Hivi kuna sehemu Tanzania bodaboda wanakimbia kama hawa wa Arusha?

MOSHI UFUNDI

JF-Expert Member
Nov 25, 2022
498
1,141
Nimekulia Moshi Kilimanjaro, yeah kuna vijana wanakimbia na pikipiki mitaa ya Kalimani, kaloleni kule na njoro.
Nimekaa Dar kidogo yes kuna vijana wanajitahidi kukimbia na pikipiki

Ila Arusha hapana vijana kama hawana Roho na nyama, yaani pikipiki unasikia imepita kama mlio wa nyuki halafu sio mmoja sasa ni wengi karibia wote.

1679027703403.jpg

 
Arusha kitu wanachopenda kuprove ni kuwa hawana akili sawa sawa.

Katika kitu huwa kinanistaajabisha ni hicho. Yaani mtu ana hangaika kukuonyesha kwa maneno na vitendo namna ambavyo hana akili sawa sawa na anaona ni sifa muhimu ya kumfanya aonekane katika jamii.

Halafu si wanaume si wanawake si watoto si wazee wote idea zao zinakaribiana. Utasikia "Aiseee chalii yangu mimi ni mwehu mani kaulize sijui mawapi huko nilipo ngarambua kiyechuyechu"

Me huwa nawatazama natikisa kichwa nasepa.
 
Arusha kitu wanachopenda kuprove ni kuwa hawana akili sawa sawa.

Katika kitu huwa kinanistaajabisha ni hicho. Yaani mtu ana hangaika kukuonyesha kwa maneno na vitendo namna ambavyo hana akili sawa sawa na anaona ni sifa muhimu ya kumfanya aonekane katika jamii...
Umetumia kigezo gani kuwajumuisha wote kuwa hawana akili sawasawa? Saa zingine Kuliko uandike nonsense and look like a fool, it’s better to just shut up.
 
Back
Top Bottom