Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 7,604
- 15,535
Miaka ya nyuma, skyline ya Dar es Salaam ilikuwa simple sana, majengo machache marefu, mengi yakiwa ya kati tu. Lakini leo hii, mji umebadilika kwa kasi kubwa ajabu.
Maeneo kama Posta, Upanga, Masaki na Kariakoo yameanza kujazwa na majengo ya kisasa (high-rise buildings), mengi yakiwa na ofisi, hoteli na apartments za kisasa.
Miradi mikubwa kama commercial towers, shopping complexes na mixed-use buildings imechangia sana kuibadilisha sura ya jiji.
Infrastructure nayo imeboreshwa, barabara, BRT, na huduma zingine nk na hii imefanya maeneo mengi yawe attractive kwa maendeleo ya majengo marefu.
Kwa sasa, skyline ya Dar imeshazidi miji mingi mikubwa Africa, na bado ukuaji unaendelea.
Kwa hiyo inapaswa tukaze buti kuhakikisha tunatatua changamoto za jiji hili kadri tuwezavyo ili lianze kuwa na hadhi za kimataifa
Shukrani kwa YouTube channel ya Bertin, kuendelea kuionesha Tanzania watu wapate kuona upande mwingine wa Tanzania apart from Safari, Zanzibar beaches na CCM
1. Dar es Salaam City Centre
2. Kariakoo
3. Upanga
4. Old Dar es Salaam
5. Silicon Dar es Salaam
6. Ilala
7. Msasani Peninsula
8. Morocco
9. Sam Nujoma Road