Kuwa serious Rafiki,Mafuta yanapatikana kwenye ujazo wa ltr1, ltr3,ltr4 na lita 5.... Bei rafiki sana 0623140090 nitafute tufanye biashara yanapatikana kwa jumla na rejareja.. karibuni sana
Nimekuelewa kaka, nashukuru sanKuwa serious Rafiki,
Issue ya kutoa hela ya mtu mfukoni inataka u serious, Sema uko wapi? Bei Sh ngp kwa kila package yako ya Lt 1, 3, 4 na 5, Jumla bei ngapi na Rejareja bei ngapi kwa each package. Kwa kifupi jitahidi kupunguza maswali ambayo mteja anaweza kujiuliza + taarifa zingine zenye kumvutia mteja, including picha kwa package zako!
Ona Mfano;
![]()
Nauza Mafuta ya Alizeti mazuri sana
Nauza mafuta ya alizeti kwa jumla na rejareja. Dumu la 5ltrs kwa 25,000 tu na 20ltrs kwa 96,000 tu. Mzigo upo Sinza, Dar.www.jamiiforums.com
nitakuja pmLita 5 (22000) tunaweza wasiliana tukaongea vizuri
Delivery ipo kwa posta huku?Lita 5 (22000) tunaweza wasiliana tukaongea vizuri