security

  1. Waziri Mayai Wa Maradhi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Man Who Breached President Ruto’s Security Arrested

    Following his arrest for running toward President William Ruto on February 12, 2026, during the Nyota Launching Program in Wajir County, Ahmed Mohamed's family has spoken out. His sister claims that on Friday, February 13, one day after the incident, Ahmed was taken from his house and...
  2. monotheist

    JamiiForums Tanzania Mwenye connection ya kazi ya security

    Natumai hamjambo, kama kichwa cha habari kinavyojieleza Nina uzoefu wa kutosha na hii kazi nilishafanya serena hoteli, kiwandani na airport termonal 3 kupitia gardaworld kwa yeyote atakayeweza kunisaidia ani PM tafadhali
  3. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Kama Security details ya Nicolas Maduro ilikuwa na raia wa Cuba , basi sishangai kilichompata

    Kila nikifikiria hili swala la Maduro kunyakuliwa usiku wa maanane ikulu ,basi bila shaka alikuwa hawaamini "My fellow county men" mpaka akaamua kuwakodisha wa Cuba kama Walinzi wake. Sasa wa Venezuela wenzake wakaamua "kumuuza" kwa bei ya jioni kabisa kwa Baba Baron 😂😂😂.
  4. monotheist

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya security officer/guard

    Natumaini hamjambo, nami pia sijambo nimefanya kazi ya security kwa miaka 5 maeneo mbalimbali ikiwemo serena hoteli mwaka 1, viwandani miaka miwili na airport terminal 3 mwaka 1, na nimefanya kazi hayo maeneo kupitia GARDAWORLD hivyo nina uzoefu wa kutosha kama kuna yeyote anaweza kunisaidia...
  5. Richard

    JamiiForums Tanzania Je, watumia Zoom? Chukua tahadhari namna ya kujilinda na mambo kama ya kurekodi na kupeana picha na pia hatua za kiusalama security settings control .

    Taarifa za uhakika kabisa za kijasusi zilizopo ni kwamba jeshi la polisi chini ya kamanda Mafwele wapo kazini kuwatafuta, kuwabaini na kuwatambua wale wote walohusika na kuandaa mikutano ya kupanga maandamano ambayo kwa namna fulani yamefanikiwa kufikisha ujumbe. Ujumbe wa maandamano hayo...
  6. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Assistant Team Lead – IT (Network and System Security) – (Re-advertised) at School of St Jude August 2025

    We’re looking for qualified and passionate Assistant Team Lead – IT (Network and System Security) – (Re-advertised) Want to work for one of the largest charities of its kind in Africa? Are you a tech-savvy individual with a passion for making a difference? Are you eager to bring your IT...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli tumeshindwa kifunga security cameras badala yake tumejaza mituta barabarani!?

    Kama hujatembea mataifa ya wenzetu unaweza usielewe hii kero niisemayo hapa. Ukweli ni kwamba barabara zetu zinawekewa matuta ya kikatili na ya hovyo sana, licha ya haya matuta kuchangia uharibifu wa gari lkn pia husababisha kero sana kwa watumiaji wa barabara. Hivi kwa technology hii...
  8. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Iran-Supreme National Security Council

    Tumeisha toa amri Israel lazima atiwe adabu na nchi yeyote inayo ingilia tutaishambulia https://youtu.be/ij4yaxMawng?si=Pepu-im6QwJ48gLZ Vitu vinaondoka mda huu https://youtu.be/mLMpR_BvtqQ?si=ZW7iApOAlTCeDvgL
  9. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Taarifa muhimu Baraza la mawaziri la usalama Israel kukutana kwenye chumba maalum chini ya ardhi underground bunker saa 10 jioni

    Wadau hamjamboni nyote, bTaarifa muhimu Baraza la mawaziri la usalama Israel kukutana kwenye chumba maalumu chini ya ardh underground bunker saa 10 jioni, taarifa kamili hapo chini kwa kimombo, By Times of Israel The security cabinet is set to meet in an underground bunker tonight at 10...
  10. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Technophilic Leo nimeumbuka! Nime compromise personal security bila kujua

    Ndugu wapenda technologia…. Hii yote inahusu simu yangu ya iphone Leo nimepata pigo kubwa la security Bleach KWA KUKUSUDIA NA PASIPO KUKUSUDIA Hivi juzi kati nimenunua simu nyingine Iphone 11 kutoka ka mtu naefahamiana nae na mm nililua natumia iphone X max Sasa changamoto ikawa kwene...
  11. Kabelwa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania security Plug simu za mkopo

    wadau naomba mwenye kufahamu jinsi ya kuitoa hii security plug maana nimemaliza huo mkopo msaada tafadhari
  12. kayanda01

    JamiiForums Tanzania Car security: Je, kuna Alarm System yenye 'KILL SWITCH' ndani yake?

    Wakuu na wataalaamu wa mifumo ya ulinzi wa magari, title yajieleza. Nahitaji kufunga ''Alarm System''. Pia nahitaji kufunga "Kill Switch" ili kuongeza security levels kwenye gari. Kill Switch ambayo inazuia kabisa gari kuwaka. Je, kuna mfumo ambao ni Two in One, yaani alarm + kill switch? If...
  13. Tembosa

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani wawataka raia wake kuepuka kusafiri kwenda visiwani na maeneo ya Pwani kusini mwa Kisiju, Tanzania

    Ubalozi wa Marekani jijini Dar es Salaam unawataka raia wa Marekani kuepuka kusafiri kwenda visiwani na maeneo ya pwani kusini mwa Kisiju, Tanzania. Wafanyakazi wa serikali ya Marekani wamezuiwa kusafiri katika maeneo haya bila kibali cha awali ======================== Location: Islands and...
  14. Miss Natafuta

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Security camera kama bulb, bei 30,000 tu

    Rudisha heshima na adabu nyumbani kwako. Watu waache kukaa kizembezembe Leo tunakuletea offer kabambe ya mwaka mpya Camera ni elfu 30 ukichukua anzia pc 3. PC moja ni elfu 30 Ni rahisi kutumia na unaiweka sehemu yoyote kama Ile bulb ya kawaida Unaweza kuconnect kwenye simu zaidi ya moja Ina mic...
  15. Ally Abdulrahman

    JamiiForums Tanzania Msaada maswali ya interview ya nafasi ya Assistant Airport security TAA

    Wakuu. Naomben hint za maswali ya interview ya assistant airport security kw wenye uzoefu nazo. Nimekuw shortlisted Nd maan naomb maswali
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya China Tanzania Security yafafanua madai ya Walinzi wa Vituo vya Mwendokasi kutolipwa mishahara ya miezi mitatu

    Uongozi wa Kampuni ya China Tanzania Security umetoa ufafanuzi kuhusu madai ya Mwanachana wa JamiiForums.com aliyeandika kuwa wafanyakazi wa ofisi hiyo ambao ni Walinzi wanaosimamia Vituo kadhaa vya Usafiri wa Mabasi ya Mwendokasi hawajalipwa mishahara kwa muda wa miezi mitatu na kuwa wakidai...
  17. 3

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ipi ni bora katika kujiajiri na kutengeneza pesa nyingi kati ya software developer na Cyber security

    Habari zenu ndugu polen na majukumu mimi niliuw na penda kujua kati ya software developer na Cyber security ipi inaweza kukutengenezea utajiri mkubwa kwa Tanzania hapa
  18. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu amehack website yetu na kutuvuta tuanze kutoa huduma ya cyber security

    Habari wakuu, Ni jambo la kushangaza mtu anahack website yetu anaanza kufuta vitu vyetu. Sio uungwana kabisa lakini tuna mshukuru sana ametuongezea uwezo wa ziada na leo tunatangaza kwamba tutaanza kutoa huduma ya cyber security.
  19. State Propaganda

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utawala mpya wa Jawlani nchini Syria waiandikia barua UN Security Council wakilalama kuhusu Israel kuendelea kujitwalia maeneo ya ardhi yake zaidi

    Utawala mpya wa Syria ulio chini ya kikundi cha kigaidi cha kiislamu chenye itikadi kali kijulikanacho kama Hayat Tahrir al-Sham (HTS), unaoongozwa na gaidi kiongozi Abu Mohammed al-Jawlani, umeiandikia barua yenye malalamiko na manung'uniko mengi Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UN...
  20. snipa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi vyombo vya usalama vinavyoweza soma email zako kwa kutumia Namba ya simu kama security uliyoweka kwenye email yako

    Imezoeleka Kwa wengi kutumia Namba ya simu kama 2FA. Sasa tukija kuangalia usalama kawaida Huwa ni ndogo kwasabu zifuatazo. Email inbox na outbox hazijifuti kama ilivyo kwenye WhatsApp. Vyombo vya usalama vinaweza kupewa access ya jumbe fupi au calls unazotumiwa kwenye namba Yako ya simu...
Back
Top Bottom