Hapa chini ntaweka visa kadhaa nilivyoshuhudia na vingine nilivyokutana navyo kwenye harakati za maisha

KIDUME20

JF-Expert Member
Mar 10, 2023
1,954
4,511
Wakuu za sahizi

Tuendee direct kwenye mada...

Hapa chini ntaweka visa kadhaa nilivyoshuhudia na vingine nilivyokutana navyo kwenye harakati za maisha

KISA CHA 1: CHA NDUGU YANGU WA MBALI

- huyu ni mbibi wa miaka 57 tarehe x/7/2023 anatarajia kufunga ndoa mkoa x na muosha magari.

Inaanza hivi walikutania dsm kwenye harakati za maisha huyu bwana mdogo alikuwa muosha magari hivyo huyu mbibi akienda hapo kwenye car wash alikuwa akimpa huduma hiyo huyu mbibi lakini sijui alifanikiwaje kumnasa huyu mbibi. Anyway japokuwa jamaa ni kapuku huyu mbibi kamfungulia biashara yake ya nguo hapa dar na kawawezesha wanae 2 wa kiume kumaliza elimu ya chuo.
Lakini kinachonifurahisha ni kuwa huyu jamaa kasha fumaniwa mara 9 ila huyu mbibi ndo anaeomba msamaha hivyo mapenzi yanaendelea. Huyu jamaa anangekewa maana huyu mbibi tiyari kaweka mali zake kwa majina yote ya jamaa

Assets za huyu mbibi πŸ˜„πŸ˜„
1. Apartment 9 (3 zipo chuga, 6 zipo dar).
2. Duka la vipodozi 1 dar.
3.Duka la nguo 1 Arusha.
4. Nyumba ya kuishi 1 Arusha.
5. Gari 1(harrier new model)

Anaingiza 800,000 daily hivyo hana njaaa na mahari kampa hela huyu bwana mdogo alipie

Ila ila ila ila kinachofuraisha ni nguvu kubwa aliyotumia huyu mbibi kubaki kwenye haya mahusiano,, na jamaa yuko kimkakati sana na hana feelings nae ila mbibi kafa kaoza kwake hawana age difference lakini.

2. KISA CHA PILI:UNCLE WANGU HUYU
- huyu jamaa ni ndugu yangu wa damu damu ana miaka 49 sasaivi kazi yake ni tax driver yuko mkoa x. Ila kafanikiwa kujenga nyumba 2 kupitia Wanawake wenye njaa ya mahusiano..

Yeye hana shobo ila ni mcheshi sana na up stairs yupo good ana pendelea kusoma sana vitabu hivyo akiongea hutamchoka

Hii ndo mbinu pekee anayotumia kuwahadaa warembo asee huyu jamaa kawapiga sana hela hawa wadada wengine mpaka wakitaka kuonana nae wao wenyewe wanamwambia hotel makubwa ya kwenda kuonana sio vi bar uchwara, na wanamforce kumlipia na pisi na wamama anazogonga ni high quality asee jumla kuanzia aanze hiyo kazi yake ya tax 2005 kashalambishwa 45m kama utani tu ila ndo hivyo huyu jamaa ni singo na hana mpango wa kuoa mtoto wake kamsomesha English medium kupitia hawa wamama wenye hela zao na wa 2 wanamalizia chuo mmoja yupo form 3, 😎😎

Hiki KISA CHA 3:

Hapa ntaeleza kiujumla ujumla maisha yangu ya A level na chuo

Nilivyokuwa A level kuna demu mmoja hivi alikuwa anamshobokea sana mshkaji wangu 1 huyu mshikaji alikuwa dj wa shule hivyo kwenye ma bonanza yale na madisco ndo alikuwaga sterling wetu wale wenzangu wa amapiano oyeee
Hivyo hii kazi ilimvutia pisi nyingi sana, ila huyu kigagula ndo alimganda sana bahati mbaya jamaa alikuwa hana muda au shobo nae kiivyo demu alipanga kabisa ya kuwa huyu ni bwana wangu na nitaolewa naye after chuo lakini wapi muhuni kasugua rungu kasepa πŸ˜€πŸ˜ŠπŸ˜Š

Baada ya kuua 6 demu kakomaa tu jamaa akaona isiwe kesi kamla kamtupa huko na kumlima block juu

KISA CHA 4: CHA MWANANGU SANA HUYU

huyu alikuwa mpole tu mtu poa sana sasa yeye alikuwa mkimya kinoma, hichi kitu kilimfanya watu wamuone mnyonge ila sasa mademu wakawa wanamshobokea ila yy alikuwa domo zege mwenye phd lakini mwishoni wahuni wakampa mbinu asee aliwakusanya kama mademu 7 hivi bila wao kujua tunamaliza form 4 tu tunasikia jamaa kashawagonga wote ndani ya week 5 tu baada ya kumaliza form 4 ubaya zaidi akawakorofisha wote wakawa wanachukiana yy akapita na mia zake na ubaya yy alikuwa analipiwa nauli awafuate jijini dar maana alikuwa anatokea mwanza ila gestu house ilikuwa juu yake

KISA CHA 5:
huyu ni demu fulani hivi yuko kwenye early 30's kama 32 hivi ila kisa chake ni kuwa alivyokuwa chuo alijirahisisha sana kupata mwanaume baada ya kushangaa wanawake wenzake wanapata mabwana hivyo na yy akajitosa hivyo punde si punde hela ya boom na wazazi alikuwa ana share na jamaa,, duuh ubaya ni kuwa jamaa ni silent killer hivyo alikuwa badboy asiyejulikana kabisa yaani kamlamba 2m kwa kipindi chote hicho siku ya graduation muhuni kasepa zenji kula bata na 1.4m alishainvest yy akatumia 600k tu ila alimjaza demu mimba kabisa ikabidi demu atoe mimba tu ila hichi kitendo kilimfanya demu awe chizi aseee,,, kwanzia siku hiyo ndo akajiingiza kwenye ulevi wa kupindukia na hajawahi kuwa stable tena psychologically aseee,,, japo ana kazi yake ila stress zikimzidi ndo hivyo tena anaenda bar ni full kulewa na kugongwa gongwa tu so sad 😞😞😞🍻 ila ndo hivyo mapenzi hayampendi kabisa na ubaya watu washamchafulia cv yake,,,,, hivyo ni shida juu ya shida

πŸ˜œπŸ˜œπŸ˜πŸ˜…πŸ˜…

Na wote hawa nikiwauliza kwann walifanya hivi wanasema kuwa eti wanawake wa type hii ni very cheap na pia hawakuwa na hisia kwao ni basi tu mazingira yali force hii kitu....

SIKU ZOTE KITU KILICHO CHEAP HAKINA THAMANI πŸ˜Άβ€πŸŒ«οΈ

Daaah visa ni vingi nimechoka kutype asee ila nyie

Japo poleni kwa gazeti hili

WANAWAKE MSIWE NA NJAA YA MAHUSIANO KIHIVYO ASEE SISI TUKIONA HIVYO TUTAENDELEA KUWAKOJOLEA NA KUWATUPA HUKO NA KAMA MNAVIHELA TUTAVILAMBA PIA TUKAWEKEZE KWENYE MIRADI YETU

#LET NATURE PLAY ITS PART#

Screenshot_20230410-030603~3.png


?NAWASILISHI? πŸ˜πŸ•
 
β˜•οΈβ˜•οΈβ˜•οΈβ˜•οΈβ˜•οΈ100%
Dada zako na Wanao nao watakojolewa ovyo ovyo kama unavyowakojolea Dada na Watoto wa wenzio
 
Chai zote πŸ˜‚
Hata kama ni chai, Huyu jamaa anajitahidi kutuonesha kuwa Ukitaka kupenda Kampende Mungu atakupa furaha yake na uzima wa milele, Lakini ukimpenda mwanadamu atakuliza na kukuuwa.

"Don't Love Human, Just Love Sex "
 
Back
Top Bottom