Morogoro: Kuna sehemu kunajengwa msikiti mkubwa unaopakana ukuta na kanisa, Je hii imekaaje?

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,417
30,926
Manispaa ya morogoro Kuna eneo nadhani ukitoka hospital kubwa Kama unaelekea bigwa Kuna sehemu mkono wa kulia Kuna kanisa Kama sio yehova ni sabato; kanisa Hilo linapakana ukuta tu na eneo linapojengwa msikiti mkubwa Sana. Sasa naomba mamlaka husika za kiserikali zitolee ufafanuzi kwamba hakutakuwa na shida huko baadae? Wakati Hawa wakiimba mapambio huku wengine wanapiga adhana.

Mods naomba msifute huu Uzi.
 
Hapo vimeumana😜! Kazi iendelee❗!
 
acha wamalizane wao wenywe, wakat wale wanaamka sa11 kuswali wanakutana na wenzao wa mkesha na mikelele ya mispika na mipambio ya kusifu, hapo kinachotokea huwa tunaita , ''fools when collaborate"..

yaani ni shetan anapokutana na shetani mwenzake unazani nini kinatokea??....majibu wanayo wao wenyewe, sisi mnaotuita wapagani yetu macho
 
Back
Top Bottom