Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 15,295
- 24,129
Jana na juzi mitandaonii imekuwa na malalamiko mengi ya nyongeza kiduchu katika mishahara.
Watu walitegemea mabulungutu ya bure kutoka serikalini.
Nasema ni ya bure kwa sababu ofisi nyingi kama siyo zote, HAKUNA utendaji wenye tija.
Ingekuwa ofisi za serikali, watumishi wakahamishiwa ofisi za biashara binafsi ,pengine wengi wangelipwa nusu tu cha wanacholipwa sasa.
Daktari ambaye angeweza kuwaona wagonjwa 70 kwa siku pengine anawaona 20 au 25.
Mhandisi wa wilaya ambaye angekagua kwa kina miradi mitano kwa siku anakagua mmoja na siku imeisha.
Meneja Utawala mwenye uwezo wa kushughulikia mafaili 50 kwa siku anashughulikia mafaili 5 hadi 10.
Wafanyakazi hawasimamiwi na wengine wana ED za daktari nyingi tu, au hawafiki kabisa kazini kwa sababu ambazo ni porojo tu.
Sasa hapo productivity kwa ujumla inaweza kuwa only 40% na watu wanataka nyongeza kubwa tu.
Hili haliwezekani kabisa hadi tija iongezeke ingalau 80-90%.
Nchi zilizoendelea wana put in masaa mengi tu ya kazi, productivity nzuri na hivyo mishahara kuwa mizuri.
Kama Taifa tujitathmini.