Tangu mshahara wa mwezi July -2022 utoke pamekuwepo na jitihada na nguvu kubwa sana inatumika mitandaoni kuwaponda na kuwakejeli watumishi wa umma hasa walimu na manesi.Wengine wamekuwa wakienda mbali zaidi wakiwaita walimu hawana hakili hii si sawa na nikuwakosea heshima walimu wetu kwani Mimi na wewe tumefundishwa na walimu.
Kuhusu nyongeza ya mishahara kw 23,3% twende taratibu ndugu zangu, naomba niwakumbushe kuwa mishahara imekuwa ikipanda tangu Marais waliopita hasa enzi za Mzee wetu Kikwete lakini haya mambo hayakuwepo kwa kiasi hiki kwa nini?
Mzee Kikwete alikuwa akitamka ameongeza kwa asilimia 14% watumishi wanapata nyongeza hiyo karibu wote au asilimia walizokuwa wanaongeza walao zilikuwa zinashuka taratibu sana.
Kuna watu humu mitandaoni wamejipa usemaji wa serikali na wanapotosha kwa makusudi ile barua at Rais alisema nyongeza ya 23.3% ni Kwa watumishi wa kima Cha chini tu hii si kweli kwani barua ya serikali ipo wazi kabisa inasomeka " Rais amekubali nyongeza ya mishahara kwa 23.3% ikiwemo kima Cha chini ".Wapi barua inasema 23.3% ni kwa kima Cha chini tu? Tusipotoshe.
Pili nyongeza ya mshahara sio kwamba kazi yake ni kupunguza gap kati ya kima Cha chini na wenye mshahara mikubwa mantiki ni kuwa Kuna mtu ana mshahara mkubwa baada ya kutumikia muda mrefu hivyo na mahitaji ya kifamilia ni makubwa kuliko aliyeajiliwa Leo au Jana.
Ushauri wangu serikali iangalie nyongeza iliyoiongeza kwa watumishi wa umma inaendana na mfumuko wa bei hapa nchini?
Vyama vya wafanyakazi Tanzania wajibu wao ni kuchukua makato tu Kwenye mishahara ya watumishi wa umma?? Mfano CWT kwa walimu.