Tanzania kuna slums? Kigezo cha sehemu kuwa slum ni nini?

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,658
20,889
Wakuu nina maswali mawili.

1. Nini kigezo cha makazi kuitwa slums?

2. Je, Tanzania kuna slums?
 
Poverty ni moja ya sababu lakini sio tu poverty pia upumbavu wa wakazi wa eneo husika.Kwa hapa Tanzania miji yote ni slums (Naombeni radhi kwa ambaye atalipokea vibaya).

Miji yote na majiji yote yana mipangilio mibovu, huduma mbovu za kijamii.Nakupeni mfano halisi, DSM kwa Tanzania ndio sehemu ambayo mtu akiwa anaeleza ustarabu wa makazi kwa mtanzania lazima aitaje. Angalia mji wako, nenda kwamfano Mlimani city ambayo ni sehemu imekuepo siku nyingi na imekuwa ikipata wageni wengi wa ndani na nje ya Tanzania.

Kitu kinachoshangaza ni kuwa eneo lile ukishatoka tu kwenye uzio wake unakutana na takataka za kila namna angalia ile barabara kabla ya kufika rufungila uchafu mtupu. Chukua njia ya survey, hapo kidogo siku hizi wanajitahidi baada ya kuwekwa jengo la Sky City nadhani lakini before ilikuwa uchafu mtupu.

Nenda hiyo sijui posta ndo kabisa ujinga,inafika wakati unashindwa kuelewa kwamba huu ni umaskini au upumbavu. Ndio bado namba nzuri vipato vyetu ni vya chini hatuwezi sema tujenge makasri lakini hata mipangilio imetushinda?I suggest poverty shouldn't mentioned but ignorance
 
1. Slums ni maeneo ambayo hayajapimwa na kuna majengo ambamo wanaishi binadamu. Maeneo hayo hayana huduma nzuri za msingi kwa mahitaji ya binadamu kama maji, barabara, afya nk.
2.Ndiyo Tanzania kuna slums nyingi za kutosha kama Manzese,Mbagala,Igogo Mwanza nk.
 
Bongo kama Jiji yote slams tupu huwezi amini mpaka ikulu yetu imekaa ki slum sana kama kunibisha njoo nipinge Kwa fact yaani ukitoka geti la ikulu ukasonga mita 100 mbele unaanza feel shombo za samaki hahhahhaaha tuwe seriously basi wabongo!
😁😁😁😁
 
Bongo slums zipo kibao sana! Ni sehemu waliojazana watu wanaoishi kwenye limbi la umasikini.

-Mwananyamala kuna slum
-Tandale
-Manseze
 
Back
Top Bottom