sehemu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania KWELI Kuketi sehemu moja kwa Muda mrefu ni hatari kiafya

    Kuna ukweli wowote kwenye hili kuwa kuketi kwa muda mrefu sehemu moja pasipo kutembea au kujishughulisha na kazi yoyote ni hatari kwa afya?
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Aliyekutwa na Fuvu, Sehemu za Siri 5 za Binadamu afutiwa kesi

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemfutia kesi na kumwachia huru mshtakiwa Salum Nkonja (23) maarufu kama Emmanuel Nkonja, aliyekuwa anakabiliwa na mashtaka 11 yakiwemo ya kukutwa na vipande viwili vya mafuvu ya kichwa cha binadamu pamoja na sehemu za siri tano za mwanamke baada ya kesi hiyo...
  3. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kazi ya chupi sio kuficha sehemu za siri tena?

    Naziona sana aina hii ya nguo, ama kwenye mwili wa mwanamke au madukani. Kitamaduni nguo hii ni maalumu kwa ajili ya kuuficha uchi ili usionekane kirahisi na kuutia joto ubaki na vuguvugu. Naona kama maana ya vazi hili imepotea. Zinavaliwa nyavu ambazo uchi unaonekana moja kwa moja bila kificho
  4. Okrap

    JamiiForums Tanzania Sehemu gani mzuri ya kwenda kupunguza stress za mapenzi?

    Mambo, Nisehemu gani mzuri ya kwenda kupunguza mawazo jamani? Una amka vizuri lakini mapenzi yana kuvuluga, khaa!
  5. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Notification (Binti ukikosa akili kitakachoumia ni sehemu za siri)

    notification 🎁
  6. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Ni ulimbukeni kwenda sehemu za starehe (kula bata) siku za sikukuu

    Watanzania wengi baadhi yetu ni washamba wa starehe,hivi kwa akili yako kabisa unaweka pesa ili ukatumie siku ya sikukuu hizo ni akili za kitoto. Siku za sikukuu ni za watoto au vijana wanao ishi kwa wazazi wao kwenda kuenjoy Mana ni siku yao ya kuwa free. Ukiwa na mwanamke anawaza siku ya...
  7. sanalii

    JamiiForums Tanzania Dini kuu mbili zote ziko katika mfungo, wanaojaza sehemu za starehe ni kina nani?

    Inawezekanaje kua Kwaresma na Ramadhani vimekutana lakini maeneo ya starehe mambo yako kama kawaida, hii inaleta tafsiri gani?
  8. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Zanzibar ndo Sehemu pekee nzuri hapa Tanzania

    Ukifika Zanzibar huwezi kukutana na Hawa wanawake watembea uchi Pia hata ukipoteza sm Zanzibar unaletewa Nilikaa Zanzibar Mika miwili niseme wale Jamaa wana heshima Sana na maadili Bora Sana . Niseme ntarudi Zanzibar Ramadhan kareem
  9. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Binadamu anaenda kukosa ajira kabisa kwakuwa teknolojia imetawala, kama uwepo wa maroboti

    Tunapenda sana ushabiki ila bila kufahamu tunachokishabikia kina faida zipi na hasara zipi. Tuko na Watanzania ndezi wengi sana kila kitu kinaonekana ni bora. Any way... Tunalia na ajira kwa kiwango kikubwa kwasasa na bado robot sio nyingi nchini Tanzania je¡ zikishika atamu hali itakuwaje na...
  10. Idugunde

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwaka 2025 watanzania tuchague wabunge wa CCM pekee maana CHADEMA na wenzoo ni sehemu ya CCM

    Hakuna upinzani sasa. Maana sio Chdema au wenzao wote ni sehemu ya CCM. Hili la maridhiano ni porojp tu na hizi ni uganga njaa wa kisiasa. Sasa kwa nini tuchague vyama ambavyo ni CCM b, c au d. Bora kuchagua CCM yenyewe tu kuliko kuchagua wanaoigiza upinzani feki Najua wanaChadema wengi...
  11. Brain Kingdom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekuwa addicted na tabia ya kupora wapenzi wa watu sehemu za starehe

    Wasalaam, Nimepata mfadhaiko siku za hivi karibuni, mademu za watu wanapigana na kuwaacha wapenzi wao kisa Mimi, na pisi Kali kiasi kwamba ni ngumu kukataa, wanalipa mpaka bill zilizogharimiwa na hao wapenzi wao ili kuondoa utumwa. Huwa natoa maagizo tu kuwa ukishavuruga utanikuta sehemu...
  12. Mama Edina

    JamiiForums Tanzania JF apatikane mdau anunue hii sehemu tuwe tunakwenda vacation

    Niliitoa sehemu, JF tycoon mmoja anunue. Naomba mnunue jamani ntie wanaume tafadhali
  13. DaveSave

    JamiiForums Tanzania African man dem village, sehemu ya bei nafuu ila luxury, Kigamboni

    Wale wazee wa kupenda Privacy na Bata wa Kimyakimya, this is the place to be. Hii sehemu ipo Somangila- Kichangani, Kigamboni. Trust me wana huduma za kipekee na gharama poa sana kwa msosi na kulala lodge yao ni handy made with artist creativity. Patamu sana kujificha na kumwagilia moyo. You...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania TBS mnatufikiriaje Watanzania tunaokunywa Soda za Pepsi na Coca za Chupa Kawaida zenye kutu nyingi sehemu ya Kizibo?

    Sasa hivi imekuwa ni Kawaida kwa GENTAMYCINE kila nikibahatika ama kunywa Soda ya Coca Cola au Pepsi Cola nikiifungua tu Kukaribishwa Kiukarimu na Chupa yenye Kutu ya Kutukuka Kiziboni (sehemu ya Kunywea) TBS mko wapi? Hii ni halali Kwetu Walaji? Kwanini hamtusaidii Wanyonge (Masikini) akina...
  15. Mr No fair

    JamiiForums Tanzania Kwa Tanzania ni sehemu gani unaweza kupata Chemicals mbalimbali

    Mfano labda nahitaji calcium carbonate, silicone ,Polyol Nk ni sehemu gani naweza kupata vitu kama hivyo labda TDI please Nisaidieni wana jamvi.
  16. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Chuo sio sehemu salama ya kumpeleka mtoto asiyejielewa

    Mwenyezi Mungu awe Pamoja nasi, malezi ya watoto wakike Pamoja na kiume wote kwa Pamoja ni magumu mno kama ukilegeza, namuelewa sana mzee wangu kwa kutupiga vipigo vya mbwa koko ukifanya makosa ya hovyo au akikukuta na kampani ya kijinga. Nipo mkoani huku Kuna chuo Cha kati, kinachukua watoto...
  17. BARDIZBAH

    JamiiForums Tanzania Watu wa Pemba mnaweza vipi kuishi sehemu pagumu kama huku?

    Ebhana niaje, niko pemba mwezi wa Tatu huu sasa. Pemba ni kamji kadogo kenye mambo yake ya kustahajabisha. 1. Wale dada zetu poa huku kuwapata ni kasheshe sana. 2. Pombe mpaka uende Messi huko kwenye ukumbi wa wanajeshi 3. Kupata Sigara pemba ni mtiti maduka yanayo uza fegi yanajulikana kabisa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Onyango, Nyoni, Bocco na Mkude hawastahili kuichezea Simba. Muda umefika wa kuwaruhusu wakatafute maisha sehemu nyingine

    Chei Chei..... Nimefuatilia mahojiano ya Rais, Tajiri na mwekezaji mwenye mapenzi wa dhati na Simba Sc, Mh. Mohammed Dewji yaliyofanywa na Saleh Jembe, nimesikitika kusikia Simba imepewa 1.5 billioni za usajili lakini upigaji umekuwa mwingi.Miongoni mwa upigaji wa pesa za Rais Mo ni kuwaongezea...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri tuendelee kujenga "metre gauge railway" sehemu nyingine

    Watanzania na Waafrica kwa ujumla tunapenda vitu vizuri na vipya. Mimi naishi Texas, USA na nataka kuwajulisha reli zenye manufaa makubwa sana kwenye uchumi wa nchi hii ni reli za kizamani "metre gauge railway" na sio "Standard Gauge Railway" za umeme. Hizi reli za kizamani ndizo zinasafirisha...
  20. benzemah

    JamiiForums Tanzania Tanzania yatajwa kuwa sehemu bora ya uwekezaji

    Jarida maarufu la biashara na linalofuatiliwa duniani kote la Business Insider lenye Makao Makuu yake Jijini New York, Marekani limeitaja Tanzania kuwa moja ya mataifa machache ulimwenguni yanayokua kwa kasi kwa sasa kwenye uwekezaji ambayo ni sehemu bora na salama zaidi kwa uwekezaji. Jarida...
Back
Top Bottom