sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Kumbe hata wanawake wa Kizungu wanapenda sana kuhingwa? Nilijua ni waswahili tu.

    Nimeleta hii kama taarifa tu. Mimi nilikuwa naamini kwa kuwa wazungu wametutangulia kwa kila kitu hadi haki za uhuru na usawa baina ya jinsia moja na nyingine basi nilijuaga wao hawasumbui mambo ya vibomu. Ebwanaaee tena kuna wengine ni Vibom international Nimeona hii kwa mademu zake jamaa...
  2. JamiiForums Tanzania Diamond kaonesha msimamo sana kukataa kutumbuiza Qatar kwa bilioni 2

    Huyu mwamba ana msimamo sana. Walitaka kumpa bil 2 kuperform siku ya fainali jamaa akasema kama Beckham amekula bil 200 kuwa balozi basi yeye apewe bil 4 jamaa wakakataa, Diamond naye akachomoa kuperform. Huu ni mfano mzuri kwa wasanii wetu kuwa na msimamo na vipaji vyao.
  3. JamiiForums Tanzania Nilipoteza Tsh. Milioni 2 kwa kuchanganya Afrikana na Afrika Sana

    Aya mambo mengine jamani yasikieni tu na kila siku tujitahidi kufanya ibada/ Maombi kwa sababu kuna muda tunapitia changamoto. ila sasa muda wengine tunapitia changamoto mfululizo yani haijamaliza changamoto hii inakuja nyingine. Sasa naomba moja kwa moja kwenya mada. Kutokana na tukio hili la...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete, Wafanyakazi wa Tanzania wanakumiss sana. Pumzika baba, jipe raha, wewe ni binadamu!

    Wafanyakazi wa Tanzania wanakukumbuka kwa nyongeza zako nzuri za mishahara kila mwaka kwa miaka yako yote uliyotumika kama Mwajiri mkuu!! Jipe raha, pumzika kwa raha zako, kazi uliifanya! Tunajisikia raha tunapokuona unazidi kuwa kijana kila leo! Yaani hapo una miaka 72 lakini ni kama una miaka...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Donor countries hawaanzi na sala na dua katika shughuli za kiserikali lakini watumishi wake ni waadilifu sana. Hapa Tanzania sasa!!

    Yawezekana ndiyo maana kama taifa hatutoboi. Kila siku tunaogelea kwenye mabalaa na majanga. Ni kwasababu tunamdhihaki Mungu wetu wa mbinguni. Hawa hawa viongozi wetu ambao ni wafujaji wa kodi zetu, wezi wa mali ya umma na wala rushwa wakubwa ndiyo kila wakikutana kwenye mikutano, warsha na...
  6. T

    JamiiForums Tanzania MORUWASA ndiyo mamlaka ya maji ya ovyo sana Tanzania

    1. Maeneo mengi ya Morogoro mjini hayana maji toka June, 2022 wao wamekaa tu kama hawahusiki. 2. Sehemu zinazopata maji hasa eneo la Bong'ola, maji hayo ni machafu na hayatibiwi. 3. Bili haziakisi kiasi cha maji mteja alichotumia 4. Matatizo ya wateja hayafanyiwi kazi 4. Waziri wa maji...
  7. JamiiForums Tanzania Ufaransa imeniangusha sana

    Mategemo yangu ni ufaransa kuchukua ubingwa lakini sivyo inaniymaaaaaaa saanaaaa mpka nimelia ase, mpira haramu sana.
  8. JamiiForums Tanzania Unatumia mbinu gani kusafisha sufuria lililoungua sana wakati wa kupika?

    Habari wana jukwaa hili Wakati mwingine mtu unapika chakula inatokea bahati mbaya kinangua sana hadi chombo kinakuwa cheusi( kwa sisi wenye masufuria ya kaida). Au nje ya sufuria ukipikia mkaa inakuwa nyeusi, kusafisha kirahisi ili iwe rahisi kufaya sufuria zetu ziwe na mng'ao wa awali. Wakati...
  9. JamiiForums Tanzania Bajaji, guta, pikipiki zinanunuliwa kwa Kasi Sana

    Ikiwa Ni mwaka mmoja na mwezi mmoja Toka namba D ya vyombo hivo vianze kwa Sasa wanasajili no MC**** DR* Ambapo kwenye magari walitumia muda mrefu sana kufika usajili huo, Ni wazi Hadi mapema mwaka ujao watakuwa wamemaliza no D yao na kuanza fukuzana na no D ya magari na kuwaacha forever...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Nakereka sana kusikia na kuona Rais Samia akiitwa au kuandikwa Dr. Samia

    Kuna profesa mmoja (jina silikumbuki) ametoa ufafanuzi hivi karibuni kuwa mtu akipewa PhD ya heshima jina lake halipaswi kuanza na Dr. (Mfano Dr. Samia) badala yake liandikwe Samia (PhD hons). Hili linafanyika ili kuendelea kulinda heshima ya ngazi hii kubwa ya elimu. Sasa kwann wanaccm...
  11. JamiiForums Tanzania Walimu watafungwa sana na magereza yatajaa ikiwa Sheria hazitabadilishwa, wanafunzi wa kike ndio wanaowataka Walimu

    Wadau hili suala la walimu kufunguliwa kesi za kuwatia mimba wanafunzi au kuwabaka Mimi napingana nalo hasa baada ya kujionea wanafunzi wakiwa ndio chanzo Cha walimu kuwadinya wanafunzi. Majuzi nilienda kuwachukua wanafunzi Arusha wanaoishi Dar. Wazazi hujikusanya wanachangiana na kukodi Costa...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia na Waziri Mkuu, hivi hili daraja ndiyo la Bilioni 31?

    Mbona mnaishi kwenye fikra ya Tanzania ya Mwaka 1960. Hivi Leo hii bado naibu Waziri, Waziri, Waziri Mkuu na Rais, mnakua wa namna hii? Mimi sio Muandisi, ila Hili DARAJA haliwezi gharimu Bilioni 31. HIVI Kwanini Mungu alimchukua JOHN JOSEPH POMBE? KWANINI? Jioneeni wakuu, ili ndo Daraja...
  13. JamiiForums Tanzania Nimetumia mbao mwanzo mwisho..kila anayepita analishangaa banda hili...

    Kama picha inavyojionyesha,nimejenga hili banda kwa kutumia mbao mwanzo mwisho,wengine wananiambia ni gejenga banda la chuma,wengine wananiambia nimetumia gharama sana kujenga banda hili maana mbao zimekuwa ghari,wabongo wanakatisha sana tamaa,yani wanaona nina pesa kwa kuwa nimejenga kwa mbao...
  14. JamiiForums Tanzania Mimi ni mmojawapo wa wanaune wenye shoo mbovu na wala siogopi chochote. Bado najiamini sana

    Huo ndo ukweli jamani ambao natamani kuusema... Nahisi mimi ntakuwa ni kati ya wale watanzania ambao tunashika mkia kwenye suala zima la kupiga show. Niseme tu ukweli mimi ni mbovu sana, tena sanaa.. Sitaki kusema ni mbovu kiasi gani.. Ila nahisi ntakuwa nashika mkia. Ila kizuri ni kwamba...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania kuna Yoabu? Yoabu huyu hapa, ana nguvu sana

    Utangulizi: Yoabu alikuwa ni Mkuu wa Majeshi au Jemedali wa Jeshi la Israel wakati wa Mfalme Daudi. Habari za Yoabu na Mfalme Daudi utazipata kwa kina ktk Kitabu cha Biblia cha Samweli wa kwanza na Wapili, Mambo ya Nyakati wa kwanza na Wa Pili lakini pia Habari zake zinaanzia Katka kitabu cha...
  16. JamiiForums Tanzania Msaada: PC system inakula sana data

    Beijing! Bonjour wakuu, PC yangu inakula sana data kwa vitu visivyoeleweka. Nimeweka connection kuwa metered Nimestop background applications Nimestop google updates (ilikuwa ishakula mb95) Nimeweka data limit Nimezuia system updates mpaka January huko Lakini bado kila mkitumia nakuta Mb kibao...
  17. JamiiForums Tanzania Hizi nyimbo za Rhumba huwa zinanikumbusha mbali sana

    Hizi nyimbo za rhumba huwaga zinakumbusha mbali sana Mayaula mayoni- Mbongou Diblo Dibala- Machete Papa Wemba yolele Extra music- Shalai Extra music- Losambo General defao- Famile kikute Kanda bongoman- Elisabeth
  18. JamiiForums Tanzania World Soccer Photo Album

    Ronaldinho Gaucho. Aliletwa duniani kuiburudisha dunia kupitia miguu yake iliyosheheni ujuzi wa kipekee.
  19. JamiiForums Tanzania Haba na haba hujaza kibaba, ni msemo niliyoutumia kwa kinyume kwa mafanikio makubwa sana

    Suala hili si la kifalsafa hata kidogo, ni suala la uhalisia wa moja kwa moja. Mfano ukiambiwa mtu mwenye kilo 50 anaweza kuinua mzigo wa tani 50, kwa akili za haraka haraka utabisha, lakini kwa kutumia ‘jeki’, mtu huyu anatumia nguvu zake zile zile, ila tu anazitoa kidogo kidogo hadi ile tani...
  20. JamiiForums Tanzania Huu Mwaka umefika mwisho Naomba atokee mtu atuwekee Nywira za kuishi Maisha ya Mazuri

    Hapa namaanisha Maisha Mazuri Kula uhakika Kulala uhakika Kuvaa uhakika Unaishi Nyumba nzuri yenye hadhi ya kukaa Binadamu Unaendesha kipandio chochote chenye Muonekano Una Biashara au Kazi iliyo-simama Unasaidia Masikini , wazazi, majirani na Yatima nk. Huna stress za Mapenzi Account...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…