sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Kesho Mungu saidia niamke asubuhi sana

    Nataka nikatafute suluhu hivi kwanin nakua na tamaa za kijinga sana bora nikajiloge niwe zuuzzuuu nisiwe nataman mbuny
  2. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Ukitegemea sana internet utafeli

    Marafiki TINDER/FB/INSTA/TIKTOK USAFIRI ONLINE CHAKULA ONLINE NGUO ONLINE KILA SWALI GOOGLE andika naumivu
  3. The only

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Heche umejua kumchezesha bolingo Chawa Mbowe na CCM

    Asee Heche ni mwamba . Baada ya msiba huu mzito ni wazi Ccm wakishirikiana na watu wao Hususan Mbowe na zitto kuwatumia kuhakikisha msiba hauwapi Milage Chadema kwa mbinu mbali mbali .naomba mtililiko ya yaliyojiri - Kipenga kilipigwa kwa mbowe kutumia umkwe kuwa msemaji wa familia ,sisi...
  4. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Maisha yanaenda kasi sana, leo hii mabinti wanafundishwa cat walk plus malingo na kijana wa kiume

  5. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kiufupi ni kuwa watu kama IPM na kapola wame master sanaa ya kufanya zogo na watu wanaopitia msongo kutokana msoto wa maisha na inawalipa sana aisee.

    Waliona namna watu walivyokuwa confused toka utotoni na mambo ya kufikirika na pia wakaangalia ni namna gani mtu mwenye msongo na confusion anapenda maneno ya faraja Waka combine hivo vyote lakini ili kuongeza kuaminiwa zaidi inabidi wajipatie title, sasa ndo maana kila mmoja wao either ajiite...
  6. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Ukiachana na madhaifu yake yote ila Ndugu Jakaya Kikwete alikuwa rais wa tofauti sana na je logic ya kuondoa bendera ya Chadema kwa Mtei ni ipi?

    Hii ilikuwa kwenye msiba wa Bob Makan ambae na yeye alikuwa mmoja wa Waasisi wa Chadema na yeye alikuwa Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania. Jeneza la Bob Makani lilifunikwa bendera ya Chama mwanzo, mwisho. Hata Kikwete akiwa Rais alitoa heshima za mwisho jeneza likiwa limefunikwa bendera ya...
  7. britanicca

    JamiiForums Tanzania Nyerere alikuwa Dikteta makini sana, waliofuata ni washamba labda kwa mbaaali Mkapa

    Jumapili ni tulivu! Pamoja na kwamba Tuna PM wa mchongo, na wakati huo Namba moja na Namba mbili hawapatani wanaogopa kutiliana sumu tuangalie hapa chini Haina ubishi wote mliokuwapo wakati wa Nyerere alikuwa dictator Lakin mwenye akili natoa mifano michache tu 1. Mzee mtei aliachana naye kwa...
  8. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kwa wenye kumbukumbu yule jamaa anapendaga sana kupiga ama kudaka watu Jumamosi/Jumapili

    Mwamba wa dunia naambiwa yuko middleeast hukooo kumbukumbu zangu jamaa anapenda sana kudaka ama.kupiga wenzie Ijumaa Jmosi Jpili Ijumaa imepita jmosi ndio hii Yetu machoooo
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wasaidizi kufungua biashara ndani ya biashara kunaua biashara nyingi sana, kijana anadai mshahara kila mwezi kumbe anakuibia mamilioni

    Siku hizi baadhi ya wasaidizi hawaji kazini kutafuta mshahara, wanakuja kujifunza mfumo then wanafungua biashara yao ndani ya biashara yako. Unafungua baa kubwa, unaajiri manager unamlipa vizuri kabisa. Kumbe na yeye ana stock zake pembeni. Wateja wakija wanauziwa vinywaji vyake, stock yako...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Watu wa Dar mna kazi sana mtafika mmechoka

    Hapo ni nyie ndo mnapajua yani ni heka heka kila siku 😂 hiyo yote kuwavuta kwenye chambo, Kuna mwingine ana mafuta ya nazi yani ni balaa😂 jua kwenu ni Kali sana
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kuna mstari mwembamba sana kati ya Serikali na Chama tawala, hiyo inachangia changamoto nyingi za Kidemokrasia Tanzania

    Katika mifumo ya kidemokrasia Duniani, moja ya nguzo kuu za uchaguzi huru na wa haki ni kutenganishwa kwa Serikali kama taasisi ya umma na vyama vya siasa kama washindani wa uchaguzi. Hata hivyo, katika baadhi ya nchi zinazoendesha mfumo wa vyama vingi baada ya historia ndefu ya chama kimoja...
  12. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Wadada wa JF, tumewamiss, rudini jukwaani, mmepotea sana

    Huu ukimya hadi una unakera na kutupa wasi wasi
  13. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Huwa najiuliza kwa nini visa vingi vya aliens tunavipata kwa nchi za wazungu sana ila huku africa recently sijawahi kuona watu wanasema wameona UFOs.

  14. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Michango ya members wa JF kuhusu ndoa huifanya ndoa ionekane ni taasisi ngumu sana

    My people, Wachangiaji wa JF Wanaifanya Ndoa Ionekane Ngumu Kuliko Uhalisia Wake Katika miaka ya karibuni, mitandao ya kijamii imekuwa kama kioo cha maisha ya watu, lakini mara nyingi kioo hicho hakioneshi picha halisi bali taswira iliyopambwa au iliyotiwa chumvi. Moja ya maeneo yaliyoathiriwa...
  15. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Tungekuwa na oil reserve kubwa Samia angeshanyakuliwa mapema sana na US kwa Ukatili.

    GT Angalia hii list..haki tungekuwa na oil reserve kubwa Samia ageshanyakuliwa mapema sana na US kwa mauaji yale makubwa. Pote penye oil reserve kubwa US kapiga hacheki na kima
  16. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Putin huwa anawakaribisha vizuri sana wajumbe wa Trump kuliko wa Ulaya

    The United States has been holding parallel discussions with Moscow, Kyiv and European leaders, reviewing multiple draft frameworks aimed at ending the war. Despite repeated assurances from Trump that an agreement was within reach, a final dea
  17. Website Tanzania

    JamiiForums Tanzania SOFTWARE Nauza Mfumo wa Kusimamia stock, mauzo, manunuzi na kutunza ripoti zote za kifedha kwa bei nafuu sana

    Habari wanaJF, Hebu niulize swali la msingi kwa wamiiki wa biashara👇 Ukiwa nyumbani, safarini au nje ya nchi—unaweza kuona hali halisi ya biashara yako sasa hivi? Kama jibu ni hapana, basi biashara yako inaendeshwa kwa bahati, sio kwa taarifa. Kuna ukweli mchungu ambao wafanyabiashara wengi...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini mkoa unaoongoza kwa watu wenye miili mikubwa upo nyuma sana kwenye maendeleo

    Mkoa ulikuwa na Airport ikafa Mkoa ulikuwa na Bandari haipo tena Mkoa ulikuwa na shule nzuri lakini zimebaki stori Mkoa ulikuwa na Viwanda vingi vya nguo, samaki, n.k. vimekufa Ni mkoa ambao hauna hata stendi Mkoa hauna chuo, tunasikiaga tu kipo kinachojengwa miaka mingi sasa Lawama hawawezi...
  19. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Ni sehemu gani watu wanapasifia sana ila ulivyofika ukaona ni pa kawaida tu

    Ni sehemu gani watu wanapasifia sana ila ulivyofika ukaona ni pa kawaida tu
  20. M

    JamiiForums Tanzania Aida Kenani: CHADEMA inaonewa sana, kama haumuitaki ifuteni tu

    Aliyekuwa Mbunge wa Nkasi Kaskazini kupitia CHADEMA, Aida Kenan asema kama vya vyama vya upinzani havitakiwi nchini ni bora kuvifuta vyote ili watu wasiendelee kuuawa na kuumizwa na kibaki chama tawala tu.
Back
Top Bottom