Hivi kwanini makolo wakishinda fujo ni nyingi sana mjini

Sina maneno mengi unaikumbuka hii.
Screenshot_20230429-005908~2.jpg
 
Sina nnacho wadai Simba penalties hazinaga mwenyewe mzee utopolonian najua mna jikosha tu na kuibeza hii game ila najua mioyoni mwenu mnajua Simba kacheza na kajikaza.

Mashabik wa simba wanavyo sema wamekufa kiume nakumbuka kuna jamaa mmoja alifumwa na mke wa mtu wahuni wakapasua spika asa wana wakawa wakimuuliza oya hawajakufanya chochote mwana anajibu wamenifir* ila kwa tabu sana
 
Sasa kwani uongo mzeee kupambana timu imepamvana labda kama huna macho haukuona kutoka kwa penat ni kitu pekee kilicho dhihirisha kuwa Simba kapigana sana.
 
Back
Top Bottom