Saa nyingine wanaume tukipenda sana, first date tunamwalika mwanamke restaurant au sehemu nyingine tulivu ila sio gheto au lodge

Balqior

JF-Expert Member
Jun 8, 2021
1,709
5,697
Kuna katabia ambacho wanaume tunacho, tukimpenda sana mwanamke hadi kujisemea akilini huyu akinikubali namwoa, tunaona noma kumwita gheto on first meeting, kwasababu tunahisi atakataa, na tutajiharibia cv kwa kuonekana wahuni, na hatutaki tukataliwe.

Badala yake tunaomba tukutane mgahawani, au sehemu tulivu ambayo ni romantic, na kununua vizawadi vya gharama K.v smartphone, au saa, maua etc ambavyo hata hujaombwa kama una hela, na tunaanza kujitwika majukumu ya mume Fasta sana, sema mbaya zaidi tunawafanyia haya wadada wasiostahili, yani wanaostahili kuwaalika mgahawani na kuwapa zawadi kwenye first date, tunawaalika ghetto, half wanakubali.

Cha ajabu wengine unawaalika mgahawa ambao ni classic bado wanakataa, bila kujua ni heshima gani umewapa, ila wakialikwa kwenda ghetto kwa mwanaume mwingine on first date, wanakubali kwasababu wanampenda huyo mwanaume hahaa, kwenye first date, mwanaume hamfahamiani vizuri akikualika ghetto kwake for sex, jua kwamba hajali kama utamkubali au utamkataa, ndo maana kupata ujasiri huo.

NB: Sio wanaume wote wanaokualika kwenye fancy restaurant na wanaokupa zawadi nzuri kabla hamjafahamiana, wanakupenda na wana malengo ya kukuoa, wengine ni kwasababu wana hela nyingi na wana facilitate process ya wewe kutoa papa Kirahisi.
 
Kuna katabia ambacho wanaume tunacho, tukimpenda sana mwanamke,, hadi kujisemea akilini huyu akinikubali namwoa, tunaona noma kumwita gheto on first meeting, kwasababu tunahisi atakataa, na tutajiharibia cv kwa kuonekana wahuni, na hatutaki tukataliwe, badala yake tunaomba tukutane mgahawani, au sehemu tulivu ambayo ni romantic, na kununua vizawadi vya gharama K.v smartphone, au saa, maua etc ambavyo hata hujaombwa kama una hela, na tunaanza kujitwika majukumu ya mume Fasta sana, sema mbaya zaidi tunawafanyia haya wadada wasiostahili, yani wanaostahili kuwaalika mgahawani na kuwapa zawadi kwenye first date, tunawaalika ghetto, half wanakubali..

Cha ajabu wengine unawaalika mgahawa ambao ni classic bado wanakataa, bila kujua ni heshima gani umewapa, ila wakialikwa kwenda ghetto kwa mwanaume mwingine on first date, wanakubali kwasababu wanampenda huyo mwanaume..hahaa, kwenye first date, mwanaume hamfahamiani vizuri akikualika ghetto kwake for sex, jua kwamba hajali kama utamkubali au utamkataa, ndo maana kupata ujasiri huo.

NB: Sio wanaume wote wanaokualika kwenye fancy restaurant na wanaokupa zawadi nzuri kabla hamjafahamiana, wanakupenda na wana malengo ya kukuoa, wengine ni kwasababu wana hela nyingi na wana facilitate process ya wewe kutoa papa Kirahisi

Jpili njema 😁😁😁😁😁😁
1681163309651.jpg
 
Back
Top Bottom