Habari wana Jf ,ninapata shida sana kuamini kwamba kabla ya kuteua mtu kuwa kiongozi tunafuatilia kwa kina sana .
Kwa J Makamba mbali na kwamba ana roho nzuri na ndicho kitu nacho kipenda kwake nimeona haya :-
1.Kutakuwa na Shida kwenye ufaulu wa darasani ,sidhani kama ufaulu wake unaonyesha uhalisia wa uelewa wake .
2.Uwezo wa kuchakata vitu kichwani ni mdogo ,hii ndio imesababisha amekuwa na kauli tata na kebehi kwa wananchi .
Kwa kusema hivyo na kuangalia unyeti wa wizara ya Nishati :-
1.Mamlaka za Uteuzi zimpe Naibu na Katibu mwenye uwezo mkubwa na ushirikiano usisitizwe .
2.Kama kuna namna nyingine ifanyike Atolewe au apewe wizara zinazoendana nae Kama Sanaa,Michezo ,Muungano ,Utalii ...nk hii wizara inahitaji mtu mwenye kichwa kizima sana .
Lakini pia Ombi langu kwa Mamlaka za Uteuzi ziteue watu kwa kuangalia pia unyeti wa Eneo husika .