Je, unajitambua kama upo kila sehemu?

we are the inner

Senior Member
Dec 27, 2023
133
367
UWEPO WAKO KILA SEHEMU.

Je wajua hili.
Wajua kuwa wewe upo Kila mahali?.

Kuna msemo huwa unasema kuwa ULIPO, NIPO!

Wewe upo Tanzania, upo Ameri, upo Asia, upo Sayari mbalimbali, upo kwenye Kila Galaxy na upo mahali pote.

Kinachokufanya ujione mnyonge ni hako kamwili.

Kuna kauwezo Fulani kadogo ambako huwa kanakutokea pale unapoota umeenda sehemu Fulani kwa ndoto,au kwa maono ni nani huwa anakupeleka?

Wewe unauwezo wa kwenda Sayari yoyote kwa sekunde na kurudi.

Wazungu wanatengeneza vyombo mbalimbali kwenda Sayari za mbali wanatumia MIAKA na MIAKA kufika huko hiyo ni kwa sababu wanatumia AKILI/MAUMBILE.

Hapo zamani walikuwepo Wanasayansi waliotumia uwezo ULIOPO ndani mwao kufika Sayari mbalimbali na kuandika vitabu ambavyo Leo tunavitumia mashuleni.

Ni pale unapojiyeyusha na kuanza kutembea katika Nuru, maana hapo ulipo upo katika mwendo wa Ajabu ila wewe hujui kutokana na Udanganyifu wa maumbile yako/mwili.

Ninamaanisha kuwa ndani mwako Kuna Kila kitu unachokiona nje yako, ndani mwako Kuna vyote, nyota zote, Galaxy zote na mwisho WEWE NDIO ANGA ambapo Anga lipo Kila mahali.

Mambo haya inahitaji ujisikilize ndipo upate kuyaelewa.

JITAMBUE+AMKA+CHUKUA HATUA.
 
Wewe umejuaje hili!?

Unaweza thibitisha kitu gani hapo
 
Afya ya akili

1 kati ya 4
 
kama umeanza kuchanganyikiwa hivi
 
Hizi nadharia za kwenye movie ya lucy tafuta hiyo compound ya CPH4 ukiunlock celebral capacity kwa 100% ndo uje utupe ushaidi
 
UWEPO WAKO KILA SEHEMU.

Je wajua hili.
Wajua kuwa wewe upo Kila mahali?.

Kuna msemo huwa unasema kuwa ULIPO, NIPO!

Wewe upo Tanzania, upo Ameri, upo Asia, upo Sayari mbalimbali, upo kwenye Kila Galaxy na upo mahali pote.

Kinachokufanya ujione mnyonge ni hako kamwili.

Kuna kauwezo Fulani kadogo ambako huwa kanakutokea pale unapoota umeenda sehemu Fulani kwa ndoto,au kwa maono ni nani huwa anakupeleka?

Wewe unauwezo wa kwenda Sayari yoyote kwa sekunde na kurudi.

Wazungu wanatengeneza vyombo mbalimbali kwenda Sayari za mbali wanatumia MIAKA na MIAKA kufika huko hiyo ni kwa sababu wanatumia AKILI/MAUMBILE.

Hapo zamani walikuwepo Wanasayansi waliotumia uwezo ULIOPO ndani mwao kufika Sayari mbalimbali na kuandika vitabu ambavyo Leo tunavitumia mashuleni.

Ni pale unapojiyeyusha na kuanza kutembea katika Nuru, maana hapo ulipo upo katika mwendo wa Ajabu ila wewe hujui kutokana na Udanganyifu wa maumbile yako/mwili.

Ninamaanisha kuwa ndani mwako Kuna Kila kitu unachokiona nje yako, ndani mwako Kuna vyote, nyota zote, Galaxy zote na mwisho WEWE NDIO ANGA ambapo Anga lipo Kila mahali.

Mambo haya inahitaji ujisikilize ndipo upate kuyaelewa.

JITAMBUE+AMKA+CHUKUA HATUA.
Soma Quantum physics.
 
Back
Top Bottom