sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania NMB wajanja sana, naona wanamu kandia CRDB kidizaini katika hili tangazo

    Kumbuka crdb huwa inatambulika na rangi ya kijani😁
  2. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Hii ni mara ya kwanza nchi kupata rais anayeishi kwenye mapango na kujificha hakuwa hivi alipo ingia anajua ameuwa watu wengi sana

    Hii ni mara ya kwanza nchi kupata rais anayeishi kwenye mapango na kujificha hakuwa hivi alipo ingia anajua ameuwa watu wengi sana. Ndio maana anatajwa tajwa na kina mwigulu kila siku na bunge kila siku ili kumpumbaza amekataliwa na haibadilishi kitu.
  3. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Kama sio roho mbaya na chuki za watawala, Jamii forum ingekuwa platform kubwa sana kusini mwa afrika

    Yeah, ni chuki tu za watawala wetu na Roho mbaya ,ila Jamii forum ingekuwa ipo mbali zaidi ya hapa . Ila ndio hivyo tuna watu kwenye viti vya mamlaka wana fantasize na ku wish jamiiforum isingekuwepo... Hii platform ingekuwa bidhaa ya watu karibia million 300 kwa nchi zote zinazoonhea...
  4. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Taifa leo linaenda kuaibishwa vibaya sana

    Fisi S.C ndo team pekee kutoka TZ kwenye group lake haina point hata moja. Ni aibu sana kwa Taifa. Na leo inaenda kuchabangwa tena uwanja wa Taifa kama kawa ikigawa furaha kwa wengine. Kwa kweli ni jambo la kusikitisha sana na kuhuzunisha. Mnakuwa na team bovu lisindikizaji tu kwa wenzie...
  5. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Mchezaji gani hapa Tanzania anapewa Heshima kubwa ila uwezo wake ni wa kawaida sana?

    Mchezaji gani hapa Tanzania anapewa Heshima kubwa ila uwezo wake ni wa kawaida sana !
  6. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Haya mambo yanawachanganya sana watu kiroho. Call (Wito) Destiny (hatma ) na fate

    Haya mambo matatu yamekuwa yakiwachanganya sana watu wengi 1 .Call , (Wito 2. Fate 3 . Destiny (Hatima) Baadhi ya watu wamekuwa wakipotosha either kwa kutoelewa haya mambo matatu kwa kujua au kwa kutokujua. Kwa kuelezea haya mambo matatu nitatumia mfano wa Yusufu wa kwenye...
  7. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Ila ngumi za Tanzania zina uhuni sana

    Wameokota muhindi mla mirungi hata mwili unaonekana kabisa eti ndio main fight, kapigwa ngumi moja tu kalala. Kama kweli Tanzania kuna mabondia leteni mabondia kweli sio kamaa huyu wa pambano la leo ni aibu
  8. Keyboard_Warrior

    JamiiForums Tanzania Dunia inaenda kasi sana: AI wameanzisha mtandao wao wa kijamii (MOLTBOOK)

    Mambo yanakuwa mengi sana aisee, leo katika zurura yangu mitandaoni nimekutana na habari ya AI kuanzisha mtandao wa kijamii kwaajili ya AI agents kukutana, yaani humo ndani AI tofauti tofauti zinakutana na kupiga soga tofauti tofauti. Bila kusahau kutujadili binadamu. Eeeeh bwana eeeeh, hivi...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mbwembwe nyingi mitandaoni, lakini makazi ya Baba Mkoani Iringa pa kawaida Sana

    Ni mtu mashuhuri JIJINI Dar es Salaam anayesifika kwa biashara ya nguo na dawa za Binadamu ndizo zilizompa Maarufu na kutamba Mjini Kwamba ana hela, lakini ukweli ni Kwamba nimefika msibani kwa Baba yake hapa Iringa Mjini alikuwa anaishi Maisha ya kawaida Sana. Sasa sijui ndiyo masharti ya...
  10. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania JamiiForums kuna wanawake wazuri sana, nimeshawahi kukutana na Wana JF warembo kuliko malaika, wazuri kuliko hela♥️😍

    It was not a date, just a few minutes meeting. Mara ghafla anatokea msichana , mdada, mzuri hadi naogopa, huyu ni jini au ni malaika? Otea alikuwa ni nani kati ya hawa? Miss Natafuta, Nakubusu , Evelyn Salt Jemima Mrembo, au @mamdenyi? Hapo hujakutana na FaizaFoxy, mtu mwenye maruhani wake...
  11. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Shujaa Lissu achangiwe tena. Waliokwapua fedha zake wamefanya vibaya sana.

    Watanzania mil 7 kila mmoja akitoa bukubuku inatosha kabisa kupata fedha za kumashika mkono Shujaa Lissu ambae yupo gerezani kawa bila makosa
  12. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ukimya wa Feminists (wafeminia) juu ya ukatili wa Samia unafikirisha sana

    NB: Hapa Maria Sarungi na Mange Kimambi hawahusiki wao ni Wanaharakai Kwa miaka mingi tumekuwa tukipigiwa kelele nyingi za Feminism, wakitaka usawa katika fursa za kisiasa, kiuchumi na kijamii. Mbaya zaidi huko mitandandaoni tulikuwa hatupumui tena walikuwa hadi na majukwaa na mikutano ya...
  13. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Wadau Kesho naenda Vatican City kumpelekea malalamiko Papa. Kitendo alichofanya Padre kimenikwaza sana

    Padre ananiambia niache uzinzi, anahubiri anasema mimi ni mdhambi sababu nawatolesha Mimba mademu ambao nawagegeda kisha wakipata mimba solution ni moja. Toa. Haya mambo ni kupangiwa na mabeberu wananionea wivu sababu mimi ni kidume cha mbegu. Wanataka waafrika tuwe wachache wao wawe wengi...
  14. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Machawa wa Samia wamekuwa kimya sana, kulikoni?

    Machawa wa mama wamekumbwa na nini? Mbona hawafanyi tena ile misifa yao mtandaoni? Ukimya huu unamaanisha nini?
  15. FORBIDDEN HISTORY

    JamiiForums Tanzania Niliwahi tumia chumvi kuzungushia katika kila angle ya kitanda, usiku nilihangaika sana kulala, ndoto mbaya na taflani kubwa ambayo sijawahi ona

    Sina cha kufaidika kuwadanganya katika hili ila ndio hali ilionipata usiku huo. Wala sikulala na taharuki na wlaa sikulala katika mawazo ya kitanda changu kuwa chumvi ila nilipitia hali ngumu aisee Ningependa kupata elimu nzuri kuhusu chumvi hii ya mawe, ili tusaidiane namna nzuri ya kuitumia
  16. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Kusema ukweli nchi ya Rwanda ni nzuri sana

    Nimekuwa nafuatilia video za nchi ya Rwanda, hata za huko vijijini. Kwa kweli hii ni nchi nzuri sana. Baada ya miaka kumi ikiendelea hivi itakuwa muonekano wa nchi za Ulaya hata kuzidi. Kila kitu unaona kimepangwa na wapangaji wanaojali watu wao. Mambo yote yanaonyesha kuwa kuna order...
  17. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Kenya inachezewa kamchezo kadogo sana na Tanzania, Viongozi wanajua wananchi hawaelewi

    Katika diplomasia ya kiuchumi, thamani ya fedha ni kama sumaku. Inaposhuka, inavuta wateja na watalii kuja ndani ya nchi, na inapopanda sana, inawafukuza na kuwapeleka kwa majirani. Kwa kutumia mfano wa Tanzania na Kenya, hivi ndivyo mantiki hii inavyofanya kazi katika biashara na utalii: Katika...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Imekuwa ni nadra sana kukuta waislam katika makabila haya

    1. Wachaga - kumkuta mchaga muislam labda kwa mbali sana awe wa machame 2. Masai 3. Wakinga 4. Wangoni 5. Wajita 6. Wagogo Wanyakyusa hapo zamani na wao ilikuwa ni nadra sana lakini sikuhizi imeanza kuwa kawaida utawakuta Mashehe kina Mwaipopo, wachezaji kina Azizi Andambwile, makocha kina Juma...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Anne Kilango: Watanzania tujue Rais Samia anaongoza Taifa kubwa sana Afrika Mashariki

    Mbunge wa Jimbo la Same Mashariki kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Anne Kilango, akichangia mjadala wa hotuba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewataka Watanzania kufahamu kuwa Rais anaongoza taifa kubwa na lenye idadi kubwa ya watu Afrika Mashariki.
  20. Trainee

    JamiiForums Tanzania Mifuko ya plastiki (Rambo) inarudi Kwa Kasi sana; hii Ina maana Gani?

    Baada ya kuzuiwa zile rambo watu wakaanza kuleta vimifuko vidogo vyeupe vya plastic tukahoji sana uhalali wake lakini sikuona ufuatiliaji Hali ikaenda mara tukazoea vifuko hivyo lakini kukawa na mifuko mingine ikaitwa ya magufuli na hapa kati kukashamiri mifuko mingine mingine tuliyozoeaga...
Back
Top Bottom