    Mil 12.9 zatafunwa shule ya sekondari Lugarawa Na Amiri Kilagalila,Njombe Mkuu wa wilaya ya Ludewa mkoani Njombe Andrea Tsere ameagiza jeshi la polisi kuwakamata wote walio husika na upotevu wa Mil 12.9 fedha iliyochangwa na wananchi kwa ajili ya chakula cha wanafunzi wa shule ya sekondari...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy: Michango ya kujiunga kidato cha tano kwa shule za Serikali isizidi Tsh. 188,000

    WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Ummy Mwalimu, amepiga marufuku wakuu wa shule zote za serikali kutoza michango ya kujiunga na kidato cha tano zaidi ya Sh. 188,000. Amesema mkuu yeyote wa shule atakayebainika kukiuka agizo hilo, hatua kali...
  9. balimar

    JamiiForums Tanzania Toa Maoni yako kwenye Uboreshaji wa Mtaala wa Elimu ya Awali, Msingi na Sekondari

    Hello Tupo na Mkutano hapa Dodoma Uboreshaji wa Mtaala wa Elimu Awali, Msingi na Sekondari Wapenda kujenga nchi mnaombwa kutuma maoni yenu kwa namba hii 0735041169 Unaweza kutuma maoni yako Hapa mkutano unaendelea, pia unaweza kufuatili kwenye mitandao ya kijamii na TBC One Asante
  10. Replica

    JamiiForums Tanzania Mulugo: Mwaka Kesho Serikali itashindwa kuwapeleka watoto Sekondari

    Naibu Waziri wa zamani wa Elimu na Mbunge wa Songwe, Philip Mulugo leo Bungeni amesema mwaka kesho serikali itashindwa kuwapeleka watoto Form one kwenye shule za serikali kwasababu mpango wa elimu bure ulianza miaka sita iliyopita hivyo watoto waliopo leo darasa la sita ni takribani 1.8 milioni...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira ya ualimu wa sekondari shule ya private au kituo chochote cha elimu

    Najua kuna watu wananishangaa, na huenda wapo watakaonishauri nisubiri matokeo ya ajira zilizotoka juzi. Lakini mimi hizo nimepishana nazo. Baada ya kumaliza chuo nilirudi nyumbani (kijijini) kabla ya vyeti kitoka. Na nilipokuwa huko nilipishana na deadline ya kutuma hizi ajira za juzi...
  12. msovero

    JamiiForums Tanzania Walimu sita wanalazimika kufundisha zaidi ya Wanafunzi 700 Sekondari ya Mwabusalu-Meatu

    WALIMU SITA, WANAFUNZI MIA SABA Mwabusalu Sekondari, Meatu Simiyu (Miaka 3, DIV I-0, II-7, III-14, IV-74, O-9) Habari Gani Tanzania? Shule ya Serikali ya Upili ya Mwabusalu (SLP 232) iliyopo Wilayani Meatu, Mkoa wa Simiyu inakabiliwa na uhaba wa walimu kwa miaka mingi sasa. Mwaka huu wa 2021...
  13. Rutunga M

    JamiiForums Tanzania Masomo ya sekondari kwa njia ya Mtandao kwa kila siku

    Kama mnavyojiua serikali inahimiza matumizi ya tehama katika kufundisha kwenye shule za msingi na serikali. Juzi nilipita katika shule moja ya sekondari nikakuta wao wamepata msaada wa vifaa vyote vya kuwawezesha kupata masomo hayo kwa njia ya mtandao lakini changamoto kubwa kwao ni akina nani...
  14. Amaizing Mimi

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Idara ya Elimu (Sekondari) Wilaya ya Ulanga wanafanya kazi kwa mazoea

    Habarini za muda huu ndugu zangu, Malalamiko yangu ni kwa Idara ya Elimu Sekondari katika wilaya ya Ulanga. Hawa jamaa sijui ni uzembe au kujisahau katika majukumu yao. Kumekuwa na utofauti wa ulipwaji stahiki mbalimbali kati ya idara ya msingi na sekondari. Mfano, suala la ulipaji nauli za...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mavunde aanza kuboresha miundombinu ya Viwanja vya Michezo vya Shule za Msingi na Sekondari Dodoma Jiji

    MBUNGE MAVUNDE AANZA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA VIWANJA VYA MICHEZO VYA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI DODOMA JIJI. Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mhe. Anthony Mavunde ameanza kuboresha miundombinu ya viwanja vya michezo katika shule za Msingi na Sekondari za Jiji la Dodoma kwa kulenga la kukuza...
  16. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Laptop computers 10 zaibwa shule ya sekondari Moshi Technical - Mkoa wa Kilimanjaro

    Kumekuwepo na usiri mkubwa , kwenye sakata la wizi wa laptop computers 10 uliofanyika shule ya Moshi Technical kule kilimanjaro, ambapo shule hii Ina kitengo maalumu cha wanafunzi wenye matatizo ya kutokusikia vizuri. Hii ni mara ya pili kufanyika kwa wizi huo ndani ya mwaka mmoja. Kimsingi...
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Vipindi vya dini katika shule za msingi na Sekondari za Serikali vifutwe

    Wale waliofanikiwa kupata elimu ya darasani angalau ya darasa la saba na kuendelea watakumbuka vipindi vya dini ambavyo vilitengwa rasmi kulingana na madhehebu mbalimbali na wanafunzi wote ni lazima kuhudhuria katika vipindi hivyo. Mara nyingi vipindi hivi huwa Ijumaa kuanzia muda wa saa nne...
  18. Mowwo

    JamiiForums Tanzania Ikiwa hatutumii asilimia 90 ya tunavyojifunza shuleni, kwanini tunajifunza?

    Kuna maana gani kama 90% ya tunavojifunza shuleni(msingi na sekondari) hatuvifanyii kazi? Elimu ni ufunguo wa maisha, nakubaliana kabisa na hii kauli. Lakini tuje kwenye uhalisia mwanafunzi wa shule ya msingi anasoma sii chini ya masomo 9 hadi anamaliza darasa la 7. Mwanafunzi wa sekondari...
  19. M

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI njooni muondoe wezi Tanga Jiji na Mkinga

    Ninawasalimu wanajukwaa wa JF Wakati Mh.Rais akitembea na kauli mbiu ya kazi iendelee,wapo manaibu makatibu wawili wa Tume ya Utumishi wa Walimu(TSC) wa wilaya za Tanga Jiji na Mkinga Halmashauri kauli yao itakua wizi unaendelea. Wanafanya wizi wa dhahiri,unyanyasaji,uonevu na ukandamizaji wa...
  20. beth

    JamiiForums Tanzania Chaurembo: Kata za Mbagala, Kilungule na Kibonde Maji hazina Shule za Sekondari

    Mbunge Abdallah Chaurembo amesema Kata za Mbagala, Kilungule na Kibonde Maji hazina kabisa Shule za Sekondari licha kwamba Sera ya Serikali ni kuwa na Sekondari katika kila Kata. Akiwa Bungeni, pia amezungumzia hali ya msongamano wa Wanafunzi madarasani katika Shule mbalimbali zikiwemo Mbande...
Back
Top Bottom