sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini Malipo ya kazi ya anuani za makazi Ilala yawe ni kidogo sana?

    Habarini, Niende moja kwa moja kwenye mada. Kiukweli nimefurahishwa na huu mpango wa anuani ya makazi na postikodi ambao kwa namna moja au nyingine litawezesha vijana kupata ajira hizo za muda mfupi. Kilichonisukuma kuandika ni kuona vijana watakaofanikiwa kupata kazi hizo kulipwa ujira...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia umenifurahisha sana kwa maamuzi makubwa uliyofanya kwa maslahi mapana ya Taifa

    1.Mhe Rais naomba kuchukua Nafasi hii binafsi kukushukuru Kwa maamuzi makubwa uliyofanya Kwa maslahi mapana ya Taifa. Mimi ni mwana Chadema na siku zote msimamo wangu utabaki kuungana na wanaotenda haki na wanaostawisha Taifa na Dunia. 2. Mhe. Rais nina watoto na wajukuu, naamini wewe pia una...
  3. Mario Kempes

    JamiiForums Tanzania Simba watambulisha jezi zao mpya kwa ajili ya Mapinduzi na Kombe la Shirikisho

    Uzi mpya huu hapa, big yes or big no?
  4. T

    JamiiForums Tanzania UDART acheni kubweteka! Mnatoa huduma za usafiri kwa kuringa sana. Serikali iruhusu makampuni binafsi waingize mabasi ili kuchochea ushindani

    Kampuni ya usafirishaji katika jiji la Dar-es-Salaam (UDART) maarufu kama mwendokasi inatakiwa ijitathmini utendaji wake mara moja kwani huduma ya usafiri wa mabasi haya ni kero kwa wananchi. Madereva wakifika katika vituo vyao vikubwa (terminal) badala ya kupakia abiria waliojazana kwenye...
  5. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Tupia picha kali utakayopiga na simu yako tujue aina gani ya simu ina kamera matata sana

    Habarini wadau. Baada ya kuweka uzi wa maoni yangu juu ya kamera ya simu ya Iphone 13 Pro maarufu kama macho matatu, Wadau wengi ambao hawatumii Iphone wala Samsung waliona kama wametengwa, Pamoja na kuandamwa sana wenye Iphone japo 13pro nao walitoa povu hadi na matusi juu...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kuna mdada ni mzuri sana, ila najishangaa sana kwanini sivutiwi nae kimapenzi

    Kuna mdada hapa mtaani kwetu, mimi namuona ana sura nzuri, Ana ngozi nzuri, mweupe, ana chura, halafu umri wake mdogo, tena hajaolewa, mpole, hana nyodo wala maringo, alikuwa anauza mgahawa wa mama yake, nilikuwa nikienda pale mara nyingi tu kunywa chai, namwona binti ni mzuri lakini hata...
  7. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Hivi vimbwa vina kazi gani? Naona vinapendwa sana na wadada wa mjini

    Ndo hivi vya sampuli hii...
  8. Da Gladiator

    JamiiForums Tanzania J R Bocco, Tusamehe sisi, Tusamehe sisi, Tusamehe sana

    Salaam wanamichezo, Ni zaidi ya mechi kumi sasa 'captain fantastic' John Rafael BOCCO amedorora na mpaka kuonesha kiwango kama alichokionesha leo🤝, Nampongeza sana na kwa niaba ya WanaMsimbazi napenda kumpa moyo na afanye zaidi ya alivyofanya Leo. Napenda pia kuwaambia mashabiki wa SimbA SC ya...
  9. Ghazwat

    JamiiForums Tanzania Simba 3-1 ASEC Mimosas | CAF Confederation Cup | Uwanja wa Mkapa

    Klabu ya Simba leo Jumapili February 13 inashuka kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kucheza na ASEC Mimosas kutoka Ivory coast, kwenye mchezo wa kwanza hatua ya makundi Kombe la Kombe la Shirikisho Barani Afrika CAFCC. Hautakuwa mchezo mwepesi, bali utakuwa mgumu na wa kusisimua hasa ukizingatia...
  10. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Nchi inakumbwa na hofu kubwa ya njaa na kupanda sana kwa bei za vyakula. Rais aandae wananchi kukabiliana na hali hii na ashugulikie kwa udharura

    Hali ni mbaya. Kuna maeneo watu wamechanganyikiwa hawajui walime nini. Naona Serikali na viongozi wako bize na uchaguzi 2025. Natamani Serikali itoke adharani kufanya Mambo yafuatayo: 1. Kuhamasisha ulimaji wa mazao ya muda mfupi na yanayostaimili ukame kama mtama, mahindi na maharage. 2...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Simba Sports Club na Jambo Lao La Kitaifa, Jambo la Nchi. DUA yako ni Muhimu sana

    Simba Sports Club Wawakilishi Pekee Katika Michuano ya Kimataifa Jioni Ya Leo Wapo Kazini Kutetea Bendera Ya Taifa...Bendera Ya Nchi ya Tanzania.Kama ilivyo desturi kwa Watanzania inapotokea Jambo La Nchi ..Utani unawekwa Pembeni. Nduli Iddi Amini alisambaratishwa Kwa Kuwa lilikuwa Jambo la...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Usichukulie poa, nyumba ni choo

    UPDATES: ===== Moderator: Hii thread Imefungwa kwa sababu Sheria za Tanzania na Kanuni Mpya za Maudhui 2020, haziruhusu Mijadala kama hii. Asante Hii thread ni vyura kwenda mbele tu wazee kina Behaviourist, Mrangi na TIASSA tukutane hapa. Tujitahidini iwe clean no nudity!
  13. nyeupe7

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu kuhusu Research

    1. Components of research design 2. Analysis of research is done in stages. Explain
  14. B

    JamiiForums Tanzania Miradi mikubwa inayojengwa kasi imepungua sana, huko mbeleni tutaambiwa gharama zimeongezeka mara dufu

    Mradi wa Mwalimu Nyerere wa umeme, Barabara za mwendokasi, Mradi wa umeme Rusumo na daraja la Busisi speed yake imepungua Sana. Lakini pia usimamizi wa Wizara na idara za serikali si wakuridhisha. Mradi unavyochukua muda mrefu ndivyo gharama uongezeka. Niwaombe JMT tukimbizane imalizike Kwa...
  15. babukijana

    JamiiForums Tanzania Wanawake wana siri nyingi sana

    Tuingie front Mwaka kenda nilikutana na binti flani maarufu tu bongo movie. Kaumbika km malaika,binti wa kimarangu yule nadhani Mungu siku hiyo anamuumba alikua kaamka asubuhi kabisa hajachoka. Nilimkuta mahali kajikalia analia,nikapita narudi analia nikaona isiwe tabu nikawakumbuka mababu...
  16. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Nini kinafanya kodi kuwa kubwa sana kwenye frem za Kariakoo?

    eti, kodi mpaka one mil per month? na faida mnapata kabisa. Hebu tupeni siri za mafanikio! Je net profit kwa siku inaweza fika laki 1 kwa mtu anaelipa kodi kubwa hivyo? maana sijawahi kusikia malalamiko ya hizo kodi kuwa kubwa
  17. Mnyuke Jr

    JamiiForums Tanzania Samsung S9 inahitajika haraka sana

    Offer yangu ni 280,000/= Chapu kwa haraka njoo tufanye biashara
  18. K

    JamiiForums Tanzania Nawamisi sana Twanga Pepeta, wako wapi?

    Daah! Mzee wa farasi Ali Choki. Amigolas: "Ni kosa gani Emii nililokusea Mimi , Emii... " Wazee wa Bandari meli hiyooo!!" Wazee wa Mivinjeni!! Wapiga mvinyo!! Enzi hizo TCC Club. Eee bana ee! Watu walijua maana ya starehe!
  19. N

    JamiiForums Tanzania Wakili Kibatala anajua sana alifanyalo. Ni lazima akuchanganye tu

    Huyu bwana stahili yake ni kukuhoji kwa muda mrefu sana. Yaani kielelezo kimoja kinaweza kwake kikawa na maswali Zaidi ya 25. Ana utaratibu wa kuhoji mpaka kufikia muda wa kuhairisha ili siku inayofuata aje na nguvu mpya na mawazo mapya. Amekuwa sana na utaratibu huo ambao kwa kweli umekuwa...
  20. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Vodacom hiki mnachokifanya kwa wateja wenu ni uhuni wa hali ya juu sana. Jirekebisheni haraka iwezekanavyo

    Kwa wiki nzima Sasa Voda wamekuwa wakinifanyia Huu uhuni. Sina Deni songesha Wala nipige tafu. Nimeweka Bando la sh elfu 2 Na Mia tano ili nijiunge Na kifurushi cha internet cha siku. By the time namaliza kujiunga naambiwa salio halitoshi. Natazama salio nakuta lipon2400 au 2300 ikiwa Na...
Back
Top Bottom