Wakuu habari za wakati huu, ninatumai mu wazima wa afya.
Naomba kufahamu humu kama kutakuwa na wataalamu wa sanaa ya UCHORAJI, Aidha Mabango ya biashara, picha za kupamba ukutani au majengo ya biashara.
Kama mpo naomba tuwasiliane, au kama kuna mwenye groups za Whatsapp au telegram...