Kama una miaka 40+ na hauna maambukizi ya HIV/AIDS mshukuru Mungu marijali tumepitia kipindi kigumu sana

Mdukuzii

JF-Expert Member
Jun 27, 2022
2,555
6,381
Kwa nini miaka 40+? Kwa sababu kwa umri huo hata ukiupata ukipiga dawa unaweza kutoboa miaka 60 ambao ni life expectancy ya mtanzania.

Tumepitia kipindi kigumu sana,

nakumbuka nikiwa O level dispensary ya shule sindano zinachemshwa kama Mayai, hakukuwa na disposable syringe, nesi akipitiwa mtashare hiyo sindano..
Kumbuka filamu za ukimwi za kutishana kama Neira ya Oliver Mtukudzi ukiangalia hata demu akikupa bure muda huo unakataa.
. Kumbuka wapendwa wetu waliokufa mifupa mitupu na nywele kunyonyoka kichwani.

Kumbuka vitoto vichanga vilivyokufa baada ya kuzaliwa na ukimwi.
ARV zimefanya watu hatuogopi, tunapelekeana moto kibabe na uzuri ni kwamba wanaotumia dose vizuri, virusi vinafubaa, hawawezi kuambukiza kirahisi.

Zamani hufungishwi ndoa msikitini wala kanisani bila cheti cha majibu ya ukimwi.

Tumeteseka sana.
 
Kwa nini miaka 40+??kwa sababu kwa umri huo hata ukiupata ukipiga dawa unaweza kutoboa miaka 60 ambao ni life expectancy ya mtanzania.
Tumepitia kipindi kigumu sana,nakumbuka nikiwa O level dispensary ya shule sindano zinachemshwa kama Mayai ,hakukuwa na disposable syringe,nesi akipitiwa mtashare hiyo sindano.
Kumbuka filamu za ukimwi za kutishana kama Neira ya Oliver Mtukudzi ukiangalia hata demu akikupa bure muda huo unakataa.
Kumbuka wapendwa wetu waliokufa mifupa mitupu na nywele kunyonyoka kichwani.
Kumbuka vitoto vichanga vilivyokufa baada ya kuzaliwa na ukimwi.
ARV zimefanya watu hatuogopi,tunapelekeana moto kibabe na uzuri ni kwamba wanaotumia dose vizuri,virusi vinafubaa,hawawezi kuambukiza kirahisi.
Zamani hufungishwi ndoa msikitini wala kanisani bila cheti cha majibu ya ukimwi.
Tumeteseka sana.
Kweli kabisa mwanaume ukishafika miaka 40 achana kabisa na mambo ya kula mbususu na condom. Maana hata ukiupata bado unaweza kufika miaka 60 bila wasiwasi.
 
Kwa nini miaka 40+??kwa sababu kwa umri huo hata ukiupata ukipiga dawa unaweza kutoboa miaka 60 ambao ni life expectancy ya mtanzania.
Tumepitia kipindi kigumu sana,nakumbuka nikiwa O level dispensary ya shule sindano zinachemshwa kama Mayai ,hakukuwa na disposable syringe,nesi akipitiwa mtashare hiyo sindano.
Kumbuka filamu za ukimwi za kutishana kama Neira ya Oliver Mtukudzi ukiangalia hata demu akikupa bure muda huo unakataa.
Kumbuka wapendwa wetu waliokufa mifupa mitupu na nywele kunyonyoka kichwani.
Kumbuka vitoto vichanga vilivyokufa baada ya kuzaliwa na ukimwi.
ARV zimefanya watu hatuogopi,tunapelekeana moto kibabe na uzuri ni kwamba wanaotumia dose vizuri,virusi vinafubaa,hawawezi kuambukiza kirahisi.
Zamani hufungishwi ndoa msikitini wala kanisani bila cheti cha majibu ya ukimwi.
Tumeteseka sana.
Na Uingereza wamegundua sindano ya ARV ambayo unachomwa mara moja tu kwa miezi miwili badala ya vidonge kila siku, hivi kwa mwaka ni mara sita tu

Kizazi hiki kazi tunayo, umakini mkubwa sana unahitajika.

Screenshot_20220724-134038_1.jpg
 
Na uingeleza wamegundua sindano ya ARV ambayo unachomwa mara moja tu kwa miezi miwili badala ya vidonge kila siku,hivi kwa mwaka ni mara sita tu

Kizazi hiki kazi tunayo,,umakini mkubwa sana unahitajika View attachment 2302260
Hii ni habari njema sana, dose ya amoeba siku tano tu nilikiona cha moto sasa kubugia hizo ARV daily ni changamoto kubwa.
 
Kwa hiyo Mdukuzii una miaka 40+ ?😅

Kweli JF ina siri kubwa kipengele cha umri
Ahaaa kuna uzi wangu humu utafute kwa miaka 20 nimestack sijanenepa wala kuzeeka wala kuongezeka hata kilo moja, i look like 25, nachakata vibinti vya chuo kama nini na havinipi shikamoo, kuna mmoja nimesoma na mama yake, hajawahi kuniamkia ananiambia mambo, tunachakatana na tunaongozana njiani bila shida. Niligombea uzee wa kanisa wakaninyima kisa naonekana kijana nikaamua kuacha kusali.
 
Ni kweli kiongozi sisi Malegendari tumekwepa mishare mingi...

Nakumbuka miaka hiyo ukipiga bea wiki nzima una mawazo..
Wiki ndogo, kuna pisi moja niliona kuipiga na ndomu ni matumizi mabaya ya rasilimali nikateleza, kijiweni nikasikia wanasema kaungua, nikaiomba tukapime ikagoma, miezi mitatu sina raha, kilo zikapungua, kuja kupima niko fresh.nilikomsa
 
Back
Top Bottom