sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Vhagar

    Tusali sana hali inazidi kuwa mbaya

    Wasalaam JF..!!! Ni weekend moja baada ya kushinda kutwa nzima nikiwa nyumbani huku muda mwingi nikiutumia kulala baada ya shuhguli ndogo ndogo za home kama mjuavyo weekend. Imefika mida ya jioni kuanzia saa moja hivi kila nishikacho nakuwa bored. Nikasema ngoja nisogee mahali nipate mbili...
  2. Mr Dudumizi

    Siku niliyomuona Nyerere live nilisikitika sana

    Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze katika mada husika. Nakumbuka siku 1 mimi na mjomba wangu tulikuwa tunatoka feri kula samaki, tukijielekeza mnazi mmoja kupanda basi turudi nyumbani. Hii ilikuwa mwanzoni mwa mwaka 1995, kabla ya uchaguzi mkuu. Basi...
  3. R

    Ukiona unawachukia wanasiasa hawa, inabidi ujitathmini sana

    Habari wana JF ,Ujue kwenye maisha kuna watu ambao huwezi ona wanagombana na watu au kuna watu ambao wanafanya vitu kwa ajili ya watu wengine ambavyo ni hatari kiasi kwamba hata wewe huwezi fanya hivyo ,Watu hawa huwezi wachukia hata wawe na mapungufu mengine . Mfano wao ni kama wafuatao :- 1...
  4. MSAGA SUMU

    Kwa Tanzania mil 700 ni hela ndogo sana

    Yaaani dalali anaweza kuongeza au kupunguza milioni 700 Kama sio kitu, yaani utafikiri kaongeza jero kumbe ni milioni 700 kabisa.
  5. Nehemia Kilave

    'PROPAGANDA' ni kitabu kizuri kwa wale wafuatiliji wa Masuala ya Siasa

    Kitabu hiki kinaitwa PROPAGANDA kiliandikwa 1928 na Edward Bernays Baba wa masuala ya Kijamii na Propaganda. Kwa kifupi propaganda ni Taarifa ya kiupendeleo au taarifa yenye lengo la kupotosha jamii juu ya jambo au mtu/watu fulani. Lengo kuu la mwandishi kwenye hiki kitabu lilikuwa ni kuelezea...
  6. I

    Chaja yangu ya simu ilikuwa fasta sana, nini imeikumba?

    Nilinunua chaja aina ya Excellent miezi miwili iliyopita nikiamini itanifaa hasahasa kwenye upande wa fast charging. Na kweli kwa kipindi cha mwezi wa kwanza niliyoitumia ilikua inajaza 100% ndani ya lisaa limoja tu. Ila nina wiki sasa, simu hata niiache kwny chaji usiku mzima haifiki ata...
  7. Superbug

    Namkubali sana Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Tluway Sumaye

    Namkubali sana mheshimiwa Sumaye ni mpole hana mbwembwe hajui kulipa kisasi na mtulivu. Alipotofautiana na Jakaya enzi zile alijiendea zake kusoma Marekani na MAGUFULI alivyompokonya mashamba yake Morogoro hakujibu alikaa kimya aliacha muda uongee.
  8. A

    Wewe ni mtu muhimu sana kwangu ndio maana nimetenga muda wangu kuongea na wewe

    Ewe mwanadamu uliyepata nafasi ya kusoma huu ujumbe.Jua ya kwamba mimi nakutakia mema.Hunijui sikujui ila nacho jua ya kwamba wote tuna Baba mmoja Adam na Mama Mmoja Hawa.Tunaishi kwenye Dunia hii Tukiwa na Lengo la kuishi MAISHA MAZURI NA BORA kwenye ulimwengu huu wa sasa na Maisha bora zaidi...
  9. Jidu La Mabambasi

    Rais Mwinyi hapa umekosea sana, ‘contractors bashing’ unaifanya sehemu ya siasa

    Nimesikitishwa na kauli za Rais wa Zanzibar juu ya mkandarasi aliyekuwa akijenga jengo la serikali huko Zanzibar. Mwinyi naona kaingiza siasa kwenye kazi za kitaalam isivyo. Kwa muonekano tu Mkandarasi na Consultant wanatoka Bara. Sababu za kuwafuta hiyo contract haziko wazi, lakini tokana na...
  10. S

    Nenga ana roho ngumu sana. Mimi siwezi kuachwa na mwanamke achumbiwe na mwingine, halafu baadaye anirudie nimuoe

    Hii inayoitwa "wedding" Ina somo kubwa kwa wanawake, wanaume na ndugu za maharusi. Nenga alimpenda Nandy kitambo sana, lakini ndugu wa Nandy walimtema na kumdisi Nenga kuwa ni mhuni na hana hela. Nandy akachumbiwa na Ruge Mutahaba ambaye bahati mbaya akaitwa na Mungu. Nenga akamrejea Nandy na...
  11. AbuuMaryam

    NSSF kudhamini ndoa ya Billnas na Nandy: Kweli Rais Samia hili ndilo unalotaka kwa ajili ya watu wako? Siamini

    Hamuwezi amini jamani Harusi ya NANDY NA BILLNAS, MAIN SPONSOR NI NSSF. Kweli jamani kweli hivi leo hii tumefikia NSSF kudhamini harusi ya mtu binafsi... Kwa angle ya MARKETING... that wedding what is it going to do with the fund? Yaani fund inapata nini au ina vutia nini katika moja ya...
  12. N

    Ni afya kwa Serikali kutoa taarifa za mapato na matumizi ya tozo ya miamala mara kwa mara

    Serikali ilipiga kampeni kali ikielimisha juu ya umuhimu wa tozo ya miamala kuwa ingejenga miundombinu mbalimbali nchini ili kuboresha huduma kwa wananchi. Mwanzo wananchi walipiga kelele juu ya utitiri wa kodi au tozo mbalimbali jambo lililofanya serikali kujitokeza na kutolea...
  13. D

    Huduma ya RITA inatia mashaka, nawashauri wajitathimini

    Nina mashaka makubwa sana na uwezo wa watendaji RITA hususani kitengo cha usajili wa vizazi na vifo! Ukichunguza kwa makini vyeti 8 kati ya 10 vilivyotolewa na RITA lazima utakuta dosari au changamoto! Miongoni mwa dosari hizo ni kama zifuatazo! 1. Mteja anaweza kuwa anaitwa ABDALLA lakini...
  14. ndalibanyo

    Uongo mbaya sana wakati mwingine

    Jamani mkuje na mawazo ya kuokoa jahazi huku, nipo na jamaa yangu grosary flan hivi! Alikuja mitaa hii kumtembelea manzi wake, kwa bahati mbaya hakumkuta akaamua kujisogeza hapo grosary kupata moja moto moja baridi,, akiwa hapo mara akaingia mtoto mmoja mzuri sana yan huyo demu wake anaweza...
  15. sky soldier

    Ni namna gani nzuri ya kutumia laptop kitandani na kuzuia isichemke sana?

    Binafsi mara kwa mara huwa napenda kutumia laprop kitandani, sasa unakuta latptop inakuwa yamoto si mchezo kwenye upande wa feni na hii huwa naona kabisa ni tatizo kwa laptop. Tunawezaje kutatua hili tatizo?
  16. M

    Kutazamia mawazo yenye tija kwa mwakilishi kama huyu tutasubiri sana!!

  17. MALCOM LUMUMBA

    Omah Lay ameonesha uwezo mkubwa sana kwenye album yake mpya

    Binafsi kama mdau mkubwa wa sana ya muziki, hasahasa ule wa Afrika. Hizi siku mbili nimesikiliza album mpya ya msanii kutoka Nigeria, Omah Lay. Niseme tu, mimi kama shabiki mkubwa wa huyu msanii kinda sijaangushwa kabisa. Album yake inaitwa BOY ALONE na imetoka leo hii. Nilichofurahishwa sana...
  18. N

    KAMA NI KWELI HUU UFUNGUO UTAIPASUA SANA UTOPOLO MSIMU HUU

    Kijana katengenezwa na propaganda akawa mkuubwaa hadi yeye akajishangaa , ukweli ni kwamba hizi teams 3 za bongo zinalipa mishahara ambayo huko west africa wachezaji hawana kabisa lakini Aziz key propaganda yake na jinsi walivyo handle suala lake lita wa cost sana mbeleni huko ***Sharti la...
  19. Lycaon pictus

    The Sea Beast ni animation nzuri sana. Nimependa wametumia mtoto mweusi.

    Nafikiri kati ya animations bora kutoka mwaka hii, hii namba moja. Story yake, waigiza sauti na action zote ni za kiwango cha juu. Kitendo cha kumtumia binti mweusi ni safi sana. Hizi vitu huwa zinachangia sana kujenga watoto kujithamini nk. Hii nafikiri itasumbua kwenye Oscar za 2022.
  20. M

    Wakazi wa mkoa wa Kagera ni washirikina sana tofauti na tunavyowachukulia

    Huu mkoa hauna tofauti na mikoa mingine maarufu kwa mambo ya kishirikina. Tofauti na watu wanavyodhani, ukienda Bukoba vijijini kuna vilinge vya Mshana JR. Matambiko, mila potofu, taboo, mizimu(enchweke)ndio kwao. Ukienda Karagwe, Kyerya usiseme, Ngara nao wako vizuri kwa ndumba mpaka walikuwa...
Back
Top Bottom