Njoo tushauriane jinsi ya kuacha kazi sehemu moja na kufuata greener pasture

Dr am 4 real PhD

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
6,506
12,006
Hii imemtokea rafik angu kapata offer nzuri kampuni ingine kutokana na utendaji wake.

Sehemu aliyopo kamaliza contract wanamlipa vizuri na anaishi vizuri tuu hapa mjini.

Kawapa demand zake Ili a renew contract ila wamesema hawata ongeza maslah Kwa kiwango anacho taka yeye.

Amefanya na hao jamaa miaka mi 5 na ndoto zake ni kufungua kampuni yake.....kama hio na sio kutanga Tanga.

Wasiwasi wake anaogopa kwenda kwenye other organizations aanzie ku scratch kujifunza na ku odopt organization calture ingine.

Swali lake aendelee hapo alipo akijipanga kufungua kampuni yake au aende kufanya kazi kwenye kampuni nyingine aliyo pewa ofa kubwa?

Mimi nimemwambia aendelee hapo hapo huku akijipanga kufungua kampuni yake.

Ushauri wako ni muhimu sana Kwa Huyu JAMAA angu?
 
kwahiyo utaenda kumuonesha jinsi tunavyomshauri au utapiga kimya as if inakuhusu?
Nimeshindwa kumshaur kuacha alipo sabb amenielezea hapo alipo wanaishi kama familia.

Yaan kama vile ilivyo kua ngumu Kwa Lionel Messi kuondoka Barcelona FC

Mshaur Kwa kuwaza hivyo.
 
huyo jamaa bila shaka ni wewe
Soma nyuzi zangu mm nilisha achanaga na mambo ya vyeti, mambo ya kufanya Kaz za watu nilishaga Toka huko. Nina degree mbili zote zipo kabatini.

Kitu pekee nacho kiwazia it's my wish kabla sijafa natamani niwe na PHD sio za kununua kama za kina naniliu....Bali ya kuingia darasani. Nayo ntaiweka kabatini.

Jarib kupitia nyuzi zangu humu ndani.
 
Mkuu unataka tukushauri kitu gani sisi jobless?
Tafuta connection...then kua mtiifu sana ujifunze....then copy & paste even in small scale.

Leo nilipata wasaa wa kuonana na kaka angu Mentor wangu hapa town.

Ni mdau 🤓 humu JF ila hatuambianagi majina tunayo yatumia hapa😃😃😊😊

Tumejadil mambo ya teuzi kidogo

Aliwai kuniuliza au wew ndio bigsam

Ili tubadilike tunaitaji tubadilike kuanzia ndani yetu jinsi tunavyo fikiri.

Mimi sio motivation spiker
 
Tafuta connection...then kua mtiifu sana ujifunze....then copy & paste even in small scale.

Leo nilipata wasaa wa kuonana na kaka angu Mentor wangu hapa town.

Ni mdau humu JF ila hatuambianagi majina tunayo yatumia hapa

Tumejadil mambo ya teuzi kidogo

Aliwai kuniuliza au wew ndio bigsam

Ili tubadilike tunaitaji tubadilike kuanzia ndani yetu jinsi tunavyo fikiri.

Mimi sio motivation spiker
Bado sijakuelewa
 
Sasa kama wanaishi kama familia mbona hawamuingezi mashahara

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Alicho nieleza yeye amesha jua in and out kwenye hiyo kampuni so Kuna muda unaweza kua una lipwa 1.5m per month kumbe thaman yako kwenye kampuni ni kubwa kuliko hiyo 1.5m salary
Kwa mtu mwingine 1.5m kwake ni kubwa mnoo

The same case Kwa kilicho mtokea FEI TOTO na yanga...

Jarib kuwaza Kwa mtazamo huo....🤓
 
Back
Top Bottom