sanaa

  1. Wasanii Wa Ngoma Za Asili Watakiwa Kujisajili Kupata Fedha Za Mfuko Wa Sanaa

    Serikali imesema kuwa wasanii wa ngoma za asili wanatakiwa kujisajili kwa maafisa Utamaduni wa Wilaya ili waweze kupata fedha za Mfuko wa Utamaduni na Sanaa ambapo kwa mwaka wa fedha 2021/2022 mfuko huo umetengewa bilioni 1.5. Kauli hiyo imesemwa Julai 24, 2021 na Mkurugenzi Msaidizi...
  2. Nimesikitishwa sana! Nchi ya watu milioni 55 haiwezi kutuma wanaspoti 5?

    Nchi yenye watu 55 million haiwezi hata kuwatuma wanaspoti 5? Duuh 😔 Na kisha mkitazama hiyo picha, yule anayebeba hiyo bendera si mtz. Na ndiyo maana mimi hujiuliza, Mbona wenzetu ni kama huwa mnachanganyikiwa? Angalau uganda
  3. Ujerumani yakubali kurudisha kazi za sanaa zilizoibwa Nigeria

    Serikali za Nigeria na Ujerumani zimekubaliana muda wa mwisho wa kurejesha vinyago vya kuchingwa vilivyoibiwa kutoka nchini Nigeria. Waziri wa habari na utamaduni wa Nigeria ameyasema hayo katika mkutano wa waandishi wa habari mjini Lagos, uliolenga kuwafahamisha Wanigeria ni wapi zipofikia...
  4. SoC01 Sanaa ni njia nzuri ya kutatua tatizo la ajira, Tusipuuze

    HIVI UNAJUA MAPENGO YA KINYWA CHA SANAA YANAWEZA KUZIBIKA KAMA TUKIAMUA? 'Licha ya jopo la madaktari kupambana Na changamoto za kinywa hiki, bado tatizo sugu la mapengo limeonekana kuwazidi nguvu, kinywa kinazidi kupata mapengo kila uchwao' Leo nakukaribisha uone muundo halisi wa Kinywa hiki...
  5. L

    Ch8na: Maonesho ya sanaa za historia ya CPC yafanyika

    Maonyesho ya kuonyesha sanaa za historia ya CPC yafanyika Maonyesho ya sanaa za historia ya Chama cha Kikomunisti cha China yamefanyika kwenye Jumba la Kumbukumbu la Kitaifa la China. Kwenye maonesho hayo kuna michoro mbalimbali na kwa jumla yanaonyesha kazi za sanaa 100 za asili katika aina...
  6. W

    Natafuta kazi shule binafsi kufundisha masomo ya sanaa

    .
  7. Elimu ya sanaa na ufundi shuleni irudishwe

    Sisi tuliosoma enzi za awamu ya kwanza, enzi za Chama kushika hatamu, tunakumbuka elimu ya sanaa na ufundi. Hili lilikua somo kamili, kulikua na walimu waliohitimu mafunzo hayo. Shule zilikua na karakana, wavulana walifundishwa useremala (labda nimekosea) na uwashi. Hata ujenzi wa madarasa na...
  8. Ahsante Rais Samia, kwa hili Watumishi wa Umma tumekuelewa sana

    Niliajiriwa 2013 tokea hapo sijawahi panda daraja. Mwendazake alinyonya sana haki yetu. Tena zile haki za kisheria kama increments ila mama ameponya majeraha ya msukuma. Watumishi kwenye BAJETI 2021/22. 1. PAYE imeshushwa kutoka 9% mpaka 8%. 2. Bil 449 kwa ajili ya kupandisha vyeo watumishi...
  9. Sanaa ni kipaji kinaitwa arts

  10. Festo Sanga: BASATA ni Baraza la Sanaa la Taifa, sasa hivi limegeuka ni Mahakama ya Sanaa ya Taifa

    Mbunge wa Makete, Festo Sanga, amesema asilimia kubwa ya Wasanii wa Tanzania wamejipambania wenyewe bila msaada wowote wa Vyombo vinavyotakiwa kuwasadia lakini Baraza la Sanaa (BASATA) linafanya urasimu kwenye kazi zao Ameongeza kuwa, Sheria zilizopo BASATA ni za kikoloni ambazo zimejikita...
  11. Michael Blackson mwenye asili ya Ghana anaeishi Marekani yupo real sana

    Huyu comedian mwenye asili ya Ghana anaeishi Marekani na kufanya kazi zake za sanaa Nchini Us pia ameshiriki filamu ya Coming to America 2, huwa ananifurahisha sana jinsi anavyopenda kwao Ghana anapenda kucheza miziki ya Afrika, vyakula vya nyumbani yeye ndio anakula hata akiwa marekan mara...
  12. J

    Jinsi ya kujisajili BASATA kwa ajili ya kufanya sanaa

    Msanii anaweza kupata fomu ya usajili mtandaoni kwa kuingia www.basata.go.tz au kwa maafisa Utamaduni wa Wilaya na baadaye kujaza fomu na kuziwasilisha BASATA zikiwa zimeambatanishwa na wasifu binafsi (CV) wa Msanii husika
  13. J

    Vitu 6 vya kuandaa unapotaka kusajili kazi ya sanaa

    Nakala mbili za kazi yako ya sanaa; Picha mbili za utambulisho(Passport size); Nakala ya picha za utambulisho, Kitambulisho cha Kitaifa au cheti cha kuzaliwa; Nakala ya picha ya utambulisho, kitambulisho cha Kitaifa au cheti cha kuzaliwa cha ndugu wa mwombaji; Ushahidi wa maandishi kuhusu...
  14. Hayati Magufuli anashambuliwa kila kona. Siyo kesi, ila mambo yaende; yasipoenda wananchi watawazomea kila kona

    Spidi aliyokuwa nayo Marehemu Magufuli ya kufanya mambo yaende na kufanyika kwa kasi inayoonekana wazi kwa kila mtu, ni challenge kwa waliopo iwe serikalini au bungeni au Mahakamani kuifikia baada ya kifo chake Matarajio ya wananchi ni kuwa spidi itakuwa kubwa kuliko ile au itabaki ile ile...
  15. Bongo Movies wengi ni vilaza, si ajabu wameilaza sanaa ya uigizaji. Wasomi ingieni huko

    BONGO MOVIE WENGI NI VILAZA, SIO AJABU WAMEILAZA SANAA YA UIGIZAJI Anaandika, Robert Heriel Hapana shaka sanaa ya Uigizaji kwa sasa imelala Usingizi wa Pono, imelala fofofo na waigizaji wake wanakoroma. Wapo kwenye ndoto za majinamizi wabaya wanaowakimbiza kwenye mitaro huko usingizini. Tangu...
  16. Barua ya wazi kwa Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo

    Barua ya wazi kwa mhe Innocent Bashungwa, salaam wanajukwaa, salaam wanajf, salaam wote wenye afya njema na wasio na afya timamu, tuzidi kuwaombea wapate ahueni waweze kuwa salama! Niende kwenye dhumuni rasmi la kuandika ukurasa huu, miaka ya nyuma tulikuwa katika mfumo tofauti wa kufikishiana...
  17. Ni sanaa na ubunifu tu

  18. B

    Tunahitaji kuteua PhD kusimamia sanaa na filamu Tanzania?

    Let us be serious kwenye teuzi zetu, hivi Dr. Ishengoma ni wapi amewahi kushiriki sanaa au kuigiza au kusimamia filim production? Nimetoa mfano huu baada yakuangalia viongozi wanaosimamia sanaa na filamu nchini nikaona most of them are civil servant and academician. Tunapotaka kukuza hizi sekta...
  19. Televisheni na Redio hazitaruhusiwa kucheza wala kuonesha kazi za Sanaa bila uhakiki wa BASATA, TFB na COSOTA

    Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Taasisi ya Hakimiliki Tanzania (COSOTA) imetoa tamko kuwa, kuanzia tarehe 1/5/2021 Televisheni na Redio hazitaruhusiwa kucheza wala kuonesha kazi yoyote kwenye vituo vyao bila kazi hiyo kuhakikiwa na BASATA (Muziki...
  20. Bunge si Jumba la Sanaa, ni mahali Patakatifu Kisiasa katika ukombozi wa mawazo ya mnyonge

    Salaam Wana JF, Nianze kwa kusema kuwa wale wanaodhani Bunge letu ni Jumba la Sanaa wanakosea kimantiki na pengine hawajui Majukumu ya Mhimili huu na mipaka yake, Bunge lina utakatifu wake na upekee katika ustawi wa haki na Maendeleo kwa watu, Bunge Ni moyo wa nchi kiutawala. Hatahivyo Kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…