sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Akili za Viongozi wangu wa Yanga ni za Kiutopolo sana. Yaani mnashangaza, ina maana wote shule hamna?

    Kwa nini tunapambana sana kumfanya Rais aipende Yanga? Tunajipendekeza kwa kiasi kikubwa mpaka wote tunadharaulika sana. Tunaonekana wote ni akina Manara. Toka Manara amekuja yanga tunaona jinsi ambavyo anashawishi mambo yake yaende mbele. Hili wazo amekuwa akilitoa kila mara akijiwekea...
  2. JamiiForums Tanzania Nimesikitika sana kuona mke wa mtu akichukuliwa mbele ya macho yangu

    - Kwa ufupi vijana wa sasa mna tabu sana maisha yenu ya sasa yamejaa anasa kwelikweli. - Nawaonea huruma sana maana mnazungukwa sana huko maofisini. - Ngoja nipambane na maisha yangu hawa vijana niwaachie maisha yao. - Hakika kikulacho kiko nguoni mwako.
  3. JamiiForums Tanzania Mshindo Msola ni kiongozi mwenye weledi sana, anafaa Urais TFF

    Habari wanabodi Pasi na shaka, wapenda kabumbu wengi wanamfahamu au wamewahi kulisikia hili jina Dr Msindo Msolla na kwa mashabiki wa klabu ya Yanga au Simba wana mjua kama Mwenyekiti wa Club ya Yanga. Pia naamini kuna wengi sana hawamjui kiongozi wa juu kabisa wa Club ya Yanga kuwa ni Dr...
  4. JamiiForums Tanzania Madhara ya kusoma sana vitabu

    Angalia sana haya mambo. Utajifunza mengi juu ya Ulimwengu na uulize ukweli wake. Ukijua hakuna ukweli. Utakuwa muongeaji sana kwenye karamu maandishi na hulali. Mpenzi wako ataondoka kitandani kwa sababu mazungumzo ya wapenzi yamekuwa jukwaa la mjadala wa kifalsafa. Yaani unakera. Utakuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Nani huwa nyuzi zake zinakuvutia sana?

    Habari zenu Wana JF wenzangu! Kwa kujiunga ni new member lakini nimekuwa nikisoma nyuzi mbalimbali za mahusiano forum Toka 2014 Bila kulog in, nikafanya maamuzi nijiunge maana nimekuwa napata mengi sana kupitia jukwaa hili. Kuna members mpaka majina yao yapo kichwani kwa nyuzi nzuri na...
  6. JamiiForums Tanzania Unajua alipo huyu Sylvia Bahame?

    Nampenda sana Bahame. Nime mfollow sana maeneo mengi. Ana mwanae nahisi ama anasoma Kusini au wanaishi wote somewhere in the South. Dunia ina balance pale kila mmoja akabalansisha mambo...langu mie I love you Sylvia Bahame.
  7. JamiiForums Tanzania Chato: Yaliyojiri katika Maadhimisho ya mwaka 1 wa kifo cha Hayati Magufuli. Kasala, tusimamie ukweli na haki. Samia kuendeleza Mema

    Leo ni Maadhimisho ya Mwaka mmoja tangu Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli atukote. Maadhimisho hayo yanafanyika mkoani Geita katika wilaya ya Chato. Maadhimisho hayo yatahudhuriwa na Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mh. Samia suluhu, Makamu wa Rais Dkt. Isdori Mpango...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Safi Sana: Marekani na ujanja wake kaingizwa mkenge na Venezuela kuhusu kuuziwa mafuta

    Iko hivi, Marekani kwa kutaka kuikomoa Urusi wakapata mawazo ya kugomea kununua mafuta Yao. Lakini kabla hawajafikia muafaka wa kugomea mafuta ya Urusi wakaona watafuta chanzo mbadala Cha mafuta. Hapo ndio wakapata wazo la kuiomba Venezuela kwa Raid Maduro waweze kuànza téna kuchukia mafuta huko...
  9. JamiiForums Tanzania Umeme wa REA kiukweli umeleta changamoto sana kwa baadhi ya waombaji wapya wa Umeme

    Pamoja na serikal ilifanya vizuri kuja na mradi wa kuleta umeme katika maeneo ya mbali na mijin Kwa maoni yangu naona bado katika baadhi ya utekelezaj wa mradi hii watekelezaji walivurunda sanaa hasa katika swala la kuzingatia uwekaji nguzo katika mipaka baina ya kiwanja kimoja na kingine...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni wanajamiiforum wenzangu nipate kibarua chochote, hali yangu ni ngumu sana mpaka nimekata tamaa ya kuishi

    Proffessionally mimi ni mwalimu, masomo ninayofundisha ni Kiswahili na Historia. Nilibahatika kuajiriwa serikalini mwaka 2013. Kutokana na matatizo ya kifamilia nilikazimika kuacha kazi 2019, matatizo yamekuwa yakiniandama bila suluhisho na nimejaribu kutafuta ajira sehemu mbali mbali bila...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Azam TV Max app na matatizo ya channeli ya UTV siku za mechi za simba CAF

    Wakuu mimi ni mtumiaji mzuri wa azam tv max app kwenye simu yangu, kuna hii ya UTV chaneli kila ukifika muda wa mechi za simba unakuta imeondolewa HAIPO KABISA au ukiikuta na ukaifungua kwa ajili ya kungalia zako mpira unaambiwa CHANNEL IS NOT AVAILABLE IN YOUR AREA. Ajabu ni kwamba baada ya...
  12. JamiiForums Tanzania Baada ya kiwanda kuwaka moto GSM wasema “Tumepata hasara kubwa sana, hakuna kilichosalia"

    Muda mfupi baada ya moto kuwaka katika Kiwanda cha GSM Industrial kilichopo Mwenge jijini Dar es Salaam, mmoja wa viongozi wa kiwanda hicho, Salaah Mohamedi amesema wamepata hasara kubwa kutokana na moto huo uliowaka leo Jumapili Machi 13, 2022. "Chanzo hatujui hadi sasa, nilipigiwa simu saa 12...
  13. JamiiForums Tanzania Putin awafuta kazi majenerali nane na pia agombana sana na taasisi ya ujasusi ya FSB

    Haya maamuzi ameyafanya baada ya aibu ambayo imemkuta Ukraine, hakutegemea hivi kabisa, FSB walimshauri vibaya kwamba ataingia na kuchakaza kwa siku chache na kumaliza mchezo, leo mambo yameshindikana, amepoteza wanajeshi, vifaru, mindege na zana zingine nyingi tu na bado Kiev inazdi kumtunishia...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mafuta mengi sana yagunduliwa Lamu

    Wajuba... mapipa bilioni 4.8 sio mchezo ======= Kenya is just weeks away from announcing the discovery of new oil resources in the Lamu basin, bigger than what was found a decade ago in Turkana, in what could be a turning point for the country’s dreams of reaping petrodollars. Italian oil...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Natabiri Rais wa taifa kubwa huko Ulaya atapumzishwa jambo la kutisha sana

    Nadhani zama Hizi Mungu hadhiakiwi na ameamua kushuka nakutoa hukumu ili dunia ijifunze nakukumbuka Yeye yupo na hakuna mwanadam au kiongozi Yeyote ana kuwa na haki kutoa roho ya mwenzake kwa wivu na uchu wa madaraka. Siku sio nyingi Mungu anaenda kuonyesha jambo lakutisha sana jambo litaifanya...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Tanzania safari Chaneli boresheni habari zenu; Mnaonesha utumbo mwingi sana kuliko ubunifu

    Ukizungumzia umhimu wa Documentary chaneli katika utalii Tanzania! Huwezi Kuacha kuizungumzia TANZANIA SAFARI CHANELI Chaneli hii imekuja kuonesha mageuzi makubwa sana katika sekta ya utalii Tanzania! Lakini pamoja na mazuri ya chaneli hii IPO shida kubwa sana katika namna wanavyowasilisha...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Chonde chonde Rais Samia, Kipengele cha Dini kwenye sensa ni muhimu sana kwa sababu hii

    Rais wetu usifungwe kwa miiko, watu wengi ikiwemo wewe wameleta mabadiliko chanya kwenye jamii kwa kuvunja miiko, tuangalie faida na hasara zake sio kwa kuwa halikuwahi kufanyika Hili suala haina haja ya kulichukulia kwa shari na kutokuaminiana, tujadili kwa utulivu na kwa reason Dini imekuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Ni ngumu sana kwa mtu smart kufanya haya...

    1. Kuangalia zile movies zinazoelezewa kwa kiswahili. Ukikuta mtu mwenye Elimu anafanya hivi jua ndo vile vyeti ....vileeeee. .. 2. Kuangalia tamthiliya za azam zinazungumzwa kiswahili wakati zilikuwa na lugha yake ya asili 3. Kuangalia vichekesho vya kipuuzi vya akina majuto,mkonjani n.k...
  19. S

    JamiiForums Tanzania 'Majeshi ya Russia yalikuwa na upole sana kwa Ukraine' Anasema afisa mstaafu wa jeshi la Marekani, ambaye pia amfananisha Zelensky na 'Mdoli'

    Afisa mstaafu wa jeshi la Marekani Colonel Macgregor ambaye pia amewahikuwa mshauri ktk Department ya Ulinzi ya Marekani amesema kuwa Zelensky kupambana na majeshi ya Russia ni 'upuuzi' na kuwa Zelensky si shujaa. Zaidi ya hapo akasema, Russia walikuwa wapole sana ktk ingwe ya kwanza ya uvamizi...
  20. JamiiForums Tanzania La Candidate Tamthilia Bomba Sana Inayoonyeshwa na Azam One TV

    Ni Tamdhilia ya Mexico, inamagwiji wenyekujua uhusika wao kwa kiwango cha juu. Siasa, Misukosuko ya familia, Mahisiano hapa ndipo mahali pake. Gavana Alonso, Seneta Martnez, Mzee wa Mujini Romario, Tajiri Escalante, Seneta Regina Mke wa Gavana Alonso, Igancio,Xmina na Emiliano hawa waifanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…