sehemu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Chuo sio sehemu salama ya kumpeleka mtoto asiyejielewa

    Mwenyezi Mungu awe Pamoja nasi, malezi ya watoto wakike Pamoja na kiume wote kwa Pamoja ni magumu mno kama ukilegeza, namuelewa sana mzee wangu kwa kutupiga vipigo vya mbwa koko ukifanya makosa ya hovyo au akikukuta na kampani ya kijinga. Nipo mkoani huku Kuna chuo Cha kati, kinachukua watoto...
  2. JamiiForums Tanzania Watu wa Pemba mnaweza vipi kuishi sehemu pagumu kama huku?

    Ebhana niaje, niko pemba mwezi wa Tatu huu sasa. Pemba ni kamji kadogo kenye mambo yake ya kustahajabisha. 1. Wale dada zetu poa huku kuwapata ni kasheshe sana. 2. Pombe mpaka uende Messi huko kwenye ukumbi wa wanajeshi 3. Kupata Sigara pemba ni mtiti maduka yanayo uza fegi yanajulikana kabisa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Onyango, Nyoni, Bocco na Mkude hawastahili kuichezea Simba. Muda umefika wa kuwaruhusu wakatafute maisha sehemu nyingine

    Chei Chei..... Nimefuatilia mahojiano ya Rais, Tajiri na mwekezaji mwenye mapenzi wa dhati na Simba Sc, Mh. Mohammed Dewji yaliyofanywa na Saleh Jembe, nimesikitika kusikia Simba imepewa 1.5 billioni za usajili lakini upigaji umekuwa mwingi.Miongoni mwa upigaji wa pesa za Rais Mo ni kuwaongezea...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri tuendelee kujenga "metre gauge railway" sehemu nyingine

    Watanzania na Waafrica kwa ujumla tunapenda vitu vizuri na vipya. Mimi naishi Texas, USA na nataka kuwajulisha reli zenye manufaa makubwa sana kwenye uchumi wa nchi hii ni reli za kizamani "metre gauge railway" na sio "Standard Gauge Railway" za umeme. Hizi reli za kizamani ndizo zinasafirisha...
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania yatajwa kuwa sehemu bora ya uwekezaji

    Jarida maarufu la biashara na linalofuatiliwa duniani kote la Business Insider lenye Makao Makuu yake Jijini New York, Marekani limeitaja Tanzania kuwa moja ya mataifa machache ulimwenguni yanayokua kwa kasi kwa sasa kwenye uwekezaji ambayo ni sehemu bora na salama zaidi kwa uwekezaji. Jarida...
  6. JamiiForums Tanzania Maulidi kitenge: Wanawake wajipaka tumbaku sehemu za siri kupata msisimko wa mapenzi

    Assalam aleykum Kama mnavyosoma hapo inaaminika wanawake zaidi ya asilimia 80 wanatumia tumbaku ili kujiongezea hamu ya mapenzi. Sasa ninachojiuliza ni kwamba mbona vitu vya kuongeza ashki ni vingi sana kwanini watumie ugoro?? Dah Kama wanawake wenzangu hadi tumbaku mnaweka kwa bibi basi mna...
  7. O

    JamiiForums Tanzania Mwili uliofukuliwa na kunyofolewa sehemu za siri, wazikwa

    Kulia ni mtoto wa marehemu, Ruben Kasala akiwa na Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji cha Kasokola wakionyesha kaburi la marehemu baada ya kuzikwa kwa mara ya pili. Picha na Mary Clemence. Katavi. Katika hali isiyo ya kawaida kaburi la marehemu Ruben Kasala (73) mkazi wa kijiji cha Kasokola...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi kuna sehemu Tanzania bodaboda wanakimbia kama hawa wa Arusha?

    Nimekulia Moshi Kilimanjaro, yeah kuna vijana wanakimbia na pikipiki mitaa ya Kalimani, kaloleni kule na njoro. Nimekaa Dar kidogo yes kuna vijana wanajitahidi kukimbia na pikipiki Ila Arusha hapana vijana kama hawana Roho na nyama, yaani pikipiki unasikia imepita kama mlio wa nyuki halafu sio...
  9. JamiiForums Tanzania Natafuta sehemu au mtu wa kufanya naye kazi ya ufundi wa magari

    Habari wakuu? Mimi nimejifunza ufundi magari na kazi nishaweza changamoto yangu ni kuwa kwa sasa Sina sehemu ya kufanyia kazi mana kunasehemu nilikuwa nimejishikiza ila kwa sasa hii sehemu ishafungwa kutokana na fundi mkuu kushindwa kulipa Kodi kwahio naomba Kama kuna fundi mechanics anahitaji...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Rais aliwaasa viongozi waandamizi kufanya KAZI Kwa kujiamini, DC Sumbawanga kafanya Kwa kujiamini akatumbuliwa. Bado kuna tatizo sehemu

    DC Sumbawanga ametumbuliwa Jana Bila Sababu yakumbuliwa kwake kuwekwa wazi. Mitandao ya kijamii imeandika kwamba zoezi la utayari lililoandaliwa na Askari WA kike ndicho chanzo cha kutumbuliwa kwake. Wakati vyanzo vikinyetisha kwamba zoezi la utayari Ndilo lililomtumbua naomba tutumie Sababu...
  11. JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    Naomba msaada wa hivi vinyama vilivyoniota pembezoni mwa shimo la haja kubwa vinaitwa piles kwa kimombo, kiswahili sijui. Hivi vidude huwa vinauma na kuacha, naweza kukaa miezi 8 hadi mwaka sivisikii ila vikianza kuuma nashindwa kukaa au hata kutembea. Naomba msaada wa dakatari yoyote...
  12. JamiiForums Tanzania Je, Kituo chako Cha Ajira Kiko Wilaya gani Tanzania, unadhani ni sehemu yenye 'Future' kwako au unatamani kuhamia Mkoa tofauti- Utaje

    Binafsi, Niko Kilimanjaro kikazi lakini hata ikitokea napata uhamisho usiku wa manane nasepa. Kilimanjaro nadhani ni Mkoa wa wastaafu na siyo sehemu ya utafutaji. Na maisha ya huku ni tofauti sana. NI mkoa mdogo sana. Ni mkoa wenye idadi ndogo sana ya watu, mostly wazee. Ni mkoa wenye Ardhi...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Jinsi CCM walivyojimilikisha sehemu ya Barabara ktk Makao makuu

    Hii nchi Chama ndio tunasema Dola, lakini katika jambo la kustaajabisha ni pale ambapo CCM imeamua kufanya ubabe na kujimilikisha sehemu ya Barabara yaani mtaa na kufanya ni njia ya kuingia katika jengo lao la makao makuu na kupaki magari. Yaani sehemu ya Barabara ya Mtaa wa Mwangaza hapo...
  14. JamiiForums Tanzania Makusanyo Soko la Sinza Makaburini yanaenda wapi? Hakuna vyoo wala sehemu za kutupa taka

    Nimeona taarifa hii kuhusu Wafanyabiashara wa Soko la Sinza Makaburini Jijini Dar es Salaam kulalamika kuwa juu ya ubovu wa miundombinu ya soko hilo, ikiwemo uchakavu wa vyoo pamoja na kukosekana kwa sehemu maalum ya kutupa taka. Kuna Mfanyabiashara Robert Swai ambaye amehojiwa na kusema soko...
  15. JamiiForums Tanzania Njoo tushauriane jinsi ya kuacha kazi sehemu moja na kufuata greener pasture

    Hii imemtokea rafik angu kapata offer nzuri kampuni ingine kutokana na utendaji wake. Sehemu aliyopo kamaliza contract wanamlipa vizuri na anaishi vizuri tuu hapa mjini. Kawapa demand zake Ili a renew contract ila wamesema hawata ongeza maslah Kwa kiwango anacho taka yeye. Amefanya na hao...
  16. JamiiForums Tanzania Wapemba kila sehemu ila wabara Zanzibar Noooo

  17. JamiiForums Tanzania Hivi hata Ulaya kuna sehemu zimepewa majina ya nchi mfano hapa Tanzania kuna street inaitwa Morocco, Argentina nk

    Naomba kufahamu hilo au tunajipendekeza .....
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini kila sehemu ruto anaambatana na Naibu Rais na Waziri Kiongozi?

    Kila sehemu kila ziara hawaachi lazima awe nao ni kwanini? Je, wanapata saa ngapi muda wa kufanya majukumu yao?
  19. JamiiForums Tanzania Google imeanza kuweka sehemu ya Magic Eraser kwa watumiaji wa iOS (iPhone)

    Google imeanza kuweka uwezo wa kufuta vitu na watu kwenye picha. Kwa kawaida feature hii inapatikana bure kwa watumiaji wa Google Pixels 6 na Google Pixel 7. Kwa wiki hii Google imeanza kuweka feature hii bure kwa watumiaji wa iOS ambao wanalipia huduma ya Google One. Huduma hii ya Google One...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini Vitambulisho vya Taifa kutokubalika kwenye matumizi sehemu nyingi au kutokuwa na maana sehemu tofauti

    Unasajiri laini ya simu kwa NIDA ila cha kushangaza wanakuwekea ndani ya miezi mitatu imefutwa. Unaenda kuomba mkopo benki lakini kitambulisho cha NIDA ni kama umepeleka Passport tu kwa nijuavyo. Suala la kitambulisho cha taifa tulivolichukulia kiukweli tumekosea kiwango kikubwa tena...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…