Uhuru Kenyatta hatasahaulika kwa muda mrefu sana, ni kiongozi mstaarabu sana

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
15,591
24,810
Kama kuna Rais nimependezwa naye toka Kenya ni ndugu yangu Uhuru Kenyatta.

Huyu jamaa ni simple, hayuko comlicated kma wanasiasa wengi.
Yuko down to earth.

Huwa napenda sana kusikiliza hotuba zake zenye vichekesho vingi.
Na si kwamba ni mtumwepesi, ana mali nyingi tu za kutosha.

Lakini atakachokumbukwa zaidi ni kumteua Raila Odinga kugombea Urais Kenya.
That is a MILESTONE.

Kwa nchi iliyozoea ukabila wa wazi wazi, ameanza safari kuwaunganisha waKenya kuwa Taifa moja lisiloona kila kitu kwa miwani ya UKABILA.

Nampongeza sana Uhuru Kenyatta kwa hilo na waKenya wenzetu muungeni mkono.
 
Faida ya kukulia ikulu
 
Asante
 
Uhuru ametambua chaguo la wa Kenya, na bila hiana ametoa support kubwa tu kwa peoples president-baba.
 
Kenyatta na Handsome wana haiba moja hawasumbuliwi na ulimbukeni wa vyeo,watakuchekea wakiwa na wewe tu ukiwa huna faida nao tena wanakudump..
 
Kafanikiwa Sana kuwaunganisha wakenya...ukabila wa visasi na chuki umepungua Sanaaaa ...wakikuyu vs wakalenjini umeisha and wakikuyu wajaluo saiv wanaungana Sana kwa Mambo mengi ..it's good move and mchango wake ni mkubwa Sana ..ingawa ukabila Kenya kuisha ni Safari ndefu ila kafanya kwa kiwango kikubwa kuwaunganisha
 
Bado. Umemsikiliza Ruto lkn? Ametema cheche za kufa mtu wakati akimpiga biti Uhuru
 
Kama kuna Rais nimependezwa naye toka Kenya ni ndugu yangu Uhuru Kenyatta.

Huyu jamaa ni simple, hayuko comlicated kma wanasiasa wengi.
Yuko down to earth.

Huwa napenda sana kusikiliza hotuba zake zenye vichekesho vingi.
Na si kwamba ni mtumwepesi, ana mali nyingi tu za kutosha.

Lakini atakachokumbukwa zaidi ni kumteua Raila Odinga kugombea Urais Kenya.
That is a MILESTONE.

Kwa nchi iliyozoea ukabila wa wazi wazi, ameanza safari kuwaunganisha waKenya kuwa Taifa moja lisiloona kila kitu kwa miwani ya UKABILA.

Nampongeza sana Uhuru Kenyatta kwa hilo na waKenya wenzetu muungeni mkono.
Hivi ukipenda chongo huona kengeza,kumbe ni kweli.Uhuru hata Mimi namkubali Sana ila kusema amemteua Raila kugombea urais ,hapana.Kwanza wako vyama tofauti na Uhuru yeye anamuunga mkono tu siyo kwamba kamteua.

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom