sehemu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sehemu Gani nzuri Morogoro ya kula supu, bia na nyama choma

    Wazee kibunda kipo na nishafika Moro,ntalala hapa Ili kesho mchana niondoke kuja dar sasa nawaza hiki kibunda changu nikitumie wapi? Nipo na girlfriend wangu.
  2. Katazo la ubaguzi dhidi ya watu wenye ulemavu sehemu za kazi

    Kumekuwa na kasumba mbaya ya kuwabagua watu wenye ulemavu kazini. Ubaguzi unaweza kufanywa na waajiri dhidi ya watu wenye ulemavu au kufanywa na waajiriwa wengine dhidi ya watu wenye ulemavu. Ubaguzi kwa kigezo cha ulemavu au tofauti zozote katika sehemu ya kazi sio jambo linalotakiwa...
  3. Natafuta sehemu ya office

    Habari wandugu ! Natafuta sehemu ya office size ya kati tu . Maeneo ya Dar ! Budget yangu 300k kama unajua jengo au sehem plz msaada
  4. Je, unafahamu sehemu salama za kuhifadhi wosia?

    Japo sheria haisemi juu ya wapi pa kuhifadhi wosia, kivitendo na ilivyozoeleka kwa walio wengi sehemu zifuatazo zinaweza kutumika katika kuhifadhi wosia: 1. Benki 2. Mahakamani 3. Kwenye ofisi ya mwanasheria 4. Kwenye ofisi ya kabidhi wasii mkuu- RITA Inashauriwa kuhifadhi katika mojawapo ya...
  5. Fahari ya nchi yetu, ni sehemu gani ulivutiwa au unakerwa nayo uliposafiri kwa Basi au gari binafsi

    Ndugu wanajf habari, binafsi ninaposafiri navutiwa Sana na baadhi ya maeneo japo mengine yanakera Ninayoyapenda  Unaposafiri barabara ya Kutoka Dar kwenda Moro Kuna kasehemu kana msitu unapotoka bwawani Kuna kamsitu kazuri na kanavutia barabara yake nzuri. Pia ukifika Moro zile safu za milima...
  6. N

    Msaada sehemu ya kujifunza ufundi Kilimanjaro

    Kama kuna fundi au mtu anayefahamu sehemu ninayoweza jifunza ufundi radio, TV, pasi (electronics), tofauti na VETA coz veta hawana evening class msaada please Kilimanjaro
  7. Ipi sehemu nzuri kujenga na kuishi?

    Habari zenu wana JamiiForums! Ningependa kupata maoni kwa wadau katika kuchagua eneo la kuishi. Kuna ndugu yangu anataka kujenga kabisa, viwanja anasema vipo poa kapata maeneo haya; 1. Kigamboni (mjimwema, gezaulole, kisiwa) 2. Kimara 3. Mbezi mwisho 4. Kitunda 5. Goba Hivyo viwanja maeneo...
  8. Instagram inafanya majaribio ya kuweka sehemu mpya ya “Repost”

    Sehemu hii itakuwa inawezesha mtumiaji ku-repost post ambazo amezipenda. Mfano ukiona post ambayo unatamani kuonyesha followers wako, unaweza ku-report na itakaa katika profile yako upande mpya wa posts ambazo ume-repost. Hii inafanana kabisa na “Retweet” ya Twitter. Ku-share post ambayo sio...
  9. Anaefanya kazi Azam tv sehemu ya ku-reply ajithathimini.

    Aisee Hutu jamaa sidhani Kama anajua kazi yake,sehemu nyingi zenye utata harudii/hazirudii inaweza chukua hata dakika 5 akarudia kidogo tu, Tunaomba ajirekebishe na awe sharp kwenye matukio kufanya reply..
  10. D

    Nilimtongoza akanikatalia sasa hivi anataka niwe natembea naye kila sehemu

    Wakuu humu ndan nna swali langu. Kuna manzi nilimtongoza mda flan kipindi tuko chuon akanichomolea akaniambia kuwa ana mtu tayar ss nikamute kwa muda ikatokea wakat huu tupo field wote tumeenda sehemu moja yaan anataka kila nikiwa natoka home kwenda kule ofisini anataka tuwe tunatembea wote...
  11. Anahitajika mtaalamu (mganga) wa kumgandisha mwizi na mali aliyoiba sehemu alipoibia

    Ndugu zangu nimekwama, tena nimekwama haswa. Nimegadhibika pasina mfano 😠😡, mimi si mtu wa kwenda vilingeni ila kwa hili Mola wangu anisamehe sana. Shambani nina minazi takribani 100 ila siambulii kitu, Hawa waduwanzi naona sasa wanaleta mazoea yasiyovumilika. Zamani kila baada ya miezi mitatu...
  12. S

    Mchungaji Ananje: Ni ujinga watoto kugombania mali za marehemu kwasababu nao ni sehemu ya mali/mifugo yake

    Mchungaji huyu akitoa maoni yake juu ya watoto wa marehemu kugombea mali ameponda vikali. Amesema watoto ni mifugo/ mali ya marehemu hivyo hawana chao kabisa kwenye mali za marehemu. Mifugo inadai urithi wa mifugo wenzie? Amehoji mchungaji huyo Wapeni salaam watoto wa Mrema na mzee Mengi
  13. Marufuku watoto sehemu za starehe wala kuuziwa sigara

    Karibu sana mpenzi msomaji na mdau wa JamiiForums katika Somo la leo ambako tunakwenda kujifunza kuhusiana na ulinzi wa mtoto (Child Protection) hasa katika mazingira hatarishi kwa ustawi bora wa mtoto. Leo tunaangazia zaidi kifungu cha 17(1, 2, & 3) cha Sheria ya Mtoto ya mwaka 2009 sura ya 13...
  14. J

    Kinana: Waacheni wakulima wauze mazao yao sehemu yoyote wanayodhani watapata bei nzuri

    Kinana ashauri wakulima waachwe wauze popote wanapopata bei nzuri Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania bara Ndugu Abdulrahman Kinana ametoa wito wa kuondolewa kwa vikwazo dhidi ya wakulima pale wanapotaka kuuza mazao yao. Akizungumza na wana CCM na wananchi waliyojitokeza kumlaki Nyakanazi...
  15. Sehemu 10 nyingine ambazo serikali inaweza kuvuna mabilioni ya pesa kupitia tozo ni huku

    1.Vifurushi vya simu(vocha pia) 2. Vifurushi vya televisheni 3. Usafiri wa daladala 4. Pikipiki 5. Bajaji 6. Mafuta ya kupikia 7. Nafaka zote 8. Soda 9. Sigara 10. Pombe zote Mambo yote hayo kila siku yanatumika kama serikali itaweka tozo basi nchi itasonga haraka sana. My. Mwigulu hata...
  16. Wapi sehemu za starehe na totozi Mwanza?

    Kesho kutwa nina safari ya kwenda Shirati mkoa wa Mara, wakati wa kurudi nitapita Mwanza kwa mapumziko ya siku mbili. Kipindi cha nyuma Villa Park na Dv8 zilikuwa 🔥🔥🔥. Kwa wana Mwanza ni kiwanja gani kinachobamba kwa sasa?
  17. SoC02 Iweke dunia sehemu salama hata kama huna dini

    IWEKE DUNIA KUWA SEHEMU SALAMA NA SAHIHI YA KUISHI BINADAMU HATA KAMA HUNA DINI. Kumekuwa na ongezeko kubwa la makundi yanayotendeana wema na mazuri wao kwa wao ndani ya kundi lakini hawawezi kutenda wema huo nje ya kundi bali kutendea ubaya kundi lingine kwa maana wapo tofauti kiitikadi nao...
  18. SoC02 Namna ya kufanya kazi na maadui sehemu ya kazi

    Umewahi kupata wazo kuwa mtu kazini kwako hana nia njema na wewe? Je, wakati mwingine unahisi kuna watu fulani unaofanya nao kazi ni wabaya wako? Inawezekana isiwe uadui wa moja kwa moja lakini kuna ile hali ya kutokuamni wenzako. Unajisikia haupo salama unapomsikiliza mtu lakini hujui ni...
  19. Karibu Bongo sehemu ambayo kifurushi cha wiki kinaisha kwa siku

    Bongo ni sehemu ambayo kifurushi cha wiki kinaisha kwa siku 😂
  20. Kariakoo sehemu gani naweza kupata simu used kwa bajeti kama laki 2?

    Wazee kichwa cha habari kinajitosheleza
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…