sehemu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Hivi hata Ulaya kuna sehemu zimepewa majina ya nchi mfano hapa Tanzania kuna street inaitwa Morocco, Argentina nk

    Naomba kufahamu hilo au tunajipendekeza .....
  2. aka2030

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini kila sehemu ruto anaambatana na Naibu Rais na Waziri Kiongozi?

    Kila sehemu kila ziara hawaachi lazima awe nao ni kwanini? Je, wanapata saa ngapi muda wa kufanya majukumu yao?
  3. Apollo

    JamiiForums Tanzania Google imeanza kuweka sehemu ya Magic Eraser kwa watumiaji wa iOS (iPhone)

    Google imeanza kuweka uwezo wa kufuta vitu na watu kwenye picha. Kwa kawaida feature hii inapatikana bure kwa watumiaji wa Google Pixels 6 na Google Pixel 7. Kwa wiki hii Google imeanza kuweka feature hii bure kwa watumiaji wa iOS ambao wanalipia huduma ya Google One. Huduma hii ya Google One...
  4. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Kwanini Vitambulisho vya Taifa kutokubalika kwenye matumizi sehemu nyingi au kutokuwa na maana sehemu tofauti

    Unasajiri laini ya simu kwa NIDA ila cha kushangaza wanakuwekea ndani ya miezi mitatu imefutwa. Unaenda kuomba mkopo benki lakini kitambulisho cha NIDA ni kama umepeleka Passport tu kwa nijuavyo. Suala la kitambulisho cha taifa tulivolichukulia kiukweli tumekosea kiwango kikubwa tena...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Sehemu ipi nzuri kushiriki na online slots?

    Kuna michezo ya casino hii kama online slots na live casino inakuja kwa kasi sana sikuizi watu wanaopoa pesa nyingi sana huku. Kuna site zipi nzuri ambazo zinafaa sana kushiriki na michezo kama hii na je ni michezo ipi hasa mfano slots zipi ni nzuri?
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya kikao cha mbunge wa jimbo na wakuu wa shule za Musoma vijijini - 2

    SEHEMU YA PILI YA TAARIFA YA KIKAO CHA MBUNGE WA JIMBO NA WAKUU WA SHULE ZA MUSOMA VIJIJINI Sehemu ya Kwanza ya Taarifa ya Kikao hicho: Sehemu hii ilitolewa na Ofisi ya Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo. *Mahali inapopatikana ni kwenye TOVUTI ya Jimbo letu ambayo ni...
  7. Strictly Syrup

    JamiiForums Tanzania Natafuta sehemu wanapofanya DTG Printing

    Habari, natafuta sehemu hapa Dar wanapofanya Ditect-to-Garment Printing. Nina designs zangu natamani sana ningeziprint kwenye tees (merch). Natanguliza shukrani.
  8. the Villag Story

    JamiiForums Tanzania Shida ni Mama Mkwe

    MWANDISHI: INNOCENT Tulianza mapenzi yetu tangu tukiwa secondary na hatukuishia hapo penzi letu lilifanikiwa kufika mpaka chuo kikuu pale mzumbe tawi la mkoa wa Mbeya mungu mwema na hatimae tukaoana. Lakini kama ningevizingatia vijitabia flani vidogo vidogo alivonionesha mume wangu Terry enzi...
  9. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Nguruwe hafugiki jangwani iweje mseme haramu wakati ngamia kwetu hafugiki sehemu zisizo na jangwa

    Tukiseme dini tumletewa ila kuna watu watakimbilia sijui kimeshushwa sijui kimeleta sayansi wataki hiko kitabu kimekuta sayansi teyari na mapiramidi yashajengwa. Jambo lilonileta hapa kila mnyama aliyepo duniani anaishi kulingana na eneo la kijografia alipotoka tokea dunia kuanza ndio maana...
  10. ommytk

    JamiiForums Tanzania Serikali iangalie hii biashara sehemu za ibada ...maji na mafuta ni chanzo cha mapato vikatwe kodi

    Huu ni ushauri kwa serikali yetu kuna hizi biashara katika sehemu za ibada mfano kuna kuuza maji kuuza mafuta na vinginevyo serikali iweke utaratibu wa kukusanya mapato katika hizi biashara ambazo Inafanyika bila kulipiwa Kodi. Lipa Kodi kwa naendeleo ya nchi
  11. Nakadori

    JamiiForums Tanzania Unajua kwa mwanamke nywele za sehemu za siri na kwa mwanaume ndevu zina kazi yake kunako?

    Je wajua kuwa nywele za chini na ndevu ni urembo wa kimahaba? Mwenyezi Mungu alituumba na kutuwekea hivyo akiwa na maana kabisa ila sasa binadamu wa leo wamestaarabika kiasi waonaona ndevu au mavuzi ni uchafu tena uchafu sana. Mwanaume akiwa na ndevu anaonekana mchafu sana, au ikiwa ni mwanamke...
  12. kyagata

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mbeya maisha yako nafuu kiasi hiki ukilinganisha na sehemu zingine za nchi yetu?

    Niko Mbeya nashangaa shangaa Naona mabucha mengi ya nyama ya ng'ombe yanauza nyama kilo 6,000/= Kitimoto kilo ni 8000/= Mchele kilo ni 2000/= Mafuta ya kupikia lita 5 ni 23,000/= Maharage kilo ni 2500/= Ndizi mkungu ni elfu 5 tu. Matunda yapo ya kila aina,mfano maembe bakuli zima ni jero tu...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Msaada makadirio ya bei na sehemu naweza kupata "curved monitor"

    natafuta 34" - 37" curved monitor, ndani ya Tanzania bei na wapi nawaza pata? sio lazima brand niliyo attach hapa cc
  14. MK254

    JamiiForums Tanzania Wagner wanyofoa sehemu za siri za mpiganaji aliyetaka kurudi nyuma kwa uwoga

    Hii inaonyesha hali ilivyokua ngumu kwa Mtanzania aliyeuawa akimpigania Putin, yaani ni aidha usonge mbele ufe au unyofolewe sehemu nyeti...yaani mapum.bu The merciless tactics of the Wagner Group in Ukraine have been exposed in intelligence reports this week, which learned a mercenary member...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ukienda Mjini kutafuta Maisha hakikisha unafanya haya

    UKIENDA MJINI KUTAFUTA MAISHA HAKIKISHA UNAFANYA HAYA Anaandika, Robert Heriel Leo sina mengi ya kusema, najua Maisha hayana Formula Ila zipo Formula katika Maisha. Ukitaka chukua usipotaka Acha. Ooh! Mimi ni kijana, nina miaka 25, sina hili wala lile. Sijui nikatafutie wapi Maisha. Mimi...
  16. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Hivi binadamu akiishi milele si maji na hewa na sehemu kubwa ya ardhi vitaisha ili kumtengeneza?

    Habarini. Ukiangalia mwili wa binadamu na wanyama utaona kuwa ni mpangilio tu wa elements ambazo zipo kwenye mazingira tunayoishi. Asilimia zaidi ya 60 ya binadamu anaundwa na Oxygen. Elements zingine zinazofuata ni Carbon, Hydrogen na Nitrogen. Zingine zilizopo kwa uchache ni sodium , potasium...
  17. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka: Nimezunguka nchi nzima, hakuna sehemu wanauza mchele Tshs. 3,500 kwa kilo

    Kiongozi mkubwa wa CCM amewataka wananchi wapuuze uzushi unaonea mitandaoni kuwa mchele umefikia 3500 kwa kilo sababu yeye mwenyewe ametembelea masoko yote makubwa nchini na hajakutana na bei hiyo tajwa. Ameenda mbali zaidi na kudai Kuna kona kadhaa za nchi mchele upo hadi sh 1000 kwa kilo...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mahakama yasogeza mbele kesi ya aliyekutwa na sehemu za siri za kike

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeutaka upande wa mashtaka katika kesi ya kukutwa na viungo vya binadamu inayomkabili Salum Nkonja (23) kuwa shauri hilo litakapokuja tarehe ijayo wahakikishe wanaleta mashahidi pamoja na vielelezo katika mahakama hiyo. Inadaiwa kuwa mshtakiwa huyo alikutwa na...
  19. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wakristo tunashinikiza kufunga macho tunapoomba wakati siyo takwa?

    hata Yesu alivyoomba alifumbua macho huku akiangalia juu mbinguni .. YOHANA 17:1 Usiku wa juzi nikiwa nikiwa kwenye maandalizi ya kulala, kama kawida yangu huwa ni lazima nimshukuru Mwenyezi Mungu kwa afya, utimamu na amani aliyonipa. Kwa siku hio kabla ya kulala nikajiuliza swali kwanini huwa...
  20. Keynez

    JamiiForums Tanzania Sehemu ya Ulengaji Shabaha ya Kigamboni ipo sehemu gani?

    Kuna jamaa yangu anaulizia sehemu ya kujifunzia au kufanyia mazoezi ulengaji shabaha. Nafikiri niliwahi kusikia ipo Kigamboni. Msaada kwenye tuta.
Back
Top Bottom