BODR-Snoop Kaupiga Mwingi Sanaa

Gushleviv

JF-Expert Member
Mar 14, 2011
3,437
5,146
Asee kama Wewe ni Mdau wa WestCoast Rap utakubaliana nami kwamba katika hii Album ya BODR(Back On Death Row) Snoop D O Double G kaupiga mwingi sana. Ni moja ya Album kali sanaaa... My favourite tracks are 1.House I Built 2.Crip Ya Enthusiasm
 
Bro Gushleviv fatilia ndug mwana kampandia hewani Diddy ili kuiinua Death Raw.halafu unauliza akishirikiana na Diddy kuna tatizo gani?.Unajua Diddy yupo kambi gani?
 
It's all Business, Mbona Suge Mwenyewe alikuwa anataka (ana mpango) kuanzisha DeathRow East" ambayo HQ zingekuwa New York. And for your Information Snoop na Diddy hawajawahi kuwa na tatizo (beef). Issue ya Pac na Biggie ndio ilikuwa inaleta ukakasi. Hata Pac mwenyewe he is originally from Harlem(East) baadae Mama yake ndio alihamia Auckland California(West).
So binafsi sioni ubaya wowote ule wa Snoop kushirikiana na Diddy coz its all about business.
Kwa hali ya Sasa beef zile kama za kina Pac na Biggie ni Ushamba tu.
 
i get you nigga
 
Hata wakishirikiana ujue uzee umewaijia vizuri yale mambo ya nyama (beef )zisizo na kichwa wala miguu zimeondoa wanzao ulikuwa ni usela mavi flan hivi wimbo kama hit em up japo nilikuwa na bado namkubali pac ila pale kwangu mimi haijakaa vizuri.Wimbo https://jamii.app/JFUserGuide zilikuwa nyingi kuliko maneno mengine walikusanya mpaka mashabiki wa kazuramimba au makongolosi if u wanna be with bad boys https://jamii.app/JFUserGuide you too aah
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom