Maisha hubadilika sana imekuwa aibu

Maisha hubadilika sana imekuwa aibu

Unique Flower

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
12,841
Reaction score
25,363
Zamani wadau wa humu wadada wa Dar walikuwa wanatriki zakumtoa mtupesa hadi jiji likaitwa Kaa chonjoo kisa wakina dada walivyowajanjaa nakuweka triks zakuwachukulia wakaka na wababa pesa unakupuliwa hadi unalia.

Unalaani hadi unasahau ila kwa sasa nitofauti wakaka ndio wanahongwa kila kitu tena hadi wao wanakataa.

Hii ni aibu kwa sababu kama mwanaume anapelekwa salon kwa hela ya mdada basi tena ndio maisha ni hataŕi danger.

Jingine kama mwanaume analia kisa hajatolewa outing na mwanamke hii sijui tuiteje . Eti ananuna kisa hajapewa allowance hii nikali unakula kwa hela ya mwanamke huna hata wasi wasi bado unafumaniwa na vichoka mbaya.

Hii hatari danger, sasa nilini mtautambua jinsia zenu msimame kama vijana kamilifu na kuhudumia wanawake zenu?

Seriously unazira kisa hujatolewa out zamani ni wakina dada ndio walikuwa wanafanya triks yakuwachuna wakaka leo wakaka ndio wanafanya tricks kuwa chuna wadada.

Seriously hii inasikitisha . 😎😎🤔😔😔 inasikitisha Ushimen hebu nisaidie
 
Mbona aina hiyo ya wanaume ilikuwepo toka jiji la Dar linaitwa "kaa chonjo", labda ndio umekutana nao kwa mara ya kwanza🐒
 
Si mnaseama karma is a bitch

Sasa hyo ndyo karma yenyewe mlitutenda zaman Sasa inawarudia

Kingine wanawake ndio mnajifanya mnaweza mnataka 50/50 Sasa hapo ndipo mlipobugi


Ila n ujinga mwanaume mzima kuhudumiwa na mwanamnke had unalia na kununa eti hujatolewa out

Wanaume wa daslam badirikeni
 
Kama unakimbizana na umri amini nakuambia hutokuwa unachagua ...unajizolea zolea kila alievaa suruali...mwiaho wa cku ndo unakutana na hao..,.fanya tu uwavumilie maana katba haijaelekeza wauwawe
 
Wazee wa kufuga viduku hao

Hawanaga hela ila mnakubali shoo zao mtafanyeje sasa ,màana wanaume wote responsible huwa bahati mbaya Sana wana Vitambi na hawana muda mwingi wa kutulia nyumbani ,ndio mnaona solution ni hao wazee wa viduku

Mimi nasisitiza mpigwe tu mpaka mchakae
 
Back
Top Bottom