Wanasimba tupo imara sana, tuna hali zaidi na furaha kubwa kusubili match yetu ya marudiano na wydad Casablanca.

covid 19

JF-Expert Member
May 9, 2014
4,892
10,630
Huu ni ujumbe kwenye wenye visoklokwinyoooo na vijiba vya rohoo kwa simba.

Simba ni team kybwa sana hapa Africa na duniani na tunatambua ili tuwe mabigwa africa lazima tucheze na mabigwa.

Wanasimba hatuogopi team yoyote ile maana hao mnaosema watashinda sisi tulishawashinda teyariiiii....

tushinde tufugwe bado tutabaki ni team bora kwa sasa kuliko team yyte ile Africa mashariki na kati na Supercup tutacheza.

Tukutane stade mMohamed V saa nne usiku
 
Mnapretend mpo imara, ila kiuhalisia, mnataman hata kimondo kianguke uwanjani mechi ihairishwe 😅
 
Unaambiwa miamba yote Africa Leo ipo Morocco
Simba, Wydad,Raja Casablanca, Al ahly
Lakini timu ndogo ndogo zipo nchini mwao
Azam, Ihefu, Yanga, coastal, kagera etc etc
 
Back
Top Bottom