😀😀😀 kwani aliambiwa jiuzulu?
Wewe na nani!?Nani anamtaka ajiuzulu ? Mbona sisi wana CCM tunampenda ?
Kivip!? Wakati anatoka yeye.Nchimbi kaja kwa gia ya kumtoa mama madarakani then... CCM iendelee
Huyu kikatiba anaingia madarakani kwa kura za wananzengo, inakuweje wanataka kumtoa kimizengwe?
Hili gazeti likivuka wiki hii sijui
Na akijiuzulu!?Hili gazeti likivuka wiki hii sijui
Kila kitu kinawezekana chini ya SamiaHuyu kikatiba anaingia madarakani kwa kura za wananzengo, inakuweje wanataka kumtoa kimizengwe?