sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Yanga mpira mnacheza, magoli yanafungwa na burudani tunapewa, kongole sana wananchi

    Yanga hii inaonyesha Sana mwanga katika kupambania ubingwa msimu huu, soka linachezwa kotekote iwe kwenye viwanja vibovu ama kwenye uwanja mzuri mbungi inapigwa tu, aina ya wachezaji waliosajiliwa ni jibu tosha ya kinachofanyika uwanjani, nawapa heko waliosajili🙌🙌🙌 N:B KMC msirudie kuipeleka...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Kizuwizi cha askari wa Lindi, ni moja ya vizuwizi maharamia na magaidi wanakichukia sana

    Nimesikia tukio la dereva kutaka kuwaua Askari ila wakamuwahi, jambo hili sijalishangaa kwangu naona kuwa ni jambo sasa Serikali kuweka vifaa maalumu pale kwenye kizuwizi kuwasaidia hawa Askari. Kiufupi ukiwa kusini ukimuuliza dereva au mtu anaye ijua hiyo barabara atakwambia askari wapale...
  3. Chakorii

    JamiiForums Tanzania Ninatafakari sana juu ya upasuaji wa miili (marekebisho) ya akina dada matokeo yake miaka kadhaa mbeleni baada ya upasuaji huo

    Habari watu wangu wa nguvu..mnaendeleaje!(nimewahamu)😊 Aiseh mbona hamtoi mialiko ya hii public holiday jamani😉fresh lakini😁 Sawa turudi kwenye mada husika. Ni kwa muda kidogo nime kuwa nikitafakari tunakoelekea miaka kadhaa mbele watoto wetu watakutana na changamoto zipi Hapo baadae...
  4. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Maisha hubadilika sana imekuwa aibu

    Zamani wadau wa humu wadada wa Dar walikuwa wanatriki zakumtoa mtupesa hadi jiji likaitwa Kaa chonjoo kisa wakina dada walivyowajanjaa nakuweka triks zakuwachukulia wakaka na wababa pesa unakupuliwa hadi unalia. Unalaani hadi unasahau ila kwa sasa nitofauti wakaka ndio wanahongwa kila kitu tena...
  5. nyboma

    JamiiForums Tanzania Huyu mlinzi wa Rais Samia Suluhu Hassan ananivutia sana

    Kama kichwa cha habari kinavyodai, kwa yeyote ambaye anaweza niunganisha na huyu mwanamama anayemlinda Mh. Rais naomba aweze kunipa connection ni wapi nitampata amekuwa akinivutia sana jinsi anavyotekeleza majukumu yake ya kiusalama kwa Mama yetu. Nipo tayari kumpa shamba langu la urithi la...
  6. zink

    JamiiForums Tanzania Natamani sana kila member humu wa JamiiForums atumie jina na pamoja na picha yake halisi

    Leo nimetafakari sana juu ya hili jambo, kwa maana wanachama wa humu wa JF wakitumia majina pamoja na picha zao halisi kutaleta faida zifuatazo: 1. Kutaongeza kuheshimiana, endapo kila member humu atatumia jina pamoja na picha yake halisi kutapelekea kuheshimiana kwa kuwa member wengi humu...
  7. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Napenda sana mvua

    Binafsi napenda sana mvua. Kuna amani fulani huwa naisikia mvua ikiwa inanyesha. Hata ile harufu ya udongo mvua zinapoanza kwangu ni burudani kabisa. Nifahamu kuwa wanaopenda mvua wanaitwa fluviophile. Kuna watu wengine humu nao wanapenda mvua?
  8. I

    JamiiForums Tanzania Nafurahi sana maaskofu wa KKKT wanavyowaumbua TEC

    Maaskofu KKKT nchi hii wanaonesha ndiyo watetezi wa kweli wa haki za binadamu wakiongozwa na Ask Shoo na Bagonza. Sijawahi kuona maskofu wa Kanisa Katoliki wakikemea mauaji aliyofanya Sabaya au Makonda zaidi ya kumsifia Makonda tu kuwa anafaa kuwa rais baada ya JPM kupitia kwa Kardinali Pengo...
  9. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Mradi wa SGR umeendeshwa vibaya na utalitia Taifa hasara kizazi hadi kizazi

    Mwaka 1970-1974 mchina alijenga reli ya Tazara ya kisasa kwa wakati huo na watanzania waliaminishwa makubwa Sana juu ya faida ya mradi husika. Miaka 25 tu baada ya mradi kukamilika reli ikachoka, ikakosa wateja, usimamizi mbovu. Zile hadithi na simulizi tamu za manufaa ya mradi huo...
  10. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Wanayoichambua hukumu ya Sabaya kisheria wanakosea Sana. Akijua kuchezesha kete za kisiasa vizuri akakata rufaa anashinda kesi asubuhi.

    Si kweli eti utawala huu unatenda haki na kufata Misingi ya kisheria ndio maana Sabaya kafungwa. La hasha. Kuna Wabunge wapo bungeni Leo bila kuwa na chama. Na wameingia kimizengwe mizengwe. Serikali iko kimya akuna anayeshugulika na uvunjifu huo wa Katiba. Sheria na Katiba inatambua haki ya...
  11. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siasa ya Kenya ina ucheshi sana

    Kuna hii video nimepatana nayo huko youtube nakuambia imeniwacha hoi, nimecheka kweli. Siasa ya Kenya kweli ina ucheshi sana. Halafu huyu jamaa aliyeunda hii video namvulia kofia. Hongera kwake.
  12. Fantastic Beast

    JamiiForums Tanzania Hili la kuzuiliwa kwa maiti sababu ya bili kubwa mzizi wake ni huu, Wizara ya afya rudisheni utaratibu wa zamani

    Haka ni katatizo kadogo sana ambako wizara inajua mzizi wake ni nini, kama hawajui basi nawajuza. Kwanza hili tatizo huwezi kulisikia kwenye hospitali zifuatazo, kama lipo basi ni kwa udogo sana: Hospitali za Wilaya, Mikoa, Vituo vya Afya, Hospitali binafsi. Hili tatizo utalikuta hospitali...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Oven ya deki tatu inauzwa

    Jiko la deki 3 ,trey 9 linauzwa, kwa wenye nia ya kufungua bakery ama baking zozote ni jiko zuri sana ni jipya halijawahi kutumiwa, bei mil 5 ,tuwasiliane no.0777482509.karibuni ulimwengu wa wajasiriamali.
  14. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Watu wasiokunywa pombe na kuchangamana na watu, kwa nini ni wanafiki sana?

    Watu wa aina hii hufanya kazi kwa majungu na kusengenyana. Huwa hawajiamini na mara nyingi hutegemea majungu ili kumjua mtu. Mara nyingi hata uwezo wao wa kupiga mzigo/ perfomance ni mdogo bali hutegemea majungu ili kusurvavive. Hupenda sana kuona watu wanafarakana makazini.
  15. SANCTUS ANACLETUS

    JamiiForums Tanzania Inauma, inasikitisha, inakera sana, na inafikirisha sana kuona viatu vinakupwaya lakini unajipa matumaini ya kuendelea na Safari ya Uongozi

    Ni ukweli uliokuwa wazi kuwa hata kabla ya yeye kushika wadhifa huo wa juu wa Nchi watu wengi hawakuwahi kuutambua uwezo wake. Uwezo ni jambo ambalo huwezi kuuficha mithili ya Sindano kwenye Koti. Mungu wetu angalikuwa wa ajabu sana kwa uwezo wake mkuu alionao kama angaliumba wanadamu halafu...
  16. SANCTUS ANACLETUS

    JamiiForums Tanzania Inafikirisha sana kuona viatu vinakupwaya lakini unajipa matumaini ya kuendelea na safari ya uongozi kwa Watanzania

    Ni ukweli uliokuwa wazi kuwa hata kabla ya yeye kushika wadhifa huo wa juu wa Nchi watu wengi hawakuwahi kuutambua uwezo wake. Uwezo ni jambo ambalo huwezi kulificha mithili ya Sindano kwenye Koti. Mungu wetu angalikuwa wa ajabu sana kwa uwezo wake mkuu alionao kama angaliumba wanadamu halafu...
  17. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi sana wanajiuza, ila namna ya kufanya biashara ndio imetofautiana

    Kujiuza ni kutoa penzi kwa malipo. Haijalishi unakuitaje, kufanga, kuchuna, gold digging n.k kote ni kujiuza. 1. Jane Mkenya ni mfanyabiashara mkubwa, mwenye pesa ya uhakika. Pamoja na pesa zake zote anatoka kwa kamishina wa mapato ili apate msamaha na upendeleo wa makadirio ya kodi. 2. Asha...
  18. Mtumaini Mungu

    JamiiForums Tanzania Nimefurahi kukutana na Gentamycine

    Tumshukuru Mungu kwa pumzi hii na riziki anazotupatia. Mnamo tarehe 28 September niliweka Uzi hapa JF nikimuulizia na kumtafuta mwanachama maarufu Bw. GENTAMYCINE ambaye happy awali sikuwahi kumfahamu kwa lolote lakini namna alivyoongelewa na wanajukwaa ikanibidi nitie muhuri katika ulimwengu...
  19. pandagichiza

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa NHIF kila wakati tunaambiwa uko chini, Wagonjwa wamekaa kwenye foleni

    Kila tunaambiwa mtandao uko chini tuwe na subira. Wagonjwa wamekaa kwenye foleni tangu saa mbili asubuhi. Haya mambo ya mitandao mngeachana nayo tu naona hamkuwa tayari. Kuanzia mapokezi, kwa daktari, pharmacy ni tabu tupu.
  20. mgt software

    JamiiForums Tanzania Simbachawene umetukosea sana Graduate tunaouza chai na kutembeza viungo mabarabarani, pia tunaokula chakula cha mjomba, hiyo kazi tunaitaka sana

    Polisi, Uhamiaji, Magereza na Zimamoto. Wote ni wizara moja. Sayansi mliyotumia inashangaza. Hivi mnajua kwamba tunao-graduates wanauza chai kwenye vihoteli vidogo? Mnajua kwamba kuna graduates wanaendesha bodaboda? Mnajua kuwa form six leavers wanauza matunda stendi na wengine ni vibarua wa...
Back
Top Bottom