Wataalam wa sanaa ya uchoraji

Zero Conscious

JF-Expert Member
Apr 23, 2022
254
509
Wakuu habari za wakati huu, ninatumai mu wazima wa afya.

Naomba kufahamu humu kama kutakuwa na wataalamu wa sanaa ya UCHORAJI, Aidha Mabango ya biashara, picha za kupamba ukutani au majengo ya biashara.

Kama mpo naomba tuwasiliane, au kama kuna mwenye groups za Whatsapp au telegram zinazohusiana na shughuli tajwa hapo juu anitumie links.

Asanteni sana
 
Wachoraji wa 'kawaida' au wanaotumia software?

Sent from my SM-N910C using JamiiForums mobile app
 
Unataka uwape kazi au uwafahamu tu? Wapo facebook wamejaa tele huko, tena wa kila kiwango
 
Nenda Facebook tafuta mtu anaitwa Abdul Gugu, au Freddy Halla watakusaidia. Ni wachoraji wakubwa na wako pia utaona hata baadhi ya kazi zao
Wakuu habari za wakati huu, ninatumai mu wazima wa afya.

Naomba kufahamu humu kama kutakuwa na wataalamu wa sanaa ya UCHORAJI, Aidha Mabango ya biashara, picha za kupamba ukutani au majengo ya biashara.

Kama mpo naomba tuwasiliane, au kama kuna mwenye groups za Whatsapp au telegram zinazohusiana na shughuli tajwa hapo juu anitumie links.

Asanteni sana
 
Kama ni mchora katuni amuone masoud kipanya, nathan mpangala, noah yongolo, oscar makoye, ibra washokera, chriss katembo, james gayo, said michael na wengine wengi wa magazetini watamsaidia
 
Wakuu habari za wakati huu, ninatumai mu wazima wa afya.

Naomba kufahamu humu kama kutakuwa na wataalamu wa sanaa ya UCHORAJI, Aidha Mabango ya biashara, picha za kupamba ukutani au majengo ya biashara.

Kama mpo naomba tuwasiliane, au kama kuna mwenye groups za Whatsapp au telegram zinazohusiana na shughuli tajwa hapo juu anitumie links.

Asanteni sana
Muone kijana Masoud Kipanya au King Kinya
 
Back
Top Bottom