Nipo katika wakati mgumu sana. Nimejaribu namna nyingi bado sijapatiwa Ufumbuzi

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Sep 11, 2017
1,694
3,982
Jumamosi nlikuwa na wife tunaenda Bagamoyo kutembea. Tukiwa njiani nilijikuta namsimulia wife habari ya mchepuko wangu ambaye kwa kweli ananisumbua sana kichwa. Amenichanganya sana.

Tulikuwa tunazungumza tu mambo ya maisha na wanawake nikamwambia wanawake wa siku hizi pesa mbele. Hawana hata aibu. Nikaanza msimulia nikiwa nimejisahau kama vile namsimulia mshkaji tu.

Nikamwambia huyo mchepuko nlivyompata na jinsi ambavyo hazipiti siku mbili tatu anaomba pesa.nikamwambia nimememchoka ila nashindwa mwacha sababu ananipa penzi zuri sana.na nina mfeel sana.

Wife aliendelea kusikiliza mpaka nlipomaliza, akaniuliza kama nimemaliza....kwa kweli hapo ndo nikashtuka na kugundua kuwa nlikuwa naharibu. Akaomba nisimamishe gari...na akawa anafungua mlango aruke.

Ikabidi nisimamishe gari ashuke, safari ikaishia hapo na ikabidi nianze mbembeleza arudi garini. Aligoma akachukua taxi kurudi home.ikabidi tu nifuatilie hiyo Taxi maana sikujua anaenda wapi.amefika home anataka abebe nguo aondoke..

Wadau toka Jumamosi nimenuniwa..nikileta zawadi hapokei.unyumba nanyimwa anasema mpaka miezi mitatu ipite nikapime. Then nisubiri mitatu tena nikapime.

Yule mpuuzi kanitumia msg anaomba nimpatie 700,000 aongezee kwenye kodi ya nyumba. Sijataka hata kumjibu shetani mkubwa...muflisi, jini mnyonya damu, majulsi mkubwa, mfitini na mchonganishi. Na leo naenda kuchukua TV,Microwave,fridge,sofa na jiko la gesi.. nimeshawaambia watu wa kirukuu.

Yaani mwanamke ananyonya damu ikiisha anataka nyonya hadi ubongo....sasa ngoja nikabebe vitu vyangu mbwa yule akajibebe na yeye...mtu gani hana shukrani?yaani ananichanganya mpaka namsimulia wife upuuzi wake?
 
Yenye pilipili

198351-Hot-Tea-Vapor.gif
 
Kwamba wakinyonya damu ikiisha wananyonya ubongo eeh, wewe tayari washakunyonya ubongo….. mchepuko mzuri mwisho kunyonya gegedo tu si vinginevyo..!
 
Jumamos nlikuwa na wife tunaenda Bagamoyo kumtembea. Tukiwa njiani nilijikuta namsimulia wife habari ya mchepuko wangu ambaye kwa kweli ananisumbua sana kichwa. Amenichanganya sana.

Tulikuwa tunazungumza tu mambo ya maisha na wanawake nikamwambia wanawake wa siku hizi pesa mbele. Hawana hata aibu. Nikaanza msimulia nikiwa nimejisahau kama vile namsimulia mshkaji tu.

Nikamwambia huyo mchepuko nlivyompata.na jinsi ambavyo hazipiti siku mbili tatu anaomba pesa.nikamwambia nimememchoka ila nashindwa mwacha sababu ananipa penzi zuri sana.na nina mfeel sana.

Wife aliendelea kusikiliza mpaka nlipomaliza.akaniuliza kama nimemaliza....kwa kweli hapo ndo nikashtuka na kugundua kuwa nlikuwa naharibu. Akaomba nisimamishe gari...na akawa anafungua mlango aruke.

Ikabidi nisimamishe gari ashuke.safari ikaishia hapo na ikabidi nianze mbembeleza arudi garini. Aligoma akachukua taxi kurudi home.ikabidi tu nifuatilie hiyo Taxi maana sikujua anaenda wapi.amefika home anataka abebe nguo aondoke..

Wadau toka jumamosi nimenuniwa..nikileta zawadi hapokei.unyumba nanyimwa anasema mpaka miezi mitatu ipite nikapime. Then nisubiri mitatu tena nikapime.

Yule mpuuzi kanitumia msg anaomba nimpatie 700,000 aongezee kwenye kodi ya nyumba. Sijataka hata kumjibu shetani mkubwa...muflisi,jini mnyonya damu.majulsi mkubwa ,mfitini na mchonganishi. Na leo naenda kuchukua TV,Microwave,fridge,sofa na jiko la gesi.. nimeshawaambia watu wa kirukuu.

Yaani mwanamke ananyonya damu ikiisha anataka nyonya hadi ubongo....sasa ngoja nikabebe vitu vyangu mbwa yule akajibebe na yeye...mtu gani hana shukrani?yaani ananichanganya mpaka namsimulia wife upuuzi wake?
Huna akili kama ni kweli.
 
Kwenye Mahusiano ya Mwanaume na Mwanamke.

Mpumbavu ni yule anayemsimulia mwenzie Juu ya Wanawake alowatia au wanaume walomtia.

Ikifikiaga Hapo, kuachana ni Nje nje.

Hivo basi, Jiandae Mkeo kumwagilia moyo Kwa Mwanaume mwingine kama kutuliza Hasira zake

Bahati mbaya, yeye ataenda kuliwa Mara Moja tuuu na aache, ila atanogewa na ataliwa kwelikweli.

Njia pekee ya kujua kua ameliwaa, kama wee ni mzoefu hiyo miezi mitatu, siku akikupa utakuta K imeongezeka na imelegea legea.

Naa kwakua Muosha ,huoshwa, basi kuchapiwa ibaki Siri yako.
 
Jumamos nlikuwa na wife tunaenda Bagamoyo kumtembea. Tukiwa njiani nilijikuta namsimulia wife habari ya mchepuko wangu ambaye kwa kweli ananisumbua sana kichwa. Amenichanganya sana.

Tulikuwa tunazungumza tu mambo ya maisha na wanawake nikamwambia wanawake wa siku hizi pesa mbele. Hawana hata aibu. Nikaanza msimulia nikiwa nimejisahau kama vile namsimulia mshkaji tu.

Nikamwambia huyo mchepuko nlivyompata.na jinsi ambavyo hazipiti siku mbili tatu anaomba pesa.nikamwambia nimememchoka ila nashindwa mwacha sababu ananipa penzi zuri sana.na nina mfeel sana.

Wife aliendelea kusikiliza mpaka nlipomaliza.akaniuliza kama nimemaliza....kwa kweli hapo ndo nikashtuka na kugundua kuwa nlikuwa naharibu. Akaomba nisimamishe gari...na akawa anafungua mlango aruke.

Ikabidi nisimamishe gari ashuke.safari ikaishia hapo na ikabidi nianze mbembeleza arudi garini. Aligoma akachukua taxi kurudi home.ikabidi tu nifuatilie hiyo Taxi maana sikujua anaenda wapi.amefika home anataka abebe nguo aondoke..

Wadau toka jumamosi nimenuniwa..nikileta zawadi hapokei.unyumba nanyimwa anasema mpaka miezi mitatu ipite nikapime. Then nisubiri mitatu tena nikapime.

Yule mpuuzi kanitumia msg anaomba nimpatie 700,000 aongezee kwenye kodi ya nyumba. Sijataka hata kumjibu shetani mkubwa...muflisi,jini mnyonya damu.majulsi mkubwa ,mfitini na mchonganishi. Na leo naenda kuchukua TV,Microwave,fridge,sofa na jiko la gesi.. nimeshawaambia watu wa kirukuu.

Yaani mwanamke ananyonya damu ikiisha anataka nyonya hadi ubongo....sasa ngoja nikabebe vitu vyangu mbwa yule akajibebe na yeye...mtu gani hana shukrani?yaani ananichanganya mpaka namsimulia wife upuuzi wake?
Wewe Ni kima kabisa.
 
Back
Top Bottom